1968 Oscar Kambona interview

Huyu Jamaa ni nani?
Mzalendo na mpigania Uhuru? Au msaliti na kibaraka wa ubeberu?
Hii nchi ina mengi kusema kweli.
 
Ina maana hamna jibu la moja kwa moja?
Inategemea na utashi wa mtu atakavyoamua amuitaje?
Ni kama ilivyo sasa. Kuna watu wanaamini kuteka, kutesa na kupoteza watu ni sehemu ya kuonesha uimara wa serikali. Lakini pia wapo wanaoona kuteka, kutesa na kuua watu ni udikteta, ukiukaji wa katiba inayompa mtu haki ya kuishi na uhuru ya maoni yake.

AU

Kama kwa baadhi ya watu kuamini kuwa kuunga mkono kila anachofanya kiongozi, kiwe kibaya au kizuri, ni uzalendo, na kukosoa kitu kinachofanywa na serikali au kiongozi, kiwe kibaya au kizuri ni kukosa uzalendo, na kuwa kibaraka wa mabebebru. Lakini huwa hawasemi huyu beberu rafiki zake wakubwa huwa ni nani maana siku zote rafiki wa mababeru ni majike.
 
Back
Top Bottom