sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
We ulikuw wapii
Hahah ulizaliwa 97 mwanzoni??
Hahah ulizaliwa 97 mwanzoni??
andika BABADUH SHIKAMOO MZEE
Wewe unakumbuka tulivyofutiwa paper fom4?Dah nilikuwa form V Tanga huko...
Kipind hicho nipo Usagara fom VMkuu tulisoma wote nini? Mimi nilikuwa Tanga School na mdogo wangu Mrisho Gambo ingawa siku hizi anajimwambafai
Mbona niliandika kule juuWe ulikuw wapii
Mbona niliandika kule juu
Nilikuwa mdogo sana sikumbuki nilikuwa wapiHata sikuona
Nilikuwa nafanya tempo Mwadui mining baada ya kumaliza form six Musoma secondaryMajira ya saa nne asubuhi au niseme saa tano kasoro hivi nikiwa katika viunga vya mabweni ya Shule ya Sekondari Iyunga baada ya purukushani za kupata chai kwa maandazi ya mafuta ya mawese, taarifa ya kifo cha Muasisi wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zilikuwa dhahiri.
Je wewe ulikuwa wapi ukifanya nini?
Kumbuka.