!?!?!?

Mama kamkuta binti akiwa juu ya mti wa mwembe.MAMA;We binti kwanini unapanda juu ya mti wakati kuna wavulana hapa chini,hujui watakuchungulia nguo yako ya ndani? BINTI;Hahahaah! nilishawasoma kitambo na ndo maana kabla ya kupanda juu ya mti niliivua.
nimechekAaa.....nimejipa break kama ya saa moja hivi nkaja nkacheka sana! umetisha mkuu
 
Zte zko poa, ila zaidi ni ya babu na mjukuu wke. Ha ha ha ha!
 
Back
Top Bottom