Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,242
- 113,616
Kwa mujibu wa video, mahojiano haya yalifanyika huko nchini Nigeria mnamo mwaka 1968. Mwaka mmoja baada ya Kambona kwenda ukimbizini huko nchini Uingereza.
Huyu Jamaa ni nani?
Mzalendo na mpigania Uhuru? Au msaliti na kibaraka wa ubeberu?
Hii nchi ina mengi kusema kweli.
Ina maana hamna jibu la moja kwa moja?Inategemea Wewe upo upande gani
Ukitaka atambulike kama Mwana demokrasi mwenye maono ya mbali basi kuna points zake
Ukitaka atambulike kama Kibaraka wa Mabeberu pia kuna points zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Meko yeye anakupoteza kabisaMwalimu Nyerere alikuwa akikuona unamzidi IQ lazima akufukuze nchini au atakutafutia Ubalozi na kukutoa nchini au kesi ya uhaini ilikuhusu, ...
Siku zote hayo ndio majina ya mpinga ufalme. Umesahau mhaini. Ila wakifa na walioamini yakawa hutukuzwa kinafiki.Huyu Jamaa ni nani?
Mzalendo na mpigania Uhuru? Au msaliti na kibaraka wa ubeberu?
Hii nchi ina mengi kusema kweli.
wako wengi sana
Ni kama ilivyo sasa. Kuna watu wanaamini kuteka, kutesa na kupoteza watu ni sehemu ya kuonesha uimara wa serikali. Lakini pia wapo wanaoona kuteka, kutesa na kuua watu ni udikteta, ukiukaji wa katiba inayompa mtu haki ya kuishi na uhuru ya maoni yake.Ina maana hamna jibu la moja kwa moja?
Inategemea na utashi wa mtu atakavyoamua amuitaje?