duh. Mkuu umenichekesha hapa balaa. Machozi yanantoka kwa kicheko ivoo!Babu mmoja alikuwa amekaa kibarazani na mjukuu wake aliyetoroka shule.Mara kwa mbali wakamuona mwalimu anakuja.Babu akamshauri mjukuu aingie ndani ajifiche,mjukuu akajibu;wewe ndo inabidi ujifiche kwa sababu shuleni nimeomba ruhusa kwa kuwadanganya wewe umekufa!
Mjamaica mmoja akiwa uingereza kwa mara yake ya kwanza alipanda double decked bus yenye upstairs na downstairs.Alipoingia ndani,siti za downstairs zilikuwa zimejaa hivyo akaambiwa aende upstairs.Alipofika upstairs mara ghafla akashuka downstairs huku akilalamika;we konda unafikiri mimi mjinga,kule upstairs hakuna driver!
Mjukuu kamkuta bibi yake akianika ch*pi kwenye kamba,mjukuu akauliza;bibi hiyo nini?.Bibi akajibu;hii ni nguo yangu ya kujifutia mikono baada ya kula.Siku moja bibi aliitafuta sana nguo yake bila mafanikio,akamuuliza mjukuu wake kama ameiona nguo yake ya kujifutia mikono?Mjukuu akajibu;nimewapelekea wageni mezani ili wajifutie baada ya kula!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us