12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

Ni kweli hiyo? kama ni kweli
basi naona wanaanza kuimarika wasije na sisi wakatubahatisha kama
polisi na toto mwaka jana au Vila squad mwaka juzi.

mkuu usishangae, hao coastal ni promo tu, huyo yayo wao labda leo ndio kafunga.
 
huko kagera, yanga Vs kagera ni dk ya ngapi wakuu?
 
Mkuu umenichekesha sana,ni kweli akitufunga tu anakumbwa na operesheni Kimbunga.

Nyinyi mnasubiri mpaka afunge, wakati sisi Niyo Anaazima tulishaanza zaman kwa kuchoma chumba chake cha kulala. Bado kavua nguo
 
Mpira umekwisha Yanga 2 Kagera 1 ni baad ya miaka miwili kwnye uwanja wa kaitaba.
 
Back
Top Bottom