zoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    Ommy Fitness: Kukimbia ni zoezi baya sana lisilofaa kufanywa. Halina msaada

    Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana naye? https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/
  2. H

    Dkt. Mwigulu ashiriki zoezi la upandaji miti, Dodoma

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI, DODOMA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma. Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...
  3. A

    Msaada ulaji mzuri katika zoezi la kushusha presha

    Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote naruhusiwa kula km ndizi,tikitik naomba kuelekezwa
  4. JOHNGERVAS

    Mrejesho wa Zoezi la Kutoa Tabasamu Tarehe 24 Desemba

    Nilikuja na post Zawadi yangu ya kuzaliwa: Kuwapa wengine tabasamu Jioni ya juzi, tarehe 24 Desemba, nilihitimisha safari yangu ya kuwasaidia familia kadhaa. Ingawa hazikuwa nyingi, familia wachache tulizozitembelea walifurahia msaada wetu. Kila familia ilipokea mchele, sukari, na kuku mmoja...
  5. Keynez

    Nafanya zoezi kubwa la kuwatambua waliochochea vurugu

    Niliwahi kuonya kuwa maandamano kama yale ya 29/10/2024 yangepata ugumu kufanikiwa kwa sababu wanaopanga walitangaza muda mrefu na kuwapa upande wa pili muda na nafasi ya kujipanga kwa Plan A, B, C hadi D. Nina theory moja ambayo ninayo na naendelea kuifanyia kazi inayosema kuwa baada ya vyombo...
  6. B

    GE2025 Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano

    Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano yanayopinga utawala wa Samia https://m.youtube.com/watch?v=HtoIA-AVb18
  7. Cute Wife

    GE2025 Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani

    Wakuu, KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli. Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
  8. R

    Zoezi la kuhesabu kura linaendelea Cameroon huku Upinzani wakilalamika kupewa vitisho

    Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Cameroon kufuatia uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025, ambapo Rais aliyepo madarakani, Paul Biya, anatafuta kuendelea kushikilia madaraka baada ya miaka 43 uongozini. Biya, mwenye umri wa miaka 92 na anayejulikana kama Rais mzee zaidi...
  9. DuaZaMama

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) linatekeleza zoezi la ajira kitaifa Oktoba

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa vyuo vikuu, Wakandarasi Maalumu, Wajibu wa Kawaida, Wafundi wa Kazi na Wanawake, pamoja na Askari wa...
  10. matunduizi

    Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

    Tembea KWA miguu umbali wa kukutosha. Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi. Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu kikakamavu. Utanishukuru. Mwili utabaki Bora na IMARA na mvuto hautapotea kama mkimbiaji na zile apps...
  11. Mshana Jr

    GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  12. Kazanazo

    Fanya zoezi hili kama unajihisi una tatizo la kumwaga haraka wakati wa tendo

    Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:- Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya kuchuchumaa kisha wakati wa kumwaga mkojo usiutoe moja kwa moja hata kama umekubana kiasi gani fanya...
  13. MamaSamia2025

    Ninawapongeza wanaCHADEMA kwa kuacha harakati zao kwa muda ili kufuatilia zoezi la uchukuaji fomu CCM

    Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
  14. Stuxnet

    Zoezi la Mange Kimambi la Unfollow Wasanii: limewaongezea followers badala ya kuwapunguzia

    Zoezi lilianza June 3 2025. Hapa ninaleta summary ya kudikia leo 18/06/ 2025 kutoka mtandao wa www.hyperAuditor.com Mwambieni Mange Kimambi afanye yake, aachane na Watanzania. Maana badala ya kupunguza followers, hawa wasanii/ watu maarufu wote wameongeza idadi ya followers.
  15. Roving Journalist

    Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
  16. Pfizer

    TPA yazindua zoezi la ukaguzi wa malori yanayohudumia bandarini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini imeanza rasmi zoezi la ukaguzi wa ubora wa malori yanaingia bandarini kwa ajili ya kushusha na kupakia mizigo inayopita katika Bandari ya Dar es Salaaam. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye bandari...
  17. GENTAMYCINE

    Huyo ataachiwa rasmi Novemba 2025 baada ya Zoezi muhimu Malawi ya Kaskazini kumalizika na hizo Danadana za tarehe zitaendelea mno tu

    Kuna vitu vingine wala havihitaji Akili kubwa au Mtu kusumbuka au kuhangaika navyo kuvielewa. Uhuru wake Novemba.
  18. ngara23

    Nahitaji kuwa Mwanaharakati wa wanyama wafugwao, kuhusu zoezi kuchinja

    Hawa wanyama ni wema na ni rafiki kwetu sisi binadamu Lakini binadamu wamekuwa wapumbavu na wakatili Kwa viumbe hivi Wanyama hawawezi kuongea wala kujitetea, watatetewa na nani ? 1. Kuhusu suala la kuchinja. Tunaweza kuwa tunahitaji kitoweo kutoka Kwa wanyama ila utaratibu wa kuchinja, ni...
  19. Roving Journalist

    Kailima aonya watakaovuruga zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa...
  20. W

    Zoezi la Ubadilishaji wa Noti za Zamani Mwisho Kesho

    Zoezi la ubadilishwaji wa noti za zamani lililoanza tarehe 06 Januari 2025 linatarajiwa kumalizika tarehe 05 Aprili 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa kuwa fedha halali za Tanzania. Baada ya tarehe hiyo, mtu yeyote au taasisi yoyote inayomiliki fedha hizo haitaruhusiwa...
Back
Top Bottom