K
Kumbe mliosoma Galanos zamani mlifurahi sana,sisi wengine tumekuta karandinga limekufa na msocha ndio kapata moto balaa
Socha noma sana alikuwa anatukimbiza uwanjani wee acha tuu.
K
Kumbe mliosoma Galanos zamani mlifurahi sana,sisi wengine tumekuta karandinga limekufa na msocha ndio kapata moto balaa
Hii ndio ilikua ratiba yangu alafu nilikua kijijini huko kwa bibi
Mkuu nakumbuka ilikuwa mida ya saa nne asubuhi hiviTaarifa zilifika saa Kumi na moja jioni
Hivi enzi hizo msocha alikuwepo?? Mzeee manara alikuwepo?? Wakina kinenekejo? Lile karandika tulilikuta limepak pale mbele likiwa limkufa
Socha noma sana alikuwa anatukimbiza uwanjani wee acha tuu.
Mr. Mzee yule anafundisha BAM, Msocha, Headmaster Kinala, yule mzee alikuwa anafundisha economics anaitwa Mkilindi alikuwa anapiga sana pombe ya mnazi mpaka anajikojolea. Akaja kupokelewa na mwalimu Gurisha yanki yanki flani. Mwingine Mwl. Msombwa akifundisha alikuwa anapenda kusema, it was a process, it was not an overnight event, but a process. enzi hizo karandinga la shule lilikuwa gado haswa
SAME TO ME Q Combania..CCP Moshi, kuruta.
Haha acha tu mkuu. Nilikuwa nimetoka shule ya kijijini sana halafu nilipohamia japo hapakuwa mjini lakini watoto walikuwa wamechangamka (yalikuwa makao makuu ya tarafa). Basi academically, socially e.t.c wakawa wamenipita mbali sana nikawa najiona bonge la zoba...ndio kisa cha kutopenda kwenda shuleMkuu nimecheka sana kwakweli
Mwalimu mzee tulimkuta nakumbuka alinicharaza bakora tatu matata,sitokuja kumsahau.
Duuu umeua asee ha ha ha ha haKuna demu nilikuwa nina ahadi nae eti akaghairi kwamba ana majonzi kafiwa na baba wa taifa
Baadae kinala alistaafu akiwa headmaster pale Tanga school. Alikua poa sana yule mzee, aliweka siku ya michezo iwe tarehe 15 may ambayo ni siku yake ya kuzaliwa. Siku hiyo hatuendi darasani ni michezo tu na disco. Tulikua tunakimbia nae mchakamchaka huku tukiimba nyimbo zisizo na staha huku nae anaitikia.Mr. Mzee yule anafundisha BAM, Msocha, Headmaster Kinala, yule mzee alikuwa anafundisha economics anaitwa Mkilindi alikuwa anapiga sana pombe ya mnazi mpaka anajikojolea. Akaja kupokelewa na mwalimu Gurisha yanki yanki flani. Mwingine Mwl. Msombwa akifundisha alikuwa anapenda kusema, it was a process, it was not an overnight event, but a process. enzi hizo karandinga la shule lilikuwa gado haswa
Wewe hata meno yalikuwa yamekuota kweli?? Achilia mbali ndevu maana hizo ndiyo kabisa nahisi hata hadi sasa tu bado hazijakuota!!Kitaani fonia
Haaah ntajaribuAnza kuniamkia
Hao wote sisi hatukuwakuta labda msocha. Msocha alitutesa saaana dah....Mr. Mzee yule anafundisha BAM, Msocha, Headmaster Kinala, yule mzee alikuwa anafundisha economics anaitwa Mkilindi alikuwa anapiga sana pombe ya mnazi mpaka anajikojolea. Akaja kupokelewa na mwalimu Gurisha yanki yanki flani. Mwingine Mwl. Msombwa akifundisha alikuwa anapenda kusema, it was a process, it was not an overnight event, but a process. enzi hizo karandinga la shule lilikuwa gado haswa