ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Napenda sana kuona mtu anaipenda timu ya kwao.
wewe umeshindwa nini???
Napenda sana kuona mtu anaipenda timu ya kwao.
Yanga ushindi daima point3 muhimu wapende wasipende
Possible line up ya simba
1. Dhaira.
2. Chollo.
3. Waziri.
4. Kaze.
5. Owino.
6. Mkude.
7. Messi.
8. Humud.
9. Tambwe.
10. Edo christofa.
11. Chanongo.
mbongo mmarekani leo hayupo?
mkuu umeambiwa possible sio confirmed line up
Me nitakua nakazi ya kubana p.u.m.b.u tu ili wote mutoe sare.
kwani huyo garasa kwenye possible hastaili kuwepo?
Mkuu
Revocatus Kashaga, hiyo ranking table ni ya
uongo. Coastal Union hana hizo pointi 13 anazo 11 tu, tazama
Fédération Internationale de Football
Association (FIFA) - FIFA.com na The
Official Website of Azam Football Club | Tucheze pamoja kwa
furaha, si vizuri kupost taarifa ya uongo, ni upotoshaji
mkubwa.
una ROHO ngumu sana wewe inabidi uongee na MZIZIMKAVU mapema kabla hazijapasuka akuambie utumie 'AZAM MALTA' ama 'AZAM COLA' ili kukunusuru,leo no droo dar na kagera.
Sahihisho: draw Dar ipo lakini siyo Bukoba.
chanzo chake cha taarifa kimemuangusha, asante kwa taarifa.
Hapewi nafasi baada
ya Mputa kuweka hadharani kuwa 'huyo ni mshambuliaji gani anapiga
vishuti viwili ndani ya dakika 90'.
Alafu ndio aifunge YANGA, hta huyo aliyenusurika na operation kimbunga hatufungi hata goli moja'
mkuu yanga akiwa kagera ni kama mbwa kwa chatu
Msije baadaye mkaanza kulia lia mkitaka mechi irudiwe kwenye uwanja huru.
Mkuu Revocatus Kashaga, hiyo ranking table ni ya uongo. Coastal Union hana hizo pointi 13 anazo 11 tu, tazama Fédération Internationale de Football Association (FIFA) - FIFA.com na The Official Website of Azam Football Club | Tucheze pamoja kwa furaha, si vizuri kupost taarifa ya uongo, ni upotoshaji mkubwa.