2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Ebwana mambo vp?dah!kama dizaini kitambo sijazama pande hizi.Autuseme sija post ***** humu Chitchat,ebwana leo ndo kijana mwenzenu,au mtoto wenu au mjukuu wenu au ata mtoto wenu piya,ndo nazariwa tarehe kama ya leo mwezi kam wa leo ila mwaka tofauti nimezaliwa miaka ya tisini tu hapo bado,Japo Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio maana kuna mijitu humu aikawii kumbe mtoto sawa mtoto ila ningewai kuliona juwa kabla yako ningekuzaa,ok 2achanaye na hayo amkawii kusema na maneno mengi kama nimebemendwa,cha msingi thany kwa wadada wote walio ni Pm pamoja sana na wapenda sana,japo sijaona ata Pm moja ya kiume ila powa 2tazidi kufahamiana na kujuzana,Ansante
 
Happy Birthday to you dazipozi ila usininyime hiyo keki yako ya birthday
 
Haya, maneno meeengi.. Ila happy birthday..
 
Dah! kumbe bado hata haujavunja ungo!! ......hppy brthday.Mx
MP.
 
happy birthday dazipozi
ntakufanyia party ndogo nyumbani
ila pombe hapana, sawa?
 
Dah!kweli we ulibemendwa mkuu.
 
Ebwana mambo vp?dah!kama dizaini kitambo sijazama pande hizi.Autuseme sija post ***** humu Chitchat,ebwana leo ndo kijana mwenzenu,au mtoto wenu au mjukuu wenu au ata mtoto wenu piya,ndo nazariwa tarehe kama ya leo mwezi kam wa leo ila mwaka tofauti nimezaliwa miaka ya tisini tu hapo bado,Japo Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio maana kuna mijitu humu aikawii kumbe mtoto sawa mtoto ila ningewai kuliona juwa kabla yako ningekuzaa,ok 2achanaye na hayo amkawii kusema na maneno mengi kama nimebemendwa,cha msingi thany kwa wadada wote walio ni Pm pamoja sana na wapenda sana,japo sijaona ata Pm moja ya kiume ila powa 2tazidi kufahamiana na kujuzana,Ansante

kumbe tupo na watoto humu?
 
happy bdei..

Vp umesahau kuweka mx mwishoni?
 
Ebwana mambo vp?dah!kama dizaini kitambo sijazama pande hizi.Autuseme sija post ***** humu Chitchat,ebwana leo ndo kijana mwenzenu,au mtoto wenu au mjukuu wenu au ata mtoto wenu piya,ndo nazariwa tarehe kama ya leo mwezi kam wa leo ila mwaka tofauti nimezaliwa miaka ya tisini tu hapo bado,Japo Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio maana kuna mijitu humu aikawii kumbe mtoto sawa mtoto ila ningewai kuliona juwa kabla yako ningekuzaa,ok 2achanaye na hayo amkawii kusema na maneno mengi kama nimebemendwa,cha msingi thany kwa wadada wote walio ni Pm pamoja sana na wapenda sana,japo sijaona ata Pm moja ya kiume ila powa 2tazidi kufahamiana na kujuzana,Ansante

Heh... Dazip... Unaonekanaga machuwad kupitia posts zako.. Kumbe... Basi itakuwa ni malezi mazuri uliyopata...
Nakupa hongera wewe kwanza..
Halafu naipa hongera familia yako kwa malezi bora kabisa...!
 
Ona sasa! Si tunahangaika kukutumia ma'congra , we umetuachia Thrade umekimbilia kurusha Tiara!
Haya rudi jamvini eeh, usilie ntakununulia pipifilimbi.
Happy new year
no no !
Happy birthday.
 
Mod Kuwe na playgrounds kwaajili ya watoto humu ndani.
 
Happy b'day mdogo wangu, siwezi kusema mwanangu coz nimekupita miaka michache tu, mitano...
 
Heri ya kuzaliwa ila hapa sio playgrounds kwaajili ya watoto .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom