zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, kwanini hauchambui upungufu wa Dola Tanzania?

    Zito Kabwe mchumi aliyejipatia umaarufu Kwa kuchambua mwelekeo na udhaifu mbalimbali kwenye serikali ya CCM lakini safari hii amegeuka bubu ghafla kwani mdomo umejaa asali ambayo itampalia kama atathubutu kupanua mdomo wake. Serikali ya Rais Samia imekumbwa na uhaba mkubwa wa hifadhi ya Dola...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira asiwemo kwenye Timu ya Katiba Mpya kwa sababu alishajiapiza bila serikali 2 hakuna Katiba Mpya

    Akiwa kwenye mahojiano pale TBC pamoja na Zitto Kabwe yule mzee Wassira alishasema msimamo kwamba Bila Serikali 2 hakuna Katiba mpya. Hivyo ni vema mzee Wassira na Watu wa aina yake wasiwemo kwenye Timu ya Katiba mpya vinginevyo watavuruga mchakato. Maendeleo hayana Chama!
  3. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Ili ashinde urais mwaka 2030 lazima ashinde mikoa zaidi ya mitano

    Njozi ya Zitto Kabwe kugombea urais mwaka 2030 iko wazi baada ya mitandao ya kijamii kumnukuu akiweka wazi nia yake hiyo. Hata hivyo ili ashinde mbele yake ana kazi kubwa kwa kuwa anahitaji kupata ushindi wa kishindo ktk mikoa mitano au zaidi. Sasa swali la kujiuliza ni JE mbali na Kigoma...
  4. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Bunge lisizuie mjadala, acha Watu waongelee hoja za CAG, huo ndio mchakato wenyewe

    Ameandika Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo: CAG akishatoa ripoti yake AMEMALIZA. Ripoti yake ni ya mwisho. Ni FINAL. Kazi inayofuata ni ya Bunge. Umma ujue kwamba, kabla CAG hajatoa ripoti yake Serikali hupewa nafasi ya kujibu hoja za Ukaguzi. Baada ya Ripoti kutoka majibu sio kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Zitto na upotoshaji ni kama wa damu na nyama

    Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja imejengwa hadi kipindi cha fedha tajwa kinaisha. Ukimsikia utaona anahoja lakini ukisikiliza unaona...
  6. JamiiForums Tanzania Sisi hatukubaliani na hatua alizochukua Rais dhidi ya wezi wa Fedha za Umma. Hatukubaliani pia na kibaraka wake Zitto Kabwe na ACT

    Sisi umoja wa wezi wasitaafu wa kuku za Wananchi wenzetu, wezi wa unga na mchere dukani Kwa mangi, umoja wafungwa wa kusingiZiwa na watumishi wa jeshi la polisi ambao nao wamekuwa vinara wa kutukamata sisi na kutuswendeka sero ingawa nasi sasa hivi tunawakomoa Kila kukicha tunajinyonga tukiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali ilikopa zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge

    ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge. Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
  8. M

    JamiiForums Tanzania We Zitto Kabwe kibaraka wa CCM acha propaganda uchwara. Habari hizi peleka kwenu ujiji.

  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe anakwepa kuwagusa vigogo waliotajwa ripoti ya CAG

    Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji. Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli Shujaa alifanya makosa kutomfunga Zitto Kabwe kwa makosa ya uchochezi aliyofanya. Kufuga wanafiki ni dhambi kubwa

    Mtu alipotosha hadharani kinyume na sheria ya takwimu na sheria ya cyber
  11. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  12. JamiiForums Tanzania Zitto kabwe na genge lako kama mnatuonea wivu na nyie ombeni asali mulambe. Mbona mnamsakama Mbowe?

  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Zitto, Lissu na Peter Msigwa wanakubaliana Magufuli alijenga Nidhamu Serikalini. Wakumbuke nidhamu haiji kwa kuchekeana!

    Kitu kimoja ambacho Viongozi wakuu wote wa Upinzani wanakubaliana ni kwamba hayati Magufuli aliimarisha nidhamu ya Watumishi wa Umma na nidhamu ya serikali kwa Wananchi Wote. Wanapopongeza hili wajue pia Nidhamu haiji kwa kuchekeana bali hutengenezwa kwa mfumo wa kimkakati. Ni katika...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Selasini asema CHADEMA iliviua vyama vingine 2015, Zitto asema ACT Wazalendo haifanyi siasa za kuachiana Majimbo

    Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kusema chama chake hakihitaji ushirikiano au muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe. Selasini wa NCCR mageuzi amesema 2015 CHADEMA kupitia UKAWA ulikuwa na mkakati wa kuviuwa vyama vingine vya upinzani na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Zitto Kabwe? Kwanini hakamatwi na kushitakiwa pamoja na kueneza uongo na uchochezi?

    Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM. Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi. Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua. Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Naona kuna Mkakati wa kum-underestimate Zitto Kabwe na ACT Wazalendo. Ni kama wamemdharau

    Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni CCM na CHADEMA tu? ACT Wazalendo ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini? Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine? Au bado zile pesa...
  17. JamiiForums Tanzania Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya Freeman Mbowe wamechukua ruzuku na wamekausha kimyaaa. Unafiki! Miezi michache iliyopita...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Lema aseme ukweli alipataje Ukimbizi Canada vinginevyo Zitto Kabwe ataaminika kuwa alinunuliwa

    Jana Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameongea jambo zito sana kuhusu ACT Wazalendo, kwamba ni wapigaji tu walioifilisi Bandari. Nategemea Godbless Lema atafafanua namna alivyopata Ukimbizi. Wednesday, Ubarikiwe sana!
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Zitto Kabwe anauota urais wa Jamhuri ya Tanzania?

    Habari wana JF, Nimshauri ndugu Zitto Kabwe, kwamba raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanahitaji zaidi kusikia habari zinazohusu katiba mpya na sio gonjera zake hizo. Wanasisasa wa nchii hii wabadilike, watangulize maslahi ya umma mbele kuliko kutanguliza maslahi yao binafsi...
  20. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe autaka Urais

    KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema dhamira yake kubwa ya kuwa kwenye ulingo wa siasa ni kuwa Rais wa Tanzania atakayeibadilisha nchi pale ilipo na kupiga hatua kubwa kimaendeleo. Zitto alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam alipohojiwa katika kipindi cha Super Breakfast...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…