ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Mpira umekwisha Yanga 2 Kagera 1 ni baad ya miaka miwili kwnye uwanja wa kaitaba.[/QU
pamoja mkuu, asante kwa uwepo wako huko.
Mpira umekwisha Yanga 2 Kagera 1 ni baad ya miaka miwili kwnye uwanja wa kaitaba.[/QU
pamoja mkuu, asante kwa uwepo wako huko.
Sio vibonde,yanga wazuri!Kumbe kagera sukari vibonde tu,go yanga go.
Narudi jukwaa la Siasa
Mpira umekwisha Yanga 2 Kagera 1 ni baad ya miaka miwili kwnye uwanja wa kaitaba.
Safiiiiiiiii. Hiyo ndiyo Dar Young Africans. Tushachukua pointi zetu tatu sasa tunarudi nyumbani kumtafuna nyau s.c timu ya al shabab rage na kukaa kileleni!
Safiiiiiiiii. Hiyo ndiyo Dar Young Africans. Tushachukua pointi zetu tatu sasa tunarudi nyumbani kumtafuna nyau s.c timu ya al shabab rage na kukaa kileleni!
Tunarejea rasmi katika nafasi ya pili hadi tarehe 20 Oktoba tutakapomuondoa aliyekaa hapo kwa bao 3-0, yule Mhamiaji Haramu alivaa jezi ipi? Au ni ile aliyokufa nayo Mark Vivian Foe wa Cameroon? Kama ni yule hakuna kitu pale. Mnyama lazima atoke damu.
Timu ya chama chako...teh teh tehSafiiiiiiiii. Hiyo ndiyo Dar Young Africans. Tushachukua pointi zetu tatu sasa tunarudi nyumbani kumtafuna nyau s.c timu ya al shabab rage na kukaa kileleni!
wewe jifunze kuripoti punguza ushabiki
Tunarejea rasmi katika nafasi ya pili hadi tarehe 20 Oktoba tutakapomuondoa aliyekaa hapo kwa bao 3-0, yule Mhamiaji Haramu alivaa jezi ipi? Au ni ile aliyokufa nayo Mark Vivian Foe wa Cameroon? Kama ni yule hakuna kitu pale. Mnyama lazima atoke damu.
we kweli makoye...List ya wasiofungwa imepungu sasa wamebaki Simba (tar. 20 naye atafungwa), Azam (tar. 13 atafungwa) na Mbeya City (tar. ya kufungwa haijulikani).
teh teh teh teh teh utamu wa soka la bongo...yanga kama siyo kununua mevhi wanashuka daraja, hakika pesa ya epa na sembe kutoka kwa riz1 na yusuph manji inaokoa jahazi..
Kamanda upo timu moja na Mwigulu Nchemba,salaaale
yanga kama siyo kununua mevhi wanashuka daraja, hakika pesa ya epa na sembe kutoka kwa riz1 na yusuph manji inaokoa jahazi..