zinaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna mkristo mwenye jibu... Kama ndoa inasaidia kukwepa zinaa ni vipi mtu akinyimwa tendo mwaka mzima haruhusiwi kuongeza mke wala kuvunja ndoa?

    Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa) Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima. Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke. Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo...
  2. Hivi ni kwanini Rappers wa kike wa Mbele "mamtoni" wengi ni pisikali halafu huku kwetu Rappers wa kike wanajifanya ni majike dume?

    Kwema Wakuu! Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja. Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa. Wanamapozi ya kike, wanajichetua...
  3. Mnashinda Baa kulewa na kufanya zinaa kwenye malodge mnaogopa magari mazuri na kujaza mafuta. Ubahili wa kizamani umewajaa watu

    Wasalaam JF, Kuna hii kasumba ya Kiafrika na kitanzania watu wanaogopa kununua magari mazuri kisa tu et bei ya spares, spare availability, na ulaji wa mafuta. Ujinga mtupu , wakati matumizi yenu ya kuruka vianja bar na kufanya ngono kwenye guest/lodges ni makubwa kuliko hofu zenu za kijima...
  4. Wadau ukiacha HIV, tujuzane dawa kiboko za kutibu magonjwa ya zinaa

    Wasalaam nyote, Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa. Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa. Basi ni vema walau tuambiane...
  5. vijana wengi wakristo kuogopa na kuchelewa kuoa hadi wafike 30+, zinaa inaepukika ?

    Bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa. Sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama; Mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali. Kwenye ndoa za kikristo ni...
  6. Kwanini ZINAA ni dhambi?

    Naomba kufahamu kwa nini zinaa inakuwa dhambi? Vitabu vyote vya dini vinapiga maarufu zinaa. Hata mila karibu zote zinakataza zinaa. Naamini hakuna kinachotokea bila sababu, lazima kuna sababu ya msingi kuikataza zinaa. Kama kitendo cha watu kukutana kimwili kingekuwa kibaya. Mbona watu walio...
  7. WHO: Kila siku maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa yanatokea Duniani kote

    Zaidi ya Maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa (STIs) yanatokea duniani kote Kila Siku, mengi kati yake hayana Dalili za kuonekakana. Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani, kila mwaka kuna wastani wa Maambukizi Mapya Milioni 374 ya Magonjwa ya Zinaa ikiwemo Klamidia, Kisonono na...
  8. Dhambi ya Zinaa, Ngono, Uzinzi na Uasherati

    Tumehubiriwa sana kuhusu dhambi ya zinaa,ngono uzinzi,na uasherati.Wachungaji wengi hawafundishi kwa kina dhambi hii kwa sababu wao wenyewe inawagusa. Matokeo yake Wakristo hupata ufahamu mdogo na wa juu juu na kujiona wako salama na kumbe wamepotea km watu wa mataifa. Ndio maana kuna msemo "...
  9. Sababu tatu kwanini Wachungaji wengi wanasumbuliwa na Zinaa

    Utangulizi Kaka watatu huko kusini mwa afrika wameapa kumpiga Mchungaji kila jumapili hadi atakapokubali Mimba aliyoikana ya Dada...
  10. Kauli mbiu juu ya kujikinga na magonjwa ya zinaa

    Magonjwa ya zinaa yana athari mbaya katika mwili wa binadamu. Hivyo ni wajibu wetu sisi kujikinga kwa njia tofauti kama wataalamu wetu wa afya wanavyotuelekeza. Kinga hazipaswi kuadimika, namna ya kupambana na magonjwa ya zinaa ni kinga kutumika kwa usahihi ili mwili ulioathirika uwekewe mipaka...
  11. Zinaa imekithiri, magonjwa yameongezeka sana

    Jaman wazee wa JF, Nyie wapenda zinaa kila kona hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins wanataka sifa...mara nakula mke wa mtu, mara mke wa kaka, mara shemej, jirani... Sasa endeleeni kula...
  12. T

    Nilivyomuambukiza mchumba wangu gonjwa la zinaa, funzo kubwa la madhara ya kukosa uaminifu

    Habari wakuu. Nimeonelea niandike kuhusu kisa hiki cha aibu ambacho sijawahi kumsimulia mtu ili wana Jamiiforums wote tuweze kujifunza madhara ya kukosa uaminifu na ku-cheat kwa mke/mume au mpenzi wako. Kutokana na changamoto ya kuwa mbali na mchumba wangu wa muda mrefu sababu ya kuwa mikoa...
  13. Hivi ni kweli uke wenza unaweza kusaidia kupunguza zinaa duniani?

    Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku Wanawake kupendana buana
  14. B

    Madahara ya kukutana kimwili nje ya ndoa au pasipo kuwa katika ndoa

    MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu, Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…