zoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Clouds Media ombeni msamaha watanzania kwa kudanganya zoezi la uokoaji kariakoo limesimama

    Hii habari ni ya uongo hakuna zoezi lililositishwa hivi navyozungumza nipo kariakoo sababu mimi ni mdau hapa. Zoezi la uokoaji liandelea watu wanapiga kazi na baadhi wamefikiwa tayari. Media kama hii kubwa inapotoa upotoshaji kama huu inawaacha watu kwenye mshtuko na kukatisha watu tamaa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ghorofa laendelea kushuka, zoezi la uokoaji lasimama, mwananchi watawanywa

    Mamlaka zimesitisha kwa muda zoezi la uokoaji hapa Kariakoo kutokana na jengo kuzidi kutitia na kuongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa maafa. Bado inasadikika kuwa kuna idadi ya watu wengine chini ya kifusi japo baadhi wamekoma kuwasiliana na ndugu waliopo nje.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napendekeza waanze haraka sana hili Zoezi na Mwamposa na Mwacha kwani nina uhakika nao wana Changamoto hii tajwa na Padri Sanga wa SAUT Mwanza

    Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri. Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mpaka Sasa TAMISEMI imeshindwa kabla ya zoezi kuanza

    1. Kumuengua mgombea kisa Hana shughuli ya kiuchumi ni upumbavu wa hali ya juu Kuna wazee walio na umri wa miaka 60 na kuendelea ambao wengi wao hawana majukumu ya kiuchumi ya kuzalisha mali je hawapaswi kugombea? 2. Kama makosa ya kujaza form yameonekana kuwa sugu kwanini msingetoa semina...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hamasa kubwa kwa wananchi kujitokeza kupiga kura sanjari na zoezi la kuwaengua wagombea wa upinzani kwa fitina Je CCM inataka kuwaminisha nini Wadau

    Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka Hivi CCM wanataka...
  6. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zoezi la Uchukuaji na Urejeshaji wa fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mbwembwe linaloendelea nchini nzima ni ishara ya uvunjifu wa amani

    Sioni sababu yoyote ya watu kukusanyana kwa ajili ya zoezi la kwenda kuchukua fomu tu ya kugombea, kwangu naona ni ishara kuwa wanaofanya hivi lengo lao wakishindwa kwenye uchaguzi ionekane wameibiwa kura, period. Kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za 2024, mwongozo wa uchaguzi na mwongozo...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nashauri shule inapojengwa iende sambamba na zoezi la kupanda miti mazingira ya shuleni

    unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so inachukua miaka mingi.. Wakati kulikuwa na uwezekano kipindi ujenzi unaanza palepale inapandwa ya matunda...
  8. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mchengelwa uongeze siku za kuandisha daftari la Serikali za Mitaa, Yanga na Simba zimeathiri zoezi

    Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo: 1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali. 2. Yanga na simba zimeathiri zoezi zima la kuandikisha watu wote wameenda kuangalia mpira wa simba na yanga, cha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mianya ya udanganyifu ilivyotawala zoezi la uandikishaji

    Kesho, zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linafikia tamati. Leo, nikiwa na muda wa kutosha nyumbani, niliona ni vema kuzunguka vituo vya kujiandikisha vilivyopo katika eneo langu la Buza ili nijionee hali halisi. Swali lililonisukuma kufanya hivyo ni moja: Je, haki...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete azindua zoezi la kupandisha Mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro kama ilivyoelekezwa na rais Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya Wanyamapori

    ZOEZI LA SENSA YA WANYAMAPORI LAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI MOROGORO Na Happiness Shayo-Morogoro Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya Wanyamapori lengo ikiwa ni kuhesabu Wanyamapori nchi nzima kwa uhifadhi wa rasilimali za...
  13. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania HIVI INTERVIEW ITAFANYIKA MAKAO MAKUU YA HUKO MIKOANI AU ZOEZI LITAENDELEA KWENYE WILAYA ZOTE NDANI YA MKOA.

    Nawasilisha.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Issue si kusitisha zoezi la kuwahamisha wamasai Ngorongoro, Issue ni je motive behind kuwahamisha ameisitisha?

    Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai! Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  16. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Yapongeza Zoezi la Ufutaji Leseni na Maombi Yasiyokidhi Vigezo

    Kamati ya Bunge yapongeza zoezi la ufutaji wa leseni na maombi yasiyokidhi vigezo. ● Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa. Dodoma Imeelezwa kuwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kiasi cha maombi 2648 ya utafutaji wa madini yamefutwa na kuondolewa kutokana na...
  18. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU - Uyui Tabora, chunguzeni Tuhuma za rushwa kwa mtendaji kata ya Loya kwenye zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura

    Tume huru ya uchaguzi ilitoa nafasi za kazi kwenye kuboresha daftari la mpiga kura na wazalendo waliomba kulitumikia taifa lao! Cha kusikitisha Mtendaji kata wa Loya akaanza kushawishi waombaji watoe 25000/= Ili kujihakikishia kupata nafasi hizo na wale ambao hawakutoa chochote...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Huduma za Afya aliloanzisha Makonda liwekewe utaratibu kwa kila mkoa

    Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda. sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja. zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi . KWA HISANI YA...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Arsenal wafanya zoezi la kuvishwa medali za ubingwa, Waandaa Jukwaa na kombe feki

    Kwamba iwapo watatwaa ubingwa leo wasiwe washamba wa shughuli hiyo
Back
Top Bottom