zitto

  1. Zitto Kabwe mbona huwa hakamatwi kwa uchochezi na uzushi kama ilivyo kwa wapinzani wengine?

    Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu...
  2. Mh. Zitto na viongozi wengine wa upinzani

    Kwa kuwa nyinyi ndio viongozi ambao mmebaki angalau mkisema mnasikika, basi tunaomba muongelee suala la mikopo ya elimu ya juu. Mpaka sasa haijulikani hatima ya wanafunzi wanaotakiwa kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB). Tafadhali, saidieni kuwasemea watoto wa kitanzania ambao wamekosa...
  3. Zitto Kabwe: Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza

    Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza Zitto Kabwe James Kabalo Mapalala ametangulia mbele ya haki. Mwenyezi Mungu ndiye anajua amali zake duniani na yeye ndiye atampima kwa matendo yake. Lakini Mzee huyu alitimiza wajibu wake kwa sisi wanadamu tunaoishi Tanzania. Mimi sikuwa...
  4. J

    Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

    Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu. Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
  5. Zitto akiukosa ubunge 2020 atafanya kazi gani?

    Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia. Je baada ya kukosa ubunge...
  6. Kuiteketeza CCM jukwaani kunahitaji siku chache tu. Zitto Kabwe afunika Kigoma, uwanja wafurika hadi kuzidiwa

    Kuzuia siasa za Majukwaa na uminyaji wa Demokrasia kwa miaka minne hakujaokoa ccm hata chembe , bado tegemeo lao kubwa litabakia kuwa Polisi na dola kwa ujumla . Ushahidi huu hapa
  7. Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

    Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema: Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe...
  8. M

    Madai kwamba wachaga wamelitawala kanisa katoliki yapanguliwa kwa hoja. Hajaitwa mtu hadharani bali yapanguliwa kisomi

    Mwaka jana madai ya uchaga yaliibuliwa na gazeti la JAMVI LA HABARI likisema maaskofu wa kanisa katoliki huteuliwa kwa kufuata uchaga. Madai hayo haya hapa (bonyeza hapa) Mtakumbuka madai haya yaliingia hadi bungeni gazeti hili kujadiliwa. Jumatano iliyopita ina makala moja ya RAIA MWEMA...
  9. S

    Ukuaji na ukomavu wa #MfumoMagufuli - mumeanza kuelewa?

    wakuu wanabodi nawasalimu. umepita muda kidogo sijashiriki mjadala humu lakini yote yako powa kabisa na sijatekwa kama wangine walivyodhani. tuko bize na safari ya kuhamia dodoma. miezi kama 6 hivi imepita niliandika mada kuhusu ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe. mada iko kwenye uzi huu...
  10. S

    Tetesi: Kinachoendelea ni dalili za kuwasili AMNESTY INTERNATIONAL

    Ghafla kumekuwa na wema kila kona. Siyo mahakamani, siyo majukwaani, Siyo makanisani kwa ujumla hizi wiki tatu ninaziita kisiwa cha amani. Sasa ni wema na kauli za wema na hotuba za ukarimu. Lakini kwa nini wema huu uje ghafla hizi wiki tatu. Hongereni JF mmejiuliza wengi kwa namna mbalimbali...
  11. E

    TARURA na Yono auction mart wanataka kutudhulumu sisi wakusanyaji wa ushuru hapa Mbeya Mjini

    Kwanza nianze kwa kuwasalimu. Pili naomba hiki kilio kiwafikie mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano na waziri wa Fedha na Mpango. Ni kuhusu sisi Wafanyakazi wa YONO AUCTION MART na TARUA hapa Mbeya. YONO AUCTION MART umeingia kama mkusanyaji wa...
  12. B

    Hivi na hili SUMATRA inalijua? Tuisaidie, pengine meno yataota

    1.Mabasi yanajaza kupita uwezo,ushahidi Upo, ni juzi tu nimesafiri kuelekea mbeya kwa basi mojawapo,wanaweka ndoo kibao. Traffic wanapewa chao mambo yanaenda kama kawaida 2. Kuna gari aina ya noa, zimebadilishwa na kuwa za abiria. Kiuhalisia ile gari ina capacity ya watu 8 ila inabeba 10...
  13. Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

    Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza kulipa mema, au kupigwa na mapigo ya kufidia uovu!. Karma ni powers of 'cause and effects' ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…