zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Othman anafaa urais Zanzibar anabebwa na rekodi zake

    Kiongozi mstaafu wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mgombea urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman kwa tiketi ya chama hicho ndiye anayefaa kuongoza kisiwa hicho kutokana na kuwa mstari wa mbele wa kupigania masilahi ya Wazanzibari. Zitto ameeleza hayo leo Jumamosi Septemba 13, 2025 wakati...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Sasa kuna Uchaguzi, chaguo ni CCM iliyoshindwa kwa Miaka 60 au ACT ya mabadiliko

    Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe "Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu, huduma duni za Afya na watu 14M kudumbukia kwenye umasikini katika miaka 5 iliyopita ama ACTwazalendo...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Kazi inaanza kwenda kuzitafuta kura, baada ya Mahakama Kuu kuamuru Mpina ana haki ya kurejesha fomu ya urais

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mara baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma kuamuru kuwa Luhaga Mpina ana haki ya kurejesha fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, safari ya kusaka kura inaanza rasmi. Akizungumza leo Septemba 11...
  4. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Watanzania mkataeni yule mstaafu wa ACT kutoka Magharibi anapokuja kuomba kura. Huyo ni mradi wa CCM

    Watanzania msikubali kurubuniwa na huyo anayetoka kanda ya magharibi mwa ziwa Tanganyika tambueni kuwa huyo siyo mpinzani bali ni mradi halali wa chama tawala( CCM). Wapinzani halisi ni chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambao wanadai reform zifanyike ndio washiriki uchaguzi...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shuhudia nyomi linalomsindikiza Zitto Kabwe kwenye mkutano wa kuzindua Kampeni za Uchaguzi Kigoma

    https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0 Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anayesema Mpina atawafunga Mafisadi kama Magufuli,ndiye Zitto aliyetutukana kama tunampenda Magufuli basi tukazikwe nae Chato

    Chawa wa Mama aliyediliki kusema kama mnamoenda sana Magufuli basi nendeni mkazikwe nae,je yeye amezikwa na Mama yake aliyekuwa anampenda,hili lilikuwa tusi kubwa sana kwa Watanzania,baada ya hapo Hajawahi kumuongelea vibaya Mama Samia hata kidogo licha ya Ufisadi kukithiri zaidi ya awamu zote...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kigoma niwaelewa sidhani kama watachagua huyu comedian wa CCM na kumuacha Zitto Kabwe

    Yaani wapeleke bungeni commediana na chawa kama huyu Alafu waache msomi kama Zitto Haiwezekani japokuwa ana mapungufu.
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

    CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana . Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati . #free TL
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

    Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, anapaswa apewe dawa, amekuwa mtu anayeongea mambo hovyo hovyo, ni mtu ambaye anaongea mambo bila kutafakari ni mtu ambaye anaropoka tu!, hana facts wala ushahidi wowote. Kwahiyo mimi naona ni mtu ambaye amejawa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kwa Zitto Kabwe kama kiongozi mkuu na mlezi wa ACT kwa hayo yaliyotokea kuhusu Mpina

    Kwa viongozi wa ACT kushindwa kubaini sheria zao wenyewe hadi kufikia kumpitisha ndugu Mpina kama mgombea urais wa ACT huku akiwa na chini mwezi mmoja tangu ajiunge na ACT ni udhaifu mkubwa mno! La ajabu zaidi sheria ya mgombea kuwa na angalau uanachama wa mwezi mmoja sio sheria ya nchi, ni...
  11. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kati ya Zitto zuberi Kabwe a.k.a Mwami Ruyagwa na Revocutus cleyton chipande a.k.a Baba Levo?

    Hawa ni wagombea wa kiti Cha ubunge waliopitishwa na vyama vyao kugombea kuwakilisha Jimbo la kigoma mjini katika uchaguzi mkuu ujao wa uraisi,ubunge na udiwani utakao fanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kwa ufatiliaji wako wa siasa unaona nani anafaa kuliwakilisha Jimbo la Kigoma mjini katika...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe ameyakanyaga kwa Baba Levo huko Kigoma Mjini

    KWa mdomo aliokuwa nao Baba Levo ambaye hachagui cha kuongea, Zitto Kabwe kazi unayo. Wapiga kura wa Tanzania wamebadilika, hawaangalii usomi tena ndio maana wako tayari kumpa ubunge Mr Two a.k.a Sugu au kama walivyompa Ramadhan Kihiyo mwaka 1995 akatenguliwa na mahakama. Zitto ni msomi sana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Uchaguzi ukiwa fair fair Zitto Kabwe hatoboi dhidi ya Baba Levo Kigoma.Labda Serikali imbebe kwa kuzuga No reform kwamba upinzani nao wameshinda

    Jimbo la kigoma ni gumu sana kwa zitto kabwe kushinda kwa kura za fair fair Mgombea wa CCM Baba Levo ana nguvu sana kigoma
  14. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo VS Zitto Kabwe naomba qualification/CV zao

    Naomba qualification/CV zao. Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO. Sifa zingine: Baba LEVO ni CHAWA ZITTO ni mnafiki na opportunist.
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, Zitto Kabwe anamiliki Chama chake binafsi na Freeman Mbowe ni mtembea pote

    Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba Dunia kweli duara. Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣 Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina ndiye rais atakaye waachia huru

    Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina atawaachia Uhuru, waleambao nyumba zao za Ibada zimefungwa Luhaga Mpina ndiye Rais atakaye fungua uhuru wa watu kuabudu kwa muujibu wa imani yao na katiba ya nchi amesema Zitto Kabwe
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika jana Jumanne Agosti 12, 2025. Katika mchakato huo uliofanyika mkoani Kigoma, Zitto ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo, alipata kura 228...
  18. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Wafanyabiashara zamani waliichangia CCM kisirisiri kwa hofu ya kashfa zao kuibuliwa Bungeni

    Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao. ---- CCM...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZItto Kabwe ameanza mbwembwe ACT mnajulikana!!

    Akiwa Zanzibar' kumtambulisha Mgombea Urais wa Chama chake Luhaga Mpina, Kiongozi wa zamani.wa ACT wazalendo ZItto Kabwe amejiapiza kwamba kama Luhaga Mpina atashinda kwenye Uchaguzi huo, kama atatangazwa au kama hatatangazwa, atakuwa Rais. Amesema vivyo hivyo kwa wagombea Ubunge na Udiwani...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

    Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam. JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
Back
Top Bottom