KENWOOD blender bora na za kuaminika zinauzwa bei ya kutupwa

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,945
7,945
Habari za wakati huu ndugu zangu waTanzania

Picsart_23-06-08_11-33-39-056.jpg

Kabla hatujaenda mbali hebu kitazame mwenyewe chombo kinavyovutia

Katika ulimwengu wa Heavy duty blenders, blender zenye nguvu bas kwa uimara huwezi acha kuwataja Kenwood blenders, bas kwa kutambua umuhimu na faida za blender katika maisha yetu ya kila siku ikiwemo

✓ Kutengeneza juice laini yenye kuvutia
✓kusaga nyanya wakati wa kupika, zile habari za kukuna nyanya masaa mawili kwa mikono mwisho uchubuke zimepitwa na wakati
✓ kusaga viungo kama karanga, tetele, alizeti, tangawizi na vitunguu swaumu kwa ajiili ya kuweka kwa mboga ili kupata afya bora
✓ kusave muda wa mapisha kwa kurahisisha usagaji wa viungo na nyanya na faida nyingine nyingi sana

Hivyo kwa kuzingatia faida hizo sisi KENSHOP tumeamua kukuletea wewe mtanzania blender hizi kwa bei ya promotion ya muda mfupi (limited time offer ) ambapo badala ya kulipa 145,000/- kwa blender za kenwood, utazipata kwa kiasi cha Tsh. 120,000/- tu, imagine ni upendo kiasi gani tupo nao,

Kitu unatakiwa kufanya wew ni kutupigia au kutuchek Whatsapp wakati wowote ule toka umeona tangazo hili kwa namba
+255711759458 ili tuje tukuletee blender hizi popote pale ulipo ndugu mtanzania au Bonyeza
HAPA ili kuchati nasi moja kwa moja WhatsApp na tuweze kukuhudumia kwa viwango

Picsart_23-06-08_11-33-39-056.jpg
 
Kwa wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam usafiri ni bure hadi mlangoni kwako, wale wa mikoani nauli tunashare, unatoa kidogo na sisi tunajazia iliyobaki
 
Heavy duty blender hata nazi hukuni..unatupia tu mbata humu nazi hiyo..
Ni nzuri
Mkuu unajua kuna mashine za kukuna nazi, hii kazi yake ni kusaga vitu, humo hata mchele wa vitumbua unasaga,
Karibu sana tukuhudumie
 
Na 40,000 hapa
Mkuu pesa yako ni nying na ni ya thamani sana, ukiongeza 80,000/- naweza kukupa blender hii, au ukinichek Whatsapp nitakutafutia blender nzuri za bei za kizawa ila hazitafika huko, labda kwenye 70 - 80 hivi
 
Wacha nikuache na imani yako, ila ukinunua utaweza ona uimara wake
 
Mkuu unajua kuna mashine za kukuna nazi, hii kazi yake ni kusaga vitu, humo hata mchele wa vitumbua unasaga,
Karibu sana tukuhudumie
Mimi ndo natumiaga hivo.mbata inakuwa crushed inabaki machicha.huku kukiwa na vimaji kidogo.
 
Nawakaribisha wakuu, Njooni muendelee kupata huduma hii
 
Back
Top Bottom