12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

Mliopo katiba tujuzeni, sisi ndo twatoka hapa uwanjani
 
Kun kituko hapa
mchezaji wa kagera kashika mpira kwa makusudi akidhani amefanyiwa faulu
na ngass,sasa wanamzonga mwamuzi,na mwamuzi hajampa kadi pamoja na
kutoa faulu kwa yanga!

Yote kheri mkuu, mradi point 3 zitue jangwani.
 
Kuna huyu line 2 anaitwa Carros Kassa kutoka kigoma haitendei haki yanga!kila wakati ananyoosha offside hata kama sio!
 
Nasikia bartez anajilaza laza hovyo
 
Huwezi Kuamini Lakini Ndio Kilichotokea

Ashant 2 Coastal 1

Mechi Imekwisha
 
Huwezi Kuamini Lakini Ndio Kilichotokea

Ashant 2 Coastal 1

Mechi Imekwisha

Ni kweli hiyo? kama ni kweli basi naona wanaanza kuimarika wasije na sisi wakatubahatisha kama polisi na toto mwaka jana au Vila squad mwaka juzi.
 
Jesse John anasema Cannavaro anacheza kichwa kizuri kabisa kile anaokoa, tulikuwa tuondoke ile!
 
Back
Top Bottom