Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
- Thread starter
- #21
Ninachoamini ni kwamba Kagera wanapigwa kw sababu Yang wako vizuri na wanahitaji pointi tatu muhimu sana!,lakinimsiamini kama itakuwa 3kwa 0 mkuu,ila ushindi watake wasitake lazima waachie.
kuna jamaa anaitwa Themi Felix, hachelewi kusuprisse watu