zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. Huyu ameua wazazi wake ili arithi pesa zao na azitumie katika operasheni yake ya kumuua Trump

    Ni dogo tu wa miaka 17. Amewauua alafu akaishi na maiti zao ndani. Haya ni matokeo ya afya mbovu ya akili na utoto mwingi pale vyote vinapokutana na influence ya mitandao na habari za mrengwa wa kushoto (liberals) zinazoshinikiza chuki dhidi ya Trump.
  2. China ililazimisha jamii ndogo ya waislamu wa huko watume video zao kuonyesha wanakula kipindi cha ramadhani

    Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
  3. L

    Asilimia 75 Ya Wafanyabiashara Wanatumia Njia Hizi Kupata Mitaji Ya Kampuni Zao

    Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa. Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao? Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo; 1. Hisa Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
  4. H

    Wafia dini ni debe wanaamini hawa alitoka ubavuni mwa adamu ila mama zao walizaliwa na wakawazaa!!

    Sasa kama hawa alitoka ubavuni mwa adam kama jinsia ya kike je hizi jinsia za kike nyingine pia zilitoka ubavuni mwa jinsia ya kiume ya samaki,kuku,bata,nyoka,nk? Kwanini wanawake i.e:hawa wasiendelee kutoka kwenye ubavu wa wanaume i.e:adam? Wafia dini jiongezeni!!
  5. M

    Hezbollah kusalimisha Silaha zao

    Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata? Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la Hezbollah. Ila Tangu Nasrallah afe wamekuwa mdebwedo Hadi kufikia hatua ya kusema wako tayari kusalimu amri...
  6. Kwanini madereva wa magari makubwa ya masafa marefu huambatana na wanawake kwenye safari zao

  7. X

    Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

    "Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104% Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho. Trump aache kuwazia eti kuna...
  8. Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

    Watoto waliolelewa na single maz ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo. Kijana usioe singo maza
  9. Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  10. H

    Bara la Afrika linahitaji sheria,katiba na Dini zao kulingana na ASILI ZAO

    Ni wazi waAFRIKA wamekuwa WAJINGA kiasi cha kurithi na kukumbatia SHERIA,DINI na KATIBA kutoka kwa wakoloni na wameshindwa kabisaa kujua vyote hivi vilikuwa kwa masilahi ya wakoloni? Wamekumbatia kesi za wazungu ktk maamuzi,wamekumbatia majina ya wakoloni,wamekumbatia katiba walizoacha...
  11. Zelensky anazidi kuzivuta nchi za Ulaya ziingie vitani na Urusi kwa uchokozi wake huku nchi za kiarabu zikijficha kusaidia ndugu zao wanaodhulumiwa

    Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa. Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO. Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
  12. Feitoto na Aziz ki katika sura zao za uzeeni.

    Alietengeneza hili bango ana chuki binafsi kwa shemeji yetu 🤣
  13. R

    Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  14. Kumbe ndiyo maana mastaa wengi husema hawajibu ujumbe kwenye peji zao katika mitandao ya kijamii

    Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa. Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana. Baada ya...
  15. Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
  16. BUSTANI ZA SHULE: MBEGU ZA LEO, ZAO LA KESHO

    Waswahili wanasema, “Ukiona vyaelea, vimeundwa.” Hivyo ndivyo, wanafunzi wa shule ya msingi ya Mnane na Kikio, Mkoani Singida wanavyoandaliwa mazingira mazuri ya kujifunza kuhusu kilimo na lishe bora. Shirika la Amani Girls (AGO) kwa kushirikiana na walimu wa mazingira na wanafunzi wa shule ya...
  17. R

    Tanzania siyo nchi ya viwanda, kila uchao serikali inanyanganya mashamba na kuyakata viwanja, kesho watu watalima wapi? ajira zao zitatoka wapi?

    Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja. Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
  18. Athari za makundi ndani ya CHADEMA ,ukata ,katiba mbovu inayoelekeza chaguzi zao kufanyika mwaka wa uchaguzi mkuu wa nchi wapelekea "No reform.."

    CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"... Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
  19. Kwa kuchambua mada zao humu JF tutaweza kuwatambua wale makomandoo wa Yanga

    Namba Moja ni Labani og , alikuwa kabebwa kwenye boda na ngara23 . Shadeeya na Numbisa walikuwa kwenye IST wakichukua tukio zima Kwa Tekno zao. 😃😄😆😂
  20. TAMISEMI wanataka kuwauwa vijana kwa umasikini kupitia ajira zao za mchongo

    # Wanatangaza Ajira 14 elfu. # Wanafanyisha interview. # Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza. Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…