YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,924
Nadhani uelewa mdogo Israel kabla ya kuvurumisha mikombora ile majengo iliomba waandishi wa habari waliopanga yale majengo waondoke haikuomba wanajeshi wenye silaha nzito walio majengo yale waondokeWalipewa taarifa waondoke sio??? Vita lazima kuna spy anayetoa taarifa kabla ya shambulizi.
Nakuuliza swali si umeona picha ya hospital???? Kwa jinsi ilivyo wangepona wooote halafu uone kamama kamoja kajakazito kamebebwa
Pro-westerners bhana
Walijua ni wajibu wao kulinda majengo ya Palestina
Wanasema ondokeni raia tubaki sisi na hao walinzi makomandoo wenye silaha nzito wenu walinda hayo majengo wenye silaha nzito!! Tangazo tu kutokea the so called waandishi wakakimbia na the so called raia wapangaji wakakimbia na the so called walinzi wa jengo wakati ni makomandoo wakakimbia Chezea myahudi wewe.Mijengo ikavurumishwa na mikombora bila kifo hata kimoja
Russia anataka eti wanajeshi waondoke kwanza!! Kwenye majengo walipoo Raia !! Ohh wanawatumia raia kama human shield!!!
Russia bwege akitaka kushambulia jengo anataka wanajeshi waondoke kwanza !! Ili aue raia!!