Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,360
takribani vijana kumi tumewapoteza kwa vifo vya ghafla
ndio kusema muda wa kuishi ndio unapungua kwa styl hii...?
vijana tunaisha aisee...
1..Steve 2k...aliuwawa kwa kisu.....(mwanamuziki)
2..John Mjema..alijua kwa kujichoma kisu...(mwanamuziki)
3..Vivian ..ajari ya Gari...(mtangazaji redio clouds)
4..Complex ajari ya gari...(mtayarishaji muziki)
5..Steve Kanumba ...ajari chumbani..(muigizaji)
6..Sharo Milionea..Ajari ya Gari...(muigizaji)
7..Sajuki.... Ugonjwa.....(muigizaji)
8..Amina Chifupa...Ugonjwa..(mtangazaji)
9..Faza nely Arusha alipigwa kisu...(mwanamuziki)
10..Albert Mangweha...kuzidiwa kwa madawa.....(mwanamuziki)
11.....
NB..hapo cjaweka wale vijana wenzangu ambao walikuwa hawajulikani lkn wamefariki kwa ajari ya magari tukiwa tunatoka na kwenda batani... Erickb52@Arushaone@Mentor@Bujibuji@Mr Rocky....

Last edited by a moderator: