zanzibar

  1. Tume ya Utangazaji Zanzibar yazipa onyo kali Online TV zinazofanya kazi bila leseni

    Tume ya Utangazaji Zanzibar, katika utekelezaji wa kazi zake imebaini kuna vituo vya Utangazaji vya Maudhui ya Mtandaoni vinavyofanya kazi ya Utangazaji bila ya kuwa na leseni. Kwa Mujibu wa kifungu cha 11 cha Sheria ya Tume ya Utangazaji Zanzibar, Sheria namba 7 ya mwaka 1997 "ni marufuku kwa...
  2. Ni aibu mtanganyika kumshabikia SSH aongezwe miaka ya urais, Zanzibar inaneemeka, Tanganyika hoi

    Tanganyika imefifia na itazidi kufifia. Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani. Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari...
  3. Zanzibar wamebadirisha mfumo wa usajili wa magari kutoka Z123AB kwenda Z123ABC!

    Nadhani baada ya kuona namba zinakimbia (zimeshafika PG hivi) ZRA wameona isiwe shida. Tufanye kama wenzetu bara kwa kutumia herufi tatu kwenye usajili wa magari badala ya mbili. Zoezi ilo limeanza rasmi mwezi huu wa October na litakua endelevu kwa muda utakaotangazwa. Kwahiyo huko unaweza...
  4. Turekebishe muungano wa Tanganyika na Zanzibar uwe kama wa Denmark na Greenland

    Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na...
  5. GE2025 Mwanamke wa kwanza kuwania Urais Zanzibar ni katika Uchaguzi wa 2025

    Laila Rajab Khamis Katika historia ndefu ya siasa za Zanzibar, jina la Laila Rajab Khamis sasa limeandikwa kwa herufi kubwa si kwa sababu ya nafasi aliyopewa, bali kwa nafasi aliyoamua kuichukua mwenyewe. Mwaka 2025, Laila amekuwa mgombea pekee wa urais mwanamke visiwani Zanzibar, na wa kwanza...
  6. Maafisa na Askari wa Polisi Zanzibar washirikiana na Vyombo vya Usalama katika matembezi ya ukakamavu

    Leo, tarehe 10 Oktoba 2025, maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mkoa wa Mjini Nagharibi Unguja wameungana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na Idara Maalum ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika matembezi ya pamoja...
  7. GE2025 Ismail Jussa alalamikia utozaji Kodi wenye kuumiza Wananchi Zanzibar

    Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea huyo Ismail Jussa Ladhu, amesema shida kubwa sana ya wananchi kukamuliwa katika kodi mbali mbali hapa Zanzibar ambapo amesema wenye vyombo vya moto wametakiwa wakasajili vyombo vyao na kuendelea kukamuliwa wakati watu ni...
  8. SI KWELI Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez wametembelea Zanzibar

    Cristiano Ronaldo and Georgina Shine in Zanzibar: A Royal Welcome in Swahili Splendor The turquoise waters of the Indian Ocean sparkled under the morning sun as the island of Zanzibar prepared for an extraordinary moment. Word had spread quickly across Stone Town: Cristiano Ronaldo and his...
  9. GE2025 Dkt. Mwinyi azindua huduma ya Water Taxi Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema huduma za Water Taxi zimeanza rasmi visiwani Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kuboresha usafiri wa baharini, kuvutia watalii na kuongeza ajira kwa wananchi. Akizungumza alipowasili katika Bustani ya...
  10. W

    GE2020 OMO akishinda Urais Zanzibar mshahara kima cha chini kitakuwa Milioni moja

    Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman (OMO) atoa ahadi zake 10 kuhusu mambo atakayoyatekeleza iwapo atashinda Urais lipo la mshahara kima cha chini kuwa Milioni moja 2. Kupunguza kodi kwenye mafuta ili bei ishuke. 3. Kuondosha utitiri wa kodi na tozo. 4...
  11. GE2025 ADC: Tutaongeza kipato kwa wavuvi wa Zanzibar

    Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) kimezindua rasmi kampeni zake hii leo, ambapo mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, Hamad Rashid Mohamed, ameahidi kuimarisha mfumo wa uvuvi ili kuongeza kipato kwa wavuvi wa Zanzibar. Amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni za urais wa...
  12. GE2025 Dk. Mwinyi atembelea soko la Chake Chake kuomba kura, aahidi mikopo kwa wafanyabiashara Zanzibar

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia wafanyabiashara ambao hawajapata mkopo unatolewa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi(ZEEA) watapata endapo akipata ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar. Kauli hiyo ameitoa...
  13. GE2025 NRA Zanzibar yaahidi kuwawezesha vijana kuoa wake zaidi ya mmoja

    Vijana wa kiume tuhamine Zenji tukaoe wake wengi :cool::D:D ============================ Mgombea Urais kwa tiketi ya NRA Zanzibar, Khamis Faki Mgau ameahidi kuwawezesha vijana kuoa wake zaidi ya mmoja pamoja na kuwalipa mshahara ili waweze kujikimu kimaisha.
  14. Kwa nini Burundi kusiwe kama Zanzibar tu waunganishwe na Tanzania na maeneo ambayo tutafakari kule Congo Kaskazini

    Ukiangalia ripoti za uhamiaji kesi za Burundi wahamiaji haramu ndio wengi. Kama ilishakuwa nchi iliyo shindwa ni bora kuwa muunganiko wa Tanzania hata Kaskazini mwa Congo kuwa jimbo linalotegemea Tanzania maana hata lugha ni moja tu. Japo kuwa na serikali za wahuni mtakumbuka haya mawazo.
  15. Kabla hamjaandamana Tarehe 29 Oktoba waulizeni Zanzibar na Waislam kwanza

    Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ? Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea. Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote. Usiandamane kwa...
  16. GE2025 Vijana wa Zanzibar: Rais Samia anatosha kuendelea kuwa Rais wa Tanzania kutokana na maendeleo aliyoyaleta

    Kuna baadhi ya vijana wanachokizungumza hakileti maana yoyote kwenye maendeleo yao binafsi, wanaishia kufanya uchawa usio na manufaa kwao ================= Baadhi ya Vijana kutoka Visiwani Zanzibar wameeleza namna ambavyo Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Samia Suluhu Hassan...
  17. Bandari bubu Ununio-Chimbo la bidhaa nafuu toka Zanzibar

    Wale risk takers chimbo la bidhaa nafuu njooni hapa Ununio Majahazi wanaleta bidhaa toka Zanzibar niwendo wa kupiga pesa tu. sukari kilo Tsh 800
  18. GE2025 Wagombea urais Zanzibar wamnadi Dkt. Mwinyi, baada ya kukabidhiwa magari ya kufanyia kampeni

    Yani! Kupewa magari ya kisasa wanasahahu kijipambania wenyewe, wananza kumnadi mgombe urais wa CCM Wagombea urais Zanzibar wamnadi Dkt. Mwinyi, baada ya kukabidhiwa magari ya kufanyia kampeni
  19. GE2025 ZEC yamuengua Hamad Masoud Hamad kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF

    Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC imemuengua Bw.Hamad Masoud Hamad kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha wananchi- CUF kwa kutokukidhi kigezo cha kuwa wanachama mia mbili katika mkoa wa Kaskazini Unguja huku mgombea wa ACT wazalendo Bw.Othman Masoud Othman akitakiwa mpaka kesho saa tatu...
  20. W

    GE2025 Dkt. Rose Migiro: Rais Samia kuwa Katibu mkuu wa Kwanza wa kike ni alama CCM inazingatia Usawa Jinsia

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Asha Rose Migiro akizungumza na viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Afisi Kuu za CCM, Kisiwandui, Unguja visiwani Zanzibar. SOURCE: GLOBAL TV
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…