zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye aliyeongoza mpango wa kumuondoa Zitto Kabwe katika chama hicho baada ya kupata laptop yenye baadhi ya taarifa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigwangalla asema aliyoyafanya Lissu kwa Zitto Kabwe takribani miaka 11 iliyopita yamemrudia! Hatoboi huu uchaguzi, Je ataenda CCM? CUF au NCCR?

    Dr. Hamis Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa X ameandika Mhe. Lissu hatoboi huu uchaguzi. Last two weeks akizungumza kwenye Space/Clubhouse nilimsikia akisema yeye hatoondoka CHADEMA, namnukuu “I ain’t going nowhere…” Akasema tena situation yake na ya Mhe. Zitto ziko tofauti sana, akidai kuwa...
  3. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimeijua CHADEMA kupitia Zitto Kabwe, Halima Mdee na Tundu Lissu

    Nakumbuka nikiwa mdogo umri wa miaka 14 mwaka 2008 Machachari yake zitto ya kipindi kile,halima mdee (sauti ya zege) dokta slaa na Tundu lissu hao ndio walinifanya niijue CHADEMA. So CHADEMA imejengwa na watu wengi maana hata hao wote juu walionifanya nikaijua CHADEMA lissu pekee ndio kabaki...
  4. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

    Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini. Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa. Naunga mkono mtazamo wa...
  5. FK21

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe mwanasiasa mwenye akili nyingi

    Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha ACT na amewaachia wengine uongozi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo...
  6. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

    * Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mkomavu katika siasa za Tanzania ni mtu wa kuigwa ni kijana wa Mbowe ameanzisha chama amestaafu mbowe Bado yupo

    Zitto Zuberi Kabwe Mwami! Mtu wa watu kijana mkomavu ameamua kuwa mzee angali Bado ni kijana mdogo ili kuipa nafasi demokrasia. Yeye ni Nyerere wa ACT Wazalendo muasisi wa chama mwenye umri mdogo zaidi. Navutiwa na siasa zake japo akina freeman walijaribu kuizima hii nyota ikashindikana...
  8. WOWOWO

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mtazamo wangu Mbowe na Lissu ni vita zaidi ya nje kuliko ya ndani. Ni mwendelezo wa Zitto na Maria Sarungi

    Miaka ya 2010 wakati Zitto Zuberi Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wanaanza kujenga “picha ya kundi ndani ya Chadema” kwa lengo la kuchukua kiti cha Freeman Mbowe (FAM) CHADEMA, mambo kadhaa yalikuwa dhahiri na yanaweza kulinganishwa kwa kiwango kikubwa kwa mizania na mlinganisho na hali...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi; Zitto Kabwe: 2009 nilipogombea Uenyekiti taita CHADEMA, hapo ndiyo ilikuwa mwisho wa amani yangu ndani ya chama

    Mwaka 2009 nisameka, kwani kuna dhambi mtu wa Kigoma kuwa Mwenyekiti wa Chama taifa, kuna dhambi? Nikagombea, hapo ndiyo ilikuwa mwisho wa amani yangu ndani ya chama. Toka mwaka 2009 sina amani katika chama. Sababu haiwezekani kila siku kwenye chama, kundi moja wala halikosei, kundi jingine...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alipotangaza kutogombea Urais, je alikuwa na mawasiliano ya karibu na Lissu?

    Ninaamini alikuwa na mawasiliano ya karibu sana na Lissu, kwamba atakuja kugombea kupitia ACT Wazalendo.
  11. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania ZItto aonesha udhaifu kiuongozi

    Wakati Tundu Lisu anatangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM taifa, muda mchache baadae Zitto Kabwe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, hasa ukurasa wake kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) ameonesha kufurahishwa siyo na kitendo cha Lisu kugombea, Bali kwamba kuna...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe achekelea, asema Bundi ametua kwa majirani, ahaidi kusuluhisha vita

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. Zitto Kabwe amesema bundi ametua kwa majirani na kuahidi kusuluhisha vita.
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kama namuona Mchungaji Msigwa na Zitto Kabwe wanavyochekelea Chadema wakitifuana

    Wakuu mjumbe hauwawi,Msigwa anasema safari hii Mwamba kapatikana 😁😁😁👇👇 Mwamba wa ACT Wazalendo anawa zoom tuu 😂😂👇👇 https://x.com/zittokabwe/status/1867117457988636793?t=u2ZhhSonhiMhl-S92nDa8A&s=19
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna taarifa kuhusu Zitto Kabwe kuhusishwa na utekwaji wa Abdul Nondo

    Wakuu nahitaji kupata uhalisia wa hii taaria niliyokutana nayo huko mtandao wa X kwamba Zitto Kabwe anahusishwa na utekaji wa Nondo ni upi uhalisia wa taarifa hii?
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Sisi ndiyo Washindi kwenye Uchaguzi huu

    "Umati huu wa watu ambao mmekusanyika leo(Novemba 29, 2024) uwanja huu wa Kawawa ni ishara dhahiri ya kwamba sisi ndio washindi katika uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa Vijiji na Vitongoji” “Kama CCM wanaamini kuwa wao ndio washindi waje wathubutu kutujibu mkutano kama huu hapa Kawawa...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Zitto Kabwe adai kulikuwa na kura nyingi bandia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amedai katika uchaguzi uliofanyika wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kulikuwa na kura nyingi za bandia katika maeneo mbalimbali nchini jambo ambalo lilikuwa dalili ya kufanyika kwa ubadhirifu katika chaguzi huo. Zitto ameyasema hayo...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe

    Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto ameongea mengi: - Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine. - Ametolea mfano yanayoendelea Angola na Msumbiji kuwa Vyama tawala vilitegemea Vyombo vya Dola kubaki madarakani -...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Tunatangaza kususia ofisi za viongozi wote waliochaguliwa kwa kura bandia mpaka Uchaguzi ufanyike upya

    Wakuu, Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Tunataka kuhakikisha hatulalamiki tu bali tunachukua hatua tunakwenda mahakamani kufungua kesi 67

    Wakuu, Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa; "Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi 67, tunamshtaki msimamizi uchaguzi wa manispaa, msimamizi msaidizi wa uchaguzi na aliyewatangaza...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Zitto alalamika matokeo ya Kilwa Kusini kutotangazwa licha ya ACT kushinda baada ya kuzuiwa na Askari

    Wakuu, Kupitia ukurasa wa X Zitto Kaandikwa haya; Kijiji cha Kiranjeranje kilichopo jimbo la kilwa kusini mkoani lindi,ACT Imeshinda kijiji na msimamizi aliamua kuwa atatangaza. Polisi wakamuambia maagizo hayako hivyo, yeye akasema tunatangaza matokeo kwa mujibu wa sheria na siyo maagizo...
Back
Top Bottom