zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

    ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo? je, ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi? wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

    Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika. Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa asilimia 99%. Soma pia: Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Mtandaoni dhidi ya Wanawake ni Tishio kwa Usalama na Haki zao

    Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa Maisha:** Vitisho vya moja kwa moja dhidi ya maisha na usalama wa mwanamke. Kuvujishwa kwa Taarifa...
  5. Wa Katutura

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata zao la Arabic Gum (inta)?

    Hili zao linasemekana lina patikana sana katika mikoa ya Tabora haswa Mpanda mpaka Kigoma, ni bei gani kwa Kilo au kwa gunia?
  6. nyachina

    JamiiForums Tanzania RAMBIRAMBI YA RAIS SAMIA TSH.5,000,000 KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA NDUGU ZAO KWA SABABU YA AJALI, JE ZITADUMJ?

    Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa kwa kila familia kiasicha Tsh.5,000,000. Hii ni nia nzuri na yenye kuoneaha upendo na kuwajali...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas yatoa takwimu za misikiti na makanisa yaliyoharibiwa na mayahudi. Yatoa wito kwa waislamu na wakristo kulinda tamaduni zao

    Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa, Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF, Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

    Ukiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto. Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Zamani Wazazi waliuza Binti zào Kwa Kile kiitwacho Mahari. Kwa Sasa ni Mila Potofu na biashara haramu

    ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka ya Nyuma kidôgo. Biashara ya kuuza na kununua binadamu ilikuwa kwa namna tofautitofauti...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima ya mila hizo na kuendelea kuvutia utalii. Rais Samia ametoa wito huo leo, wakati akifunga mafunzo ya...
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nirudi home kuchukua mke au nitafute mwenza hukuhuku ughaibuni?

    Wakuu niliwaambia kuwa nasafiri lakini mpenzi wangu aligoma kuja nami na ukawa mwisho wa mapenzi yetu kwa kuwa mbali na kuwa alikuwa hataki kuja ughaibuni, pia alikuwa anaona nitatafuta mtu wa mataifa haya ili kuendeleza uzao. Nimeshafika ughaibuni(Kimsingi niko kwa Biden) nimekutana na wabongo...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

    Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdomo wangu umepelekea wanawake wa mtaa mzima kunitazama kila muda. Waume zao wamenijengea hofu

    Napitia kipindi kigumu ndugu zanguni katika kipindi hiki kigumu cha wanaume wazee wa vilainishi Daslamu. Mtaani naanza kuishi kwa mashaka sana Hivi karibuni imeibuka hali ya kuzubaa ambayo inaukumbuka uso wangu. Kuna muda nikitizama kitu najikuta naganda, mwisho wa masaa najisahau kabisa, kuja...
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

    Mwanzilishi wa CHADEMA ni Edwin Mtei na nyumbani kwake ni Tengeru, Arusha. Mwenyekiti wa muda wote wa CHADEMA ni Freeman Mbowe na kwao ni Hai, Kilimanjaro. Katibu Mkuu wa CHADEMA ni John Mnyika kutoka Singida lakini mama yake ni wa Moshi Vijijini. Makamu Mwenyekiti Lissu kwao ni Singida...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali isikie kilio cha wakulima wa zao la Mahindi wa Nyanda za Juu Kusini

    Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo. Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
  16. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una lipi la kusema kwa ma agent wa Clautos Chama na Fabrice Ngoma kulalamikia timu zao haziheshimu kipengere cha kuwaanzisha first eleven?

    Kumekuwa na mgongano wa maslahi binafsi ya wachezaji na maslahi ya kitimu ndio yanasababisha hizi kelele, Wachezaji wanaogopa sana kuanzia benchi au / na kupewa muda kidogo sababu mikataba ikiisha ni ngumu kupata timu nzuri lakini kocha anaweka maslahi ya timu kupata ushindi mbele zaidi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Waandikishaji Jimbo la Bukoba Mjini wametapeliwa pesa zao

    Waandikishaji daftari la wapiga Kura, Bukoba manispaa wametapeliwa pesa zao. Hawajalipwa kiasi cha pesa elfu sitini ambayo ni malipo ya siku moja.
  18. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Waandikishaji daftari la wapiga Kura Bukoba Mjini wamepigwa pesa zao

    Nimepokea kwa masikitiko sana baada ya kuona baadhi ya vijana waliopata nafasi ya kushughulikia zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga Kura. Jimbo la Bukoba Mjini wakitapeliwa kiasi Cha shilingi elfu sitini ,kwa kila mmoja yaani hela ya siku moja .Ni aibu kubwa kwa kijana ambaye...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Msigwa kama Manara tuu.. CD zao zimestuck penye scratch

    Kuna na Upendo Peneza pia Manara msemaji wa Yanga deep down ni SIMBA 100% Kaenda Yanga kwa sababu ya njaa tu Msigwa si mwana CCM kwa hali iwayo yote.. Njaa iliyokimbilia kichwani ndio iliyompeleka CCM Mapenzi ya kitu huja na kupoteana lakini sio mahaba.. Wapenzi waachanao na kurudiana kila...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine utayaelewa siku ukiwa muhusika, kwa sasa utaona kama vile hawajui kutumia vizuri nafasi zao

    Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika. Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
Back
Top Bottom