mnhhh i am scared na hizi topics kwa kweli
huwa nashindwa hata changia...
i guess nazeeka now
Ukiolewa na waarabu wa mafuta
si utafurahi sana?
Nimeongea from your quotes ...sawa?
topic ya mume na mke na ky jelly
remember?
Hahahaaaaaaaaaa! Najua sanaaa kama husahaugi jambo!!!!!!!1 Ndo nikakwambia chokochoko mchokoe pweza binadamu hutoniwezaaaaa!!!!!!!!! Ngoja waarabu wasikie unawataja taja huku!!!!!!!!!!!! Ile tofauti na huku, yule alishapotea so ule ushauri ungemsaidia ila huku watu watafuta visingizio vya kuanza!!!
my love for threesome looks like a church thing with this lol
bora mimi lol
Mh, hapa pagumu kwani wanatakiwa galasa ndio waje waendeshe mada, mie bado nina bikra mbichi.