zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Injury to reputation iliyowakuta Dkt. Slaa na Zitto Kabwe mpaka sasa wanaonekana wasaliti wasiofaa nani alaumiwe?

    Zitto kabwe na Dkt. Slaa ni moja kati ya wanasiasa ambao hadhi zao zilipotea kwa sababu ya Propaganda ndani ya CHADEMA ambazo zinaweza kuwa za kweli au uongo. Baada ya kutumia zaidi ya miaka 15 kujenga majina yao kisiasa wanasiasa hawa walijikuta katika migogoro ya kisiasa na CHADEMA...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

    Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni. Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali ilipe mabilioni ya Makampuni yanayouza mbolea, yanaishia kula mitaji yao

    Kiongozi wa Chama Mstaafu, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuiwezesha Kampuni ya Taifa ya Mbolea (TFC) kwa mtaji ili kutatua tatizo la ucheleweshaji wa mbolea na uwepo wa mbolea isiyokuwa na ubora na kukabiliana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini. Pia, chama...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Zitto Kabwe kujiunga na serikali sikivu ya CCM kwa kazi maalumu ya maendeleo ya Watanzania

    Ni dhahiri katika masuala ya siasa na uchumi Zitto Zuberi Kabwe ni mzoefu na anaweza kua bora kwa kiwango cha juu zaidi huenda ukalinganisha na nanma ambavyo David Kafulila anaperfom vizuri katika viwango bora vya juu zaidi vya kimataifa kwenye wadhifa na jukumu muhimu sana katika uchumi wa nchi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mataifa ya Afrika yasiyozingatia masuala ya Demokrasia na Haki za Binadamu yanakimbilia zaidi China

    Mwanasiasa na Mchumi, Zitto Kabwe amesema kuwa Mataifa ya Kiafrika ambayo hayazingatii misingi ya kidemokrasia katika utawala ujifungamanisha zaidi na China kwa kuwa Taifa hilo halina utamaduni wa kuhoji juu ya masuala mbalimbali yanayofungamana na haki za binadamu. "China wanavyosaidia Nchi...
  6. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe: Sitagombea Urais 2025, nitarejea kuimarisha Bunge

    Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge. Akizungumza kupitia Crown FM, Zitto amesema "Kama unavyofahamu Uchaguzi uliopita wengi tunaamini haukuwa Uchaguzi na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe ashauri vyama vya Upinzani kusimamisha Mgombea mmoja wa Urais katika uchaguzi ujao

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema: Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Uwanja wa Ndege wa Songwe (Mbeya) Upewe Jina la John Mwakangale Ili Kuenzi Mchango wake Katika Mapambano ya Kudai Uhuru wa Tanganyika

    Anauliza Zitto Kabwe: Kwanini sio John Mwakangale International Airport? === My Take Naunga mkono hoja.Jina la Uwanja wa Ndege wa Songwe (Mbeya) libadilishwe sio tuu Kwa sababu za Kuenzi Mchango wa mzalendo huyo Bali pia kuondoa mkanganyiko wa kutumia jina la Mkoa tofauti na uwanja uliko...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu asisahau 2010 walimzuia Zitto Kabwe kugombea Cheo cha Kiongozi wa Upinzani Bungeni wakidai hiyo ni Nafasi ya Mwenyekiti. Ule ni Udikteta

    Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi. Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Lipumba na Zitto Kabwe wamejipa likizo, wanasubiri 2030 waibuke mafichoni?

    Lipumba na Cuf yake walikuwa wa moto sana kipindi cha Mkapa, kulituhumiwa kuwa chama chenye mrengo wa dini ya kiislam, walimpelekesha Mkapa kwelikweli akateua muislam Omary Maita kuwa IGP ngangari kwa nginguri. Alivyoingia Kikwete madarakani CUF ikajifia hswakuwa na agenda tena ,maana lengo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa (Bavicha) hawajui kuwa Upinzani nchini ulipatikana kwa Huruma tu ya Nyerere (CCM). Ujamaa ulikuwa kama Dini!

    Ndio Sababu Vyama Vyote vya Upinzani viliasisiwa na Wastaafu wa Serikali kasoro ACT wazalendo tu ya bwana mdogo Zitto Kabwe. Natoa tu tahadhari kwa vijana wajifunze kwanza historia ya Nchi hii kwa sababu Tanganyika na Kenya hazifanani kabisa. Siasa ya Ujamaa ilikuwa kama Dini na imetulemaza...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nitashangaa sana tukishindwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 dhidi ya Orca Energy

    Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini mwaka 2001 alikuta tuna gesi imeshavumbuliwa. Hawakuwekeza hata senti tano nyekundu kutafuta Gesi...
  13. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Zitto ni Msemaji wa Ikulu?

    Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa...
  15. Ndolezi Petro

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kufukuzwa CHADEMA ilikuwa ni jawabu kwa Watanzania waweze kupata chama kipya

    Zitto baada ya kuondoka Chadema licha ya kwamba alitumia muda kujijenga chama hakujali aliamua kuanza upya na Chama Cha ACT Wazalendo. Mwaka 2014 Mwezi Mei, 05 chama kilipata usajili wa kudumu na kazi ya ujenzi wa chama ikaanza. Safari haikuwa nyepesi ilikutana na utawala wa Magufuli ulio...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mwanasiasa aliyerushiwa mishale mingi na "makamanda" akapambana ndani ya upinzani huku wale waliokuwa wakijifanya makamanda wakienda CCM

    Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM 1. Petrobas Katambi 2. Lijualikali 3. Silinde 3. Peneza 4. Mashinji 5. Peter Msigwa Wengine wakasaliti chama waziwazi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitaka iundwe tume ya kuchunguza matendo ya kuumiza watu kipindi cha Magufuli. Uko tayari Iundwe ya kuchunguza mambo hayo wakati wa Samia??

    Siyo siri, Inaonekana Samia ameshauriwa au amejishauri kuwa na yeye ageze mambo ya Magufuli ili kutishatisha watu. Inavyoonekana hali ya kisiasa na kiuchumi nchini imewasukuma kuamini kuwa Watanzania wanahitaji kutishwa ili Ule moyo wa ujasiri wa kwenda next level katika kuchallenge matendo ya...
  18. Wiston Mogha

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: IGP unawezaje kukubali kituo cha polisi kutumika na genge la watekaji?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni? Unawezaje kukubali Jeshi hili? Kamanda Wambura nakuomba 1) Ufanyike uchunguzi HURU wa kina 2) wajibisha...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Taifa linawahitaji kina David Kufulila, Zitto Kabwe na John Mnyika wa kipindi kile

    Kwa hakika mambo yakiendelea kwenda yanavyoenda ipo siku nchi itatawaliwa kwa asilimia mia moja na wakoloni usiniulize ni wakoloni wa aina gani kwani hata humu ndani wamo Taifa limekosa vijana waibua hoja badala yake limepata vijana waibua vihoja (Kampeni za kufungia X) Taifa limekosa watu wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila na Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaibeba CHADEMA katika Hoja zote za Masuala ya Uchumi.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
Back
Top Bottom