ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amaliza ziara Belarus, anadi fursa za uwekezaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ametumia ziara yake nchini Belarus kunadi fursa za uwekezaji katika maeneo manne ya kipaumbele ya Serikali ya awamu ya sita ambayo ni kilimo, afya, madini na ulinzi & usalama. Waziri Mkuu katika siku mbili za ziara yake...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini

    Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awasili Nchini Belarus kwa ziara ya Kikazi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili jijini Minsk, Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2024. Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa nchi hiyo, Mhe. Waziri Mkuu alipokewa na Naibu Waziri Mkuu wa Belarus...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Lindi Akamilisha Ziara Kata kwa Kata Jimbo la Mchinga kwa Kishindo

    _WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO _ Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Charles Mwanziva amehitimisha kwa kishindo ziara ya kikazi Kata kwa Kata katika kata zote za Jimbo la Mchinga- Lindi Manispaa ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Wilaya nzima ya Lindi katika majimbo matatu ya...
  5. Boveta

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Chama Cha Wanainchi CUF amefanya chama Wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge

    Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China

    Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini China iliyofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 19 Juni, 2025. Akiwa nchini China, Mheshimiwa Waziri Kombo aliongoza...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kanda ya ziwa ametuthibitishia kuwa hakuna uchaguzi huru tena

    Kajitangaza kawa ni mshindi tiyari wa urais, ni yeye anayeamua nani awe au asiwe mbunge, tiyari keshaanza kugawa nafasi zake 10 za ubunge. Je kuna haja tena ya kupoteza mabilioni ya kodi zetu kwenye uchaguzi fake?
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Faatilieni ziara ya Raisi Samia huko kanda ya ziwa kashaanza kunena kwa lugha.

    GT Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CHAUMMA Bado Wanaendelea na Ziara au Wamesitisha. Maana sijawasikia Kabisa kwa Karibu Wiki nzima

    Wasichokijua wafadhili wa mizengwe ya kisiasa mbalimbali ni kwamba wale wanaofadhiliwa lengo ni kupata pesa na siyo kufanikisha lengo la wafadhili. Kwa hiyo,akina Kigaila na Mrema hawajali kama lengo la kuifunika Chadema linatimia au hapana.
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

    Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada. Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran. Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena. Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatarajiwa kufanya Ziara Mkoani Simiyu pamoja na kuzindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo

    Katika tukio la kipekee linalodhihirisha mapenzi ya wananchi kwa viongozi wao, wakazi wa Mkoa wa Simiyu wamejitokeza kwa wingi kuonyesha furaha na bashasha kuelekea ziara ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inayotarajiwa kuanza tarehe 15 Juni, 2025. Wananchi hao wameonyesha utayari wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Angechukuwa Kombe la CAF ungekuta hadi leo ni ziara ya majigambo

    Mungu ni Mkuu. Pale unapopambana ufanikiwe ili umtukane jirani yako . Kiuhalisia Kombe la Shirikisho Caf mwk huu lilikuwa la Simba ila kutokana na Kiburi , kufuru , dhihaka na ulimbukeni Mungu akasema " HAPANA ". Kimsingi ktk ligi yetu Mashabiki wanaoongoza kwa maneno Machafu ni SIMBA. Vinywa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Gari ya muziki ya CHADEMA yapata ajali mmoja ajeruhiwa

    Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati. Gari...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Ndinga la CHAUMMA linatarajiwa kutumika ziara za mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini

    Wakuu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini. Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili Kosovo kwa ziara rasmi

    WAZIRI KOMBO AWASILI KOSOVO KWA ZIARA RASMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ajili ya kuanza ziara rasmi pamoja na kushiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Trump huko Qatar ni kufuru!

    Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar. Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu. Ongezea na askari waliopanda ngamia. Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda. Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ziara za mwanzo za Trump awamu ya pili kuzitembelea nchi za ghuba ni dalili za kuishiwa kwa Marekani

    Ziara za mwanzo kubwa za raisi Trump katika kipindi chake cha pili cha uraisi imekuwa ni nchi tatu za ghuba zenye uchumi mkubwa duniani na rasilimali za kutosha za nishati.Nchi hizo ni Saudi Arabia,Qattar na Umoja wa Falme za kiarabu. Pamoja na mambo mengine lakini malengo makuu ya ziara hizo...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji awasili nchini kwa ziara ya kitaifa

    RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei, 2025 kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika...
Back
Top Bottom