zawadi

  1. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Kumbe ile zawadi ambayo Trump aliisema amepewa na Iran ni huyo kambanda wa jeshi la majini

    Dunia ina mambo. RIP kamanda
  2. M

    Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  3. Sifi Leo

    Dr faza Kitima, hamtamki Dr Samia na Dr Nchemba kama Dr je WAJUA kwa Nini? Elimu ya ZAWADI Haina mvuto

    Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
  4. Q

    Ni kosa kisheria kumhonga au kumshawishi shahidi kwa zawadi ili atoe ushahidi

    Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa. Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru...
  5. mirindimo

    CCM na tume kutoa zawadi kwa watakaoshiriki kutoa ushahidi, rudisheni na maisha ya wapendwa wao basi

    Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao. Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
  6. B

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi. Inakuwaje akusitiri ilihali yeye hajajisitiri?
  7. marcoveratti

    Waziri wa Uingereza ampa Rais wa China mpira wa goli la CUNHA na DORGU kama zawadi

    Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
  8. Roving Journalist

    TAKUKURU yakabidhi mashine mbili za watoto waliozaliwa kabla ya muda kwa Hospitali ya Tumbi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la uhalifu, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji fedha kupitia shauri...
  9. Roving Journalist

    Zanzibar: Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole Wapatiwa zawadi za motisha kwa kufanya vizuri Michepuoni

    Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli ya Sekondari Ole. Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo, Mwakilishi huyo aliwapongeza...
  10. W

    Mdau una zawadi ya kufungua leo au kuna mchongo unauskilizia?

    Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa...
  11. Damaso

    Pikipiki kwa Miaka 39 ya Utumishi, hii sio heshima bali Kejeli

    Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Nendeni mkaikomboe Tanganyika tarehe 9 Disemba. Mtakaotoka salama tutawapa vyeo serikalini kama zawadi

    Yes . Haiwezekani leo Karne ya 21, dunia inawaza kuishi angani lakini wapuuzi wachache kwa ujira mdogo wanaua Watanganyika wenzao wakidhani wanalinda amani . Mtu ananuka madeni , kadi yake ya kupitishia mshahara iko kwa muha kisa laki 2 ya kula anapewa laki 3 from no where anaua Watanganyika...
  13. Life2

    Kosa ni pale tuliporuhusu Ubunge kiwe ni cheo cha kupewa kama zawadi

    Rest in Heaven ndugu zetu,Damu zenu zikalie masikioni mwa Mwenyezi Mungu. Kama taifa tulishakosea kitambo sana, kuna mambo yalianza Kama utani ila kwa sasa ndo tunavuna matendo yake na litakuchukua muda kwisha mpaka waje viongozi wenye uchungu na nchi hii. Kitendo cha kuanza kuwapa watu cheo...
  14. Damaso

    GE2025 KNOCKOUT YA MAMA: Michezo, Siasa au Rushwa kwa Jina la Zawadi?

    Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
  15. Beira Boy

    Je Mange kimambi anastahili zawadi gani

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwa haya anayoyafanya huyu mwana mama anasihili zawadi gani? Hakika anapambana Kutoka kwangu anastahili apate mbigu aketi pamoja na KRISTO YESU, maana anafanya ambacho MWENYEZI MUNGU anataka tukifanye, kuwapambania masikin na kupigania...
  16. Blasio Kachuchu

    Mati Foundation yagusa maisha ya walemavu, zawadi pikipiki 2000 za Umeme

    Na Mwandishi Wetu. Babati, Septemba 2025: Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia taasisi yake ya kijamii, Mati Foundation, imezindua rasmi mradi mkubwa wa ugawaji wa pikipiki za magurudumu matatu zinazotumia nishati ya umeme kwa watu wenye ulemavu nchini, ili kuwawezesha kufanya shughuli zao...
  17. Pdidy

    Yas hizi sms zenu za zawadi mnasumbua wateja

    Nikiwaletea msg ya tar flan utazawadiwa zawadi.... Badae same day nakuta umepata gb 8 utumie ndan ya siku 30 nikangalia salio nkakuta na gb 1 yangu nilinunua asbh 1.4gb nikahisi labda uchunguzi unaenselea wamekosea kuntumia Keshoyake kimya nkapiga mchana wakasema wanalifanyia kazi mpaka...
  18. Echolima1

    Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kumkamata Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.!!!

    ‼Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kwa atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez. You
  19. Isenye

    Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  20. Bongo Tech Giant

    Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC)

    Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC) Habari zenu wanajamii forum, Kampuni ya Apple wametangaza rasmi kupitia Apple Security Bounty Program kwamba watatoa hadi $1,000,000 (takribani Bilioni 2.5 Tsh)...
Back
Top Bottom