zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Zitto apiga kura uchaguzi serikali za mitaa, azungumzia kura bandia kukamatwa

    Wakuu, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa wananchi kupata viongozi wa karibu wanaoshughulikia changamoto za moja kwa moja katika maeneo yao...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Zitto Kabwe aonya wizi wa kura, atoa rai Wananchi kuzilinda

    Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amewataka watendaji wa Manispaa ya Kigoma Ujiji kuacha kukikumbatia chama cha CCM kwani ni chama ambacho kimeshindwa kuwalinda watendaji wa manispaa na watendaji wa kata hivyo katika uchaguzi wa Novemba 27, wasiingize mguu wao uwanjani...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe aonya watakao bebeshwa kura ya ziada, asema yatakayowakuta wasilaumiane "Dua imesomwa, tendeni haki"

    Zitto Kabwe ameonya vikali dhidi ya yeyote atakayethubutu kubebeshwa kura ya ziada, akisisitiza kwamba matokeo ya kitendo hicho hayapaswi kulaumiwa kwa mtu mwingine, kwani tayari dua imesomwa na wazee wa mji, na kinachotakiwa ni haki pekee. "Msikubali kudanganywa na CCM kubeba kura ya ziada...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma Yafurika, Umati wajitokeza kuhitimisha Kampeni za Zitto Kabwe na Chama Chake

    https://www.youtube.com/watch?v=yAJUwVQvbUo
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto: Vijana msiruhusu wasiokuwa wakazi kupiga kura Mwandiga

    Wakuu, Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka vijana wa Mwandiga, mkoani Kigoma kuhakikisha wanapiga doria katika eneo lao siku ya uchaguzi ili kuzuia mtu yeyote asiyekuwa mkazi wa eneo hilo kupiga kura. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: ACT Wazalendo kuongoza Vijiji kama itakavyoongoza nchi

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo wananchi wakikipa ridhaa chama chake kuongoza vijiji katika maeneo mbalimbali, wataongoza vijiji hivyo kama watakavyoongoza nchi. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Afande akirekodi matukio kwenye Kampeni za ACT Wazalendo, Mkutano wa Zitto Kabwe

    Wakuu Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Zitto: Kama Dkt. Mpango aliitwa Mrundi nani wa Kigoma atapona?

    Wakuu, Mpaka tar 27 mambo yatakuwa motooo! ==== Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Ninazeeka nahitaji wasaidizi, Chagueni ACT- WAZALENDO tushirikiane kutetea maslahi ya Kigoma

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Tukishinda tutadhibiti ukamataji holela unaofanywa na Jeshi La Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka zile kamata kamata za wapinzani na wafanyabiashara? It seems kama ACT Wazalendo wamekuja na muarubaini wa tatizo hilo Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo chama hicho kitapewa mamlaka na wananchi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Kuliko ibaki CCM pekee, kapigeni kura za hapana

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza kwa msisitizo kuhusu mapambano ya chama hicho kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika kwa haki, huku akiwataka wananchi wa kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kuchagua viongozi wanaowajibika...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Zitto aingia kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji Mnange katika kata ya Uyowa, jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora, Novemba 20, 2024 Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto ataka wagombea wa ACT Wazalendo walioenguliwa Uchaguzi Serikali za Mitaa warejeshwe

    Wakuu, Moto unazidi kufuka. ==== "Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo. "Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri ambao wamegombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. HATUTAKUBALI kamwe...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Vyama vingi vya siasa vimekufa Tanzania

    "Uchaguzi wa Marekani umeisha, Wachambuzi rudini kuchambua uchaguzi wa Vijiji na Mitaa. Kuna mambo mengi ya kutazama. Sura ya siasa imebadilika kabisa. 1. Huu ni uchaguzi wa namba, ukubwa wa oganaizesheni ya chama unapimwa kwa idadi ya wagombea na namna wamesambaa nchini. Idadi ya wagombea...
  16. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Ofisi ya mtaa ni ya Raia wote

    Zitto Kabwe amesema kuwa ofisi ya mtaa ni ya raia wote, baada ya kukuta CCM wamejenga Jiwe la Umoja wa Vijana CCM mbele ya ofisi ya serikali ya mtaa ya Bujimile, kata ya Nyamhongolo huko Ilemela. Zitto amewaagiza viongozi wa ACT wazalendo katika kata hiyo kujenga na wao ngome yao kando ya...
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kudhoofishwa kwa Dkt. Slaa, Mbatia, Zitto Kabwe, Kafulila na wakina Mdee kumedhoofisha sana upinzani

    Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito. Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana. Sasa hivi...
  18. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto: Epuka upotoshaji, kura yako moja ina nguvu ya kuleta mabadiliko

    Zitto amewataka Watanzania wote kujiandikisha katika mitaa, vijiji, na vitongoji vyao ili waweze kushiriki katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Amesisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika mchakato wa kidemokrasia, akisema kuwa ni haki yao ya kikatiba ambayo...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto ashauri upinzani kuungana kwenye chaguzi kuing’oa CCM

    Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27, 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 ni vyama vya upinzani kuungana. Kutokana na hilo, mbunge huyo wa...
Back
Top Bottom