zoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. luangalila

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya mji Kibaha zoezi la Postikodi linahujumiwa

    Nikiwa kama mkazi ndani ya Halmshauri ya mji huu, Kiukweli zoezi la postikodi lina hujumiwa licha ya jitihada ya serikali kuwapa taarifa wananchi mara kwa mara juu ya zoezi hili. Ndani ya halmashauri hii ikiwa leo ni tareh 15 ya mwezi April, kuna kata ambayo sitaitaja zoezi la ukusanyaji wa...
  2. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Zoezi la anuani lishawahi kufanywa, wapigaji wanafikiri tumesahau

    Ubinafsi uroho na ulaku wa kupiga hela ya umma unapelekea miradi nchini Tanzania kutolewa hela mara mbili au hata tatu. Kwa mfano hili zoezi la anuani za makazi linalopigiwa kelele na hii inayojiita awamu ya sita kwa wenye kumbukumbu ni project ilishatolewa fungu tangu awamu ya 4 mwanzoni. Wala...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Ugawaji wa Anwani za Makazi bado linasuasua

    Licha ya Viongozi kusisitiza kuharakisha na kukamilika kwa zoezi la Ugawaji wa Anwani za makazi ifikapo mwezi Mei mwaka huu 2022 lakini uchunguzi umebaini bado zoezi hilo linasuasua ktk baadhi ya maeneo mengine ktk Jiji la DSM. Ikumbukwe zoezi hili ni muhimu sana kwa Taifa letu hivyo ni muhimu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari ya kuwa na anuani ya makazi hewa kutokana na zoezi la anuani linaloendelea

    Nimepigiwa simu na Baba Mzazi kutoka huko Moshi Kilimanjaro na kunieleza ya kwamba kuna hatari kubwa ya kuwepo kwa anwani hewa zitakazotokana na zoezi hili la urasimishaji wa anwani za makazi kama ifuatavyo:- Kwamba, wahusika wanasajili makazi kwa maana ya "nyumba" ambapo Msingi unatafsiriwa...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Zoezi la sensa lisitishwe kwa mwaka 2022, hadi uchumi utakapokaa sawa

    Ni karibia mwezi sasa tangu Urusi apewe vikwazo ambavyo vilitarajiwa kumuumiza ila kwa kuwa anajitosheleza amekuwa akiendelea kuweka hadidu zake na wanaposhindwa kuzifuata anaendelea kupiga. Hali imekuwa tete kwa nchi nyingi huku Afrika ikiumia zaidi kutokana na kuwa tegemezi kwa kiasi kikubwa...
  6. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Zoezi la ukusanyaji wa anuani za makazi kwa Iringa litafanyika lini wakuu?

    Jamani mbaka mudaa huu tushaona hili zoezi likiwa limeshaanza sehemu mbalimbali nchini Tanzania, kama vile Dar es salaam, Dodoma, Mbeya, Kigoma, Morogoro, Shinyanga n.k. Huku halmashauri za mikoa na majiji zote zikitangaza nafasi kwa vijana ambayo wapo tayari na wanavigezo vya kufanya kazi ya...
  7. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato. Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Anuani za makazi ni Bomba lakini kasoro hii itajitokeza

    Baada ya halimashauri na vitongoji kutakiwa waweke wenyewe nguzo na vibao vya majina vya mitaa Yao tayari kumeshazorotesha zoezi Zima za Anuani za makazi. Kwani huko mitaani Kuna shida ya mchwa, mvua, Kuni, wahuni na umaskini. Kama watatumia Mbao/miti kwenye kuweka alama hizi itakuwa kazi ya...
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kumuokoa mtoto Rayan wa Morocco aliyezama ndani ya kisima cha mita 30 limeingia siku ya 3, tumaini bado

    Ni mtoto wa miaka mitano (5); baada ya baba yake kumtafuta kwa masaa kadhaa ndio akagundua kwamba kadumbukia kwenye kisima kilichokuwa kinafanyiwa matengenezo. Video zina maelezo “Do this, send a soft bracelete attached to a rope along with a speaker, let his dad explain to him how wear it...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikumbushe Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Kiswahili

    Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe. Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania. Pia soma Profesa Ibrahim Juma: Muhtasari...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Yanga kuandikisha wanachama kigiditali limepigwa na kitu kizito Zanzibar

    Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake. Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate: Hatulazimishi watu kufanya usafi, bali litakuwa zoezi shirikishi

    DC JOKATE: HATULAZIMISHI WATU KUFANYA USAFI, BALI LITAKUWA ZOEZI SHIRIKISHI Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo amezindua kampeni ya "Pendezesha,safisha Dar es salaam" yenye lengo la kusafisha mkoa wa Dar es salaam. Akizungumza katika eneo la Zakhem Mbagala, ambapo kampeni hiyo...
  13. GwaB

    JamiiForums Tanzania Kwamba zoezi la kuitafuta ndege iliyopotea pori la akiba Selous limesitishwa

    Nimesoma mahali kuwa lile zoezi la kuitafuta ndege ndogo iliyopotea ikiwa na rubani mmoja limesitishwa baada ya wiki kadhaa za kuitafuta. Njia zilizo tumika kuitafuta na kushindwa kubaini hata mabaki ya ndege hiyo kama haikuvuka mpaka wa JMT pia hazijawekwa wazi. Inashangaza kuona wakati huu...
  14. ndenga

    JamiiForums Tanzania Baada ya zoezi la kuwapanga wamachinga, na hili liangaliwe...

    Nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa zoezi liloratibiwa vizuri sana la kuwapanga Wamachinga. Hili zoezi linaweza kuwa na lawama chache lakini ukichukulia tulipokuwa na tulipofikia kiukweli tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Ombi kubwa katika hili ni kuhakikisha hawa Wamachinga...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuondoa Machinga limefanikiwa?

    1. Tathmini ya kuondoa Machinga ikoje? 2. Zoezi limefanikiwa? 3. Kama halijafanikiwa kikwazo ni nini? 4. Kama limefanikiwa nini cha kujifunza kwa baadaye? 5. Miji imekuwa misafi sasa? 6. Foleni zimepungua? 7. Wenye maduka wako huru? 8. Mitaa ya katikati ya miji inapitika? 9. Mitaro inaweza...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wanahabari na wanasiasa kutoka makundi ya vyama acheni kupinga zoezi la machinga, mnatafuta sifa za kijinga

    Kero ya machinga huko barabarani hapati rais peke yake, kero ya machinga hapati waziri mkuu peke yake, kero ya machinga hapati RC, DC au mkurugenzi peke yake! Kero hii ya machinga wanaipata wanainchi wengi wastaarabu wanaozingatia kanuni na sheria za inchi. Kero ya machinga tunaipata sisi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

    My take 1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa 2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kumbomolea machinga ni sawa na kumuachisha mtu kazi bila malipo yoyote

    Machinga kujaa kila sehemu mijini ni tatizo kubwa ila hoja ya kuwaondoa katika maeneo yao kiholela ni unyama usiofikiria athari za kimaisha kwa hawa watu na kujiuliza tumefikaje hapa tulipo? Suluhisho la machinga ni kwa miji yote kutengeneza masta plani za miji na kuainisha maeneo ya wafanya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Changia damu, okoa maisha"Ukweli kuhusu zoezi la uchangiaji damu"

    UTANGULIZI "Changia Damu,Okoa Maisha"hii ni kauli mbiu ya mpango wa taifa wa damu salama inayotumika kuhamasisha uchangiaji wa damu ili kuokoa maisha. Watu wengi,watoto kwa watu wazima wanahitaji damu kila panapoitwa leo kutokana na ajali,maradhi,baada ya kujifungua n.k Moja ya taarifa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limefanya zoezi la ukaguzi wa ubora wa bidhaa mbalimbali wilayani Kasulu-Kigoma

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
Back
Top Bottom