..2000-2013..

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
2,280
1,360
takribani vijana kumi tumewapoteza kwa vifo vya ghafla
ndio kusema muda wa kuishi ndio unapungua kwa styl hii...?
vijana tunaisha aisee...

1..Steve 2k...aliuwawa kwa kisu.....(mwanamuziki)
2..John Mjema..alijua kwa kujichoma kisu...(mwanamuziki)
3..Vivian ..ajari ya Gari...(mtangazaji redio clouds)
4..Complex ajari ya gari...(mtayarishaji muziki)
5..Steve Kanumba ...ajari chumbani..(muigizaji)
6..Sharo Milionea..Ajari ya Gari...(muigizaji)
7..Sajuki.... Ugonjwa.....(muigizaji)
8..Amina Chifupa...Ugonjwa..(mtangazaji)
9..Faza nely Arusha alipigwa kisu...(mwanamuziki)
10..Albert Mangweha...kuzidiwa kwa madawa.....(mwanamuziki)
11.....

NB..hapo cjaweka wale vijana wenzangu ambao walikuwa hawajulikani lkn wamefariki kwa ajari ya magari tukiwa tunatoka na kwenda batani... Erickb52@Arushaone@Mentor@Bujibuji@Mr Rocky....
 
Last edited by a moderator:

Kipaji Halisi hiyo copy ni kuniambia nipunguze bata ili niishi maisha marefu au ni nini aise
Ngoja nimrudie muumba wangu kwa sala na maombi huenda akaongeza umri wangu kufikia kakarne kamoja
 
Last edited by a moderator:
Wengi wao vifo vimetokana na bata na ajari. Jibu moja ni kupunguza starehe zisizo za lazima. Maake na haya mambo huchelewi kusikia mwingine kauawa
 
"Waheshimu baba yako na mama yako siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana Mungu wako"
 
Vijana kila kukicha hawaishi matukio...., wazee wametulia majumbani mwao hata wakifanya starehe si kwa papala unafikiri tutaacha kuisha?
 
Dah maisha kweli ni mafupi sana dah
Juzi tulikuwa na msiba wa kijana wa chini ya miaka 28 ambaye alikutwa kajitundikia drip hope ni ya sumu...dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom