09/12 siku mlango utakavyolia

09/12 siku mlango utakavyolia

Usiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.

Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.

Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.

Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.

Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.

Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.

Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.

Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.

Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.

Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.

09/12.

Britanicca
Naona unabet mechi iliyo hairishwa?
 
Wachaga wuwongo wewe.
Kama ni unufaika wa mifumo basi angalau hata enzi za JPM aliyefajamiana naye, lakini huyu wa sasa hakuna kitu hiyo. Anafahamiana na wengi wengi lakini siyo kwa faida za kimfumo. Halafu kuhusu siri hakuna wakati serikali ipo uchi halafu inaishi kwenye nyumba ya vioo bila mapazia na taa zimewashwa kama kipindi hiki.
Kipindi hiki serikali ipo wazi sana
Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna siku watu wengi mtakubaliana na mimi

Hivi aliishia wapi yule kigogo2014 wa Twitter?
 
Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna siku watu wengi mtakubaliana na mimi

Hivi aliishia wapi yule kigogo2014 wa Twitter?
Kama ume comment kwa kutumia uzoefu hapo sina shida, ila katika uhalisia haipo hivyo kabisa.
 
Kama ume comment kwa kutumia uzoefu hapo sina shida, ila katika uhalisia haipo hivyo kabisa.
Hiyo ya kigogo nimeongezea tu mkuu,lakini hizi siri ni za watu wachache hazivuji hovyo
Ukiona zimevuja basi tambua zimevujishwa strategically

Huyu mtu pamoja na baadhi ya wanaharakati wapo kimkakati

Kuweni makini sana wakuu.
 
Toka isemekane kule telegram kuna kulipia hela, nimepunguza imani na intel za huyu mwamba.

Nadhani watanzania sasa tunageuzwa daraja la kujipatia kipato kwa watu kwa kuuza taarifa ambazo kimsingi haziongezi value yoyote kwenye maisha yetu ya kawaida

Ni bora taarifa zenyewe zinazouzwa zingekuwa zinatoa wayfoward ya matatizo yanayolikabili Taifa letu kuliko hizo speculations ambazo pengine wanaamua tu zije public ili wao waendelee na mambo yao kwa kujua kwamba hazina madhara yoyote kwao

Mifumo ina watu wa kila aina pengine mtaalamu Britanicca ni sehemu ya mfumo na sasa ameamua ajiongeze kwa kujiongezea kipato
 
Kama Mange app😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom