Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.
Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kesho Mei 04, 2025 atachukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho kumteua kuwa Mgombea wa Jimbo la Kigoma Mjini ambapo akishachukua fomu ataongea pia na Wananchi wa Kata ya Bangwe.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Katika muda wa miaka 15 niliyokuwa mbunge miongoni mwa Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati tangu wakati inaitwa Nishati na Madini. Mwaka huu naona bajeti imepitishwa bila mikwaruzano yeyote. Nilipata kusema huko nyuma kuwa Waziri Dotto Biteko ni 'Simba mwendapole'...
Wakuu, Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye hivi karibuni nimemsikia akisema akisema mwaka 2018 yeye na wabunge wenzake wa mikoa ya kusini walisimama kutetea zao la korosho bungeni, Pia akitaja mtu anayemuita mjomba pamoja na Lema na wenzake hawakuwa watetezi wa korosho na kwamba leo wakijifanya...
Jana Mjadala wa suala la IPTL kupitia Jamii Media JamiiForums
umezuiwa kwa hoja kwamba jambo lipo mahakamani. Sikubaliani na tafsiri hiyo ya jambo kuwa mahakamani kwamba lisijadiliwe. Jambo hili ni la Umma, limeibuliwa na CAG, lazima lijadiliwe.
KWANZA naunga mkono msimamo wa uongozi wa...
Hii video inamuonesha zitto kabwe akipinga kwa nguvu ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP, zitto kabwe alikuwa anataka tanesco wazalishe umeme 2100 MW kwa kutumia gesi asilia,
zitto alisema maji hayatajaa kwenye bwawa la JNHPP maana uwezo wa maji kwenye mto umepungua kwa asilimia 47, cha...
Allah Akbar !!... Ule wakati Sasa unakaribia
Ni Mwanasiasa Nguri , Mwenye Misimamo Mkali na aliyeamua kua sehem ya historia ya Mabadiliko , Zitto Kabwe, akinukuu Maandiko Matakatifu Toka katika Quran Takatifu , amewasihi Watanzania wote nchini kua katika kuyatafuta mabadiliko ya kweli na...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akieleza kuwa haiwezekani uchaguzi kuwa huru na wa haki chini ya mfumo wa sasa.
Akizungumza Jumamosi, Machi 29, 2025, Lindi Mjini mkoani Lindi, Zitto amesema kuwa ACT Wazalendo...
"Kwa chaguzi tatu mfululizo thamani ya kura imepotea. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hakukuwa na kura, takribani wagombea wote wa upinzani walienguliwa. Mwaka 2020 tuliona kwa mara ya kwanza kura feki zikizagaa hovyo barabarani. Mwaka 2024 wakafanya kama mwaka 2020"
"Matumaini yote tuliyokuwa...
Soma, Pia: CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127
IPTL dude linalofufuliwa kila Awamu. Mahakama ilishamaliza suala hili tena mahakama ya rufaa. Kampuni haipaswi hata kuwepo kwenye rejesta ya BRELA. Yeyote anayethubutu kurudisha mzimu...
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini.
Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika:
"Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu...
Mnamo Februari 26, Mwaka huu Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kupitia Mwenyekiti wake Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza, kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo Tume hiyo imeanza kupokea mapendekezo hayo kuanzia Februari 27, 2025 hadi...
Wakuu,
Naona huu msiba wa Profesa Sarungi unaendelea kukutanisha magwiji mbalimbali wa siasa hapa nchini.
Soma pia: Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, akiwemo Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu...
Ameandika Zitto Kabwe kupitia X:
Soma pia: Rais Samia: Tanzania inayo nafasi ya kuuza umeme nje
Nimeona mjadala mkali kuhusu Tanzania kununua Umeme kutoka Ethiopia. Bahati mbaya mjadala umejikita kwenye umbali (distances). Ni muhimu kuelewa biashara katika sekta ndogo ya Umeme.
[Watu...
Wakuu,
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameendelea kufuatilia mwenendo wa kesi zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ambazo chama hicho kimefungua katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza katika Mahakama ya Wilaya ya Hakimu...
Huyu kiongozi mkuu mstaafu wa ACT wazalendo mzaliwa wa kigoma, Mwami Zitto Kabwe ukifuatilia tweets zake zote ni anasapoti kile wanachokifanya Rwanda kupitia M23 nchini Congo.
Anajaribu kuleta utetezi wa kihistoria ambao hata kagame ni kama hautaki.
Kagame analazimisha Congo 🇨🇩 wakae chini...
Akiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire
Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita
Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire...
Nimefanikiwa kuusoma unaoitwa Waraka wa Mabadiliko 2013 uliotayarishwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Kitila Mkumbo, aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama, uliolenga kumuuza Zitto Kabwe, wakati huo akiwa Naibu Katibu Mkuu wa chama, kwa...
Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa.
Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
Itakumbukwa kwamba mwaka 2013 nilivuliwa nafasi za uongozi ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, na Machi 2015 nilifukuzwa rasmi na chama hicho. Katikati ya kufukuzwa kwangu ni waraka ulioandikwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa chama mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Profesa Kitila...
Wakuu,
Baba Levo ndo ameshamwaga manyanga hivyo.
Akiwa anazungumza jana kwenye kipindi chake cha Jana Na Leo, Baba Levo amesema kuwa iwapo kwenye mkutano huu unaoendelea Dodoma ataepwa kadi ya CCM basi atamrudishia Zitto Kabwe kadi yake ya ACT Wazalendo.
Ni rasmi sasa wasanii wote isipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.