zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

    Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Zitto Kabwe na wenzake dhidi ya kauli ya Polopole wanaCCM "kuijua ACT WAZALENDO" ni ngumu kumeza

    Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa ACT WAZALENDO kwani wanaCCM hawajui Act?😂😆🤣 Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya CCM aise. Yawezekana ACT ni TAWI la CCM na kila Mwaka wa uchaguzi CCM ndo wanapanga nani agombee baada ya kuwa...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Miezi mitatu ijayo itabadili Siasa za Tanzania

    Mwenyekiti wa zamani wa ACT Wazalendo akiwa kwenye mkutano maalum wa kumteua mgombea urais leo Agosti 6,2025 amesema ,“Wanazuoni, watafiti, kuanzia leo waanze kushika kalamu zao, miezi mitatu inayokuja inakwenda kubadili siasa za Tanzania moja kwa moja.” – Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  5. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Zitto Kabwe ameandika 'CHADEMA na wanaharakati sasa wamekuwa mashabiki wa CCM'

  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nidhamu ya kazi inahitajika kutekeleza dira 2050

    Leo imezinduliwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Shabaha ya Dira ni kuwa na Pato la Taifa la USD 1 trillion ambapo pato la mtu mmoja liwe wastani wa USD 7,000 kwa mwaka kutoka USD 1,200 za sasa. Hii maana yake ni kuwa Uchumi wetu (GDP) unapaswa kukua mara 13. Inawezekana, lakini katika Taifa...
  7. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Zitto Kabwe amesema PolePole ni mnafiki, akisema 'ulikuwa wapi wakati nashughulikiwa 2020?

  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Simtaki Nondo, Namtaka Zitto

    Muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge Kigoma Mjini, kada wa CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo anayewania jimbo hilo, amedai kuwa hizo ni njama za kumwepusha kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi wamuachia Zitto Kabwe baada ya kumkamata kwa tuhuma za kutoa taarifa za vitisho

    Jeshi la Polisi Mkoa Lindi, limemuachia Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe baada ya kumkamata kwa muda kwa tuhuma za kutoa taarifa za vitisho katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika Tunduru mkoani Ruvuma. Usiku wa kuamkia leo Jumatatu Julai 14, 2025 polisi takribani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ashikiliwa na Polisi usiku wa manane Lindi

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi Kwa mujibu wa taarifa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: ACT Wazalendo tunapambana kurejesha heshima ya Kura

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kuwa Operesheni Majimaji inayofanywa na chama hicho inalenga kuwaamsha Watanzania kurejesha thamani ya kura yao, ambayo amesema imeporomoka kwa kiasi kikubwa katika chaguzi tatu zilizopita. Akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ,mlimkamata Lissu kisa neno "Tutakinukisha", kwanini hamkamati Zitto Kabwe kwa Uhaini na Uchochezi vurugu alioufanya hapa?

    Mods ,naomba msiiunganishe Huu Uzi !!. Jeshi la Polisi liache Uhuni na Uonevu dhidi ya CHADEMA na LISSU . Wakati Zitto Kabwe akiendeleza kufanya Islamic Radicalization Ndani ya Mikoa inayokaliwa na Idadi kubwa ya Waislam, Akiwachochea Kufa Kwa ajili ya kulinda Kura, Ni majuzi tu kanukuliwa...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Sing Seth wa IPTL alimfungulia Zitto Kabwe Kesi , Zitto akaililia Serikali, nayo imempa Shariti la Kushiriki Uchaguzi Mkuu na Kushambulia CHADEMA

    Wakuu, kabla Seth wa IPTL hajamfungulia Kesi Zitto Kabwe , Zitto hakua anahangaika CHADEMA. Taarifa zinasema baada ya Seth kufungua Kesi, Zitto akaona ni maji marefu, akaanza kusema "Serikali inamlimda Seth" bado hawakumuonea Huruma Wala hakuitikisa Serikali ya CCM. Zitto akaamua kumfikia...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania 2015 Baada ya Wapinzani kugomea Uzinduzi wa Bunge kupinga Maalim Seif kunyang'anywa Ushindi na kutoka nje, Zitto Kabwe alisalia Bungeni

    Kwa Wale ambao hawafahamu Unafiki wa Zitto Kabwe basi ni vema Wakarejea kwenye Uchaguzi wa 2015. Mwaka ule kulikuwa na Kolabo iliyoitwa UKAWA, huku Tanganyika mgombea wa UKAWA alikuwa Edward Lowassa na kule Zanzibar Mgombea wao alikuwa Maalim Seif Sharrif Hamad, UKAWA ilishinda Uchaguzi ule...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Polisi tendeni haki, mimi ndiye Rais ajaye

    “Hawa polisi wajue kitu kimoja, wewe unaweza kuwa OCD leo, mimi leo naweza kuwa Mbunge napiga maneno tu, au mwingine akawa Mbunge, lakini kesho mimi ndiye Rais – ndiye ninateua IGP, ndiye ninayeamua pensheni zenu. Polisi wekeni akiba,” amesema Zitto amesisitiza kuwa CCM haitadumu madarakani...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Polisi atakayebeba Kura Bandia ni halali yetu

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mtu tatu ndani ya Traki moja

    Nani anamkumbuka Stopa? Stopa The ryme maker, katika track moja alikuwa na uwezo wa kuchana style tatu peke yake. Usipokuwa makini utadhani ni watu watatu tofauti. Sasa huyo ndio Zitto Kabwe, katika track moja ya Uchaguzi, yeye pekeyake amechana kama watu wawili tofauti. Verse ya kwanza...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: CCM inathamini zaidi tembo kuliko Raia, sasa waacheni wapigiwe kura na tembo

    CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje, daraja la pili wawekezaji wa ndani, daraja la tatu ni tembo na daraja la nne ni nyinyi watu wa Tunduru...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia

    Wakuu, https://www.youtube.com/watch?v=-JGia_qHgj8 Updates Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao. Ameyasema hayo leo...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

    Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM! Mengi...
Back
Top Bottom