zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Polisi atakayebeba Kura Bandia ni halali yetu

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mtu tatu ndani ya Traki moja

    Nani anamkumbuka Stopa? Stopa The ryme maker, katika track moja alikuwa na uwezo wa kuchana style tatu peke yake. Usipokuwa makini utadhani ni watu watatu tofauti. Sasa huyo ndio Zitto Kabwe, katika track moja ya Uchaguzi, yeye pekeyake amechana kama watu wawili tofauti. Verse ya kwanza...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: CCM inathamini zaidi tembo kuliko Raia, sasa waacheni wapigiwe kura na tembo

    CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje, daraja la pili wawekezaji wa ndani, daraja la tatu ni tembo na daraja la nne ni nyinyi watu wa Tunduru...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia

    Wakuu, https://www.youtube.com/watch?v=-JGia_qHgj8 Updates Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao. Ameyasema hayo leo...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

    Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM! Mengi...
  6. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchafuzi wa Ubunge Kigoma Mjini: Kijicho Upembe vs Chawa Pro Max; Chawa anashambulia kama Netanyahu, anaongoza kura za maoni

    Tukielekea kwenye uchafuzi, hapa mji wa mawese huwa hatupoi, waha ndo mambo yetu haya. Mchuano unaosubiriwa ni wa wakuitwa, Kijicho Upembe (Zitto Kabwe) vs Chawa Pro Max (Baba Levo). Hilo jina kijicho upembe ni jina la ubatizo kutoka kwa Baba Levo kwenda kwa Zitto baada ya kushutumiwa na kambi...
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Mkisusia uchaguzi CCM hawajali, wanachukua

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali. Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Zitto na Ponda Kupitia ACT wanafanya Islamic Radicalization kwenye Taifa Kwa kutumia Umaarufu wao wa Kidini na Kisiasa

    Hili wengi wenu hamlioni, na huenda linawapita kama Kivuli . Ushawishi wa Kidini alonalo Sheikh Ponda, SI wa kupuuza. Ushawishi wa Kisiasa alonalo Zito Kabwe nao pia SI wakupuuza hasa katika maeneo yaliyo na Idadi kubwa ya Uislam. Ukisikiliza Speech za Sheikh Ponda tangu ajiunge na ACT ...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Wanaotaka tusishiriki Uchaguzi wamechanganyikiwa

    Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni, akisema kutoshiriki uchaguzi ni sawa na kukubali kuendelea kuwepo kwa Bunge kibogoyo lisilo na uwezo wa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Zitto sio mpinzani na hatoweza kunidhibiti

    Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mtangazaji wa Wasafi FM, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, na mtia nia Ubunge Jimbo la Kigoma mjini Kupitia CCM, amekea vikali kauli za Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyoitoa kuwa Wasanii, Wachekeshaji na Watangazaji sio watu sahihi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Kususia Uchaguzi ni kuwapa CCM ushindi kiulaini

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe katika andiko lake katika mtandao wa X siku ya Jumapili, Julai 6, 2025. "Watanzania wameichoka CCM. Watanzania wanataka mabadiliko. Kususia uchaguzi ni kuwapa CCM ushindi kiulaini. Kuiacha CCM peke yake kulidhibiti Bunge ni kulikosea...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Wasioshiriki uchaguzi watajutia uamuzi wao

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi. Akihutubia mkutano wa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Watu kama Watendaji wa Vijiji nao pia wanakamata, kutesa na kuua

    "Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Matendo ya utekaji wa watu kama vile kina Mdude, Kina Soka, Kina Sativa na watu wengine inawafanya watu kama watendaji wa Vijiji kuona kwamba wanaweza nao pia kukamata, kutesa mpaka kuua." Amesema Zitto. Zitto amebainisha kuwa Ibara ya 14 ya Katiba ya...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ashangaa Porojo za Zitto Kabwe

    Soma hapa uone unafiki usioeleweka wa Zitto kabwe
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Zitto Kabwe amesema madai ya sumu kwa Lissu hayana msingi, ni njia ya kuzua taharuki

  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Ukifanyia utani bunge, utakuwa umefanyi utani uhai wa taifa

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Ukifanyia utani bunge, utakuwa umefanyi utani uhai wa taifa na ili kuhakikisha bunge alifanyiwi utani watu wa Tabora pigine moyo konde tukapambane na kurejesha thamani bunge na kuibana serikali na kuzia wizi. Kupata matukio na...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Tusiwaache CCM peke yao kwenye uchaguzi. Twende tukapambane nao, twende tukalinde kura

    Tusiwaache CCM peke yao, twende tukapambana nao, twende tukalinde kura ndio maana tukasema oktoba linda kura inawezekana katika majimbo 222 tusipate zote lakini hatutakosa majimbo 40 au 50 na kuondoa bunge butu Alisema Zitto Kabwe katika Operesheni Ya Majimaji mkoani Tabora Kupata matukio na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Tusiruhusu Miaka mitano mingine ya Bunge kibogoyo

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu. Ameyasema hayo katika Uwanja...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Watanzania Milioni 26 wanaishi katika dimbwi la umasikini kisha Viongozi wanasifia mabilioni ya Rais

    https://www.youtube.com/live/7OENoZqIQCM Updates Act Wazalendo tunataka kufanya mabadiliko ya nchi hii na mabadiliko ya nchi hii atuwezi kuyafanya kwa kuyabembeleza, wameshanogewa wameshakolea na wanaona wanaweza kufanya chochote, natunasema hatuikimbii hii vita na muhuni hasusiwi Simba Jike...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya tangazo la Salim Kikeke na Zitto Kabwe wanapigia chapuo jukwaa la uwekezaji mtandaoni

Back
Top Bottom