zanzibar

  1. Zanzibar imewahi kutawaliwa na mwanamke karne ya 17

    Mnamo mwaka 1696 hadi 1698 utawala wa Unguja unatajwa kuwa uligawanyika ambapo aliyekuwa mtawala wa Zanzibar Kaskazini alikuwa ni Malkia Fatuma binti Yusuf al-Alawi. Fatuma alikuwa mtoto wa mfalme wa Unguja, Yusuf. Utawala wa Fatuma ulikuwa katika kipindi ambacho wareno walikuwa wanataka...
  2. Uzembe wa madereva watajwa kuwa chanzo kikuu cha ajali za barabarani Zanzibar

    ASILIMIA 48 ya wahojiwa kuhusu ajali za barabarani, kisiwani Zanzibar wameeleza kwamba uzembe wa madereva ni kati ya chanzo kikuu cha ajali za barabarani, huku asilimia 27 wakisema ni kutozingatiwa sheria za barabarani. Takwimu hizo zimebainishwa hivi karibuni Mkoani Dar es Salaam, kwenye...
  3. Tanganyika hatuna chetu kwenye mapato na usimamizi wa utalii Zanzibar, hili swala la Mnaijeria linakuwaje la muungano?

    Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake. Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi...
  4. Kamisheni ya Utalii Zanzibar kuchunguza Madai ya Mtalii kutoka Naijeria kudhalilishwa kingono

    Zanzibar’s Commission for Tourism has come out to respond to an explosive account of assault shared online by a Nigerian woman on her experience at a ritzy hotel on the island last year. Zainab Oladehinde, through her Twitter account on Saturday, narrated her 23rd birthday celebration at Warere...
  5. L

    Nafasi za Zanzibar kwenye Muungano

    Je, Wazanzibar wanaomba kupitia ajira portal hii au kuna ajira portal yao? Nimeona nafasi za TRA usaili ulifanyika DSM, Dodoma na Zanzibar. Hao waliofanya usaili Zanzibar walipatikanaje? Naomba muongozo
  6. Ufafanuzi: Kwanini ukinunua kitu Zanzibar, ukija nacho Tanzania Bara unatakiwa kulipia kodi?

    Hii kitu inaumiza sana , Tanganyika na Zanzibar ni nchi 2 tofauti tujue kabisa ! Mtu unanunua gari Zanzibar ukija bara unadaiwa tena ushuru , kwanini ? Wataalamu wa Kodi mnaweza nielezea hili kwa nini iwe hivi ? Kama sisi ni nchi 2 tofauti tuelewe basi
  7. M

    Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

    Zanzibar ni nchi ya kiislamu? === Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani. Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko...
  8. B

    Yawezekana Zanzibar hawahitaji Katiba Mpya sasa

    Hii ni tafakuri ya wazi kufahamu tunasimama wapi. Zanzibar kunazidi kunoga. Bila shaka uchumi wao ukiwamo wa mtu mmoja mmoja kwa sasa unazidi kupaa kwa kasi kuliko popote duniani. Washukuriwe marais Mwinyi na Samia wana shupavu wa kitanzania. Uvuvi wa majahazi unaondoshwa na wavuvi sasa...
  9. B

    Zanzibar Wavuvi wapewa Boti za Kisasa, Bara kulikoni?

    Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi. Jambo la kheri kabisa! Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu? Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi? Kweli Zanzibar kumenoga.
  10. Waziri wa Kilimo: Utekelezaji mradi wa viungo Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na Uchumi wa Wananchi

    WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
  11. TAMWA Zanzibar supports establishment of a standalone Ministry for Women

    Tanzania Media Women’s Association- Zanzibar (TAMWA-ZNZ) is sincerely extending its gratitude to The President of Zanzibar HE. Dr. Hussenin Mwinyi for his new thought of creating a special Ministry which among other things will be dealing with Women affairs outside the then arrangement of...
  12. J

    Ni kweli Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulishinikizwa na mabeberu?

    Wakuu naomba kujuzwa ukweli wa hili, kuwa baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na wanasiasa wenye ushawishi wakiongozwa na Abdulrahman Babu wa Umma Party ambao walikuwa na itikadi za kikomunisti na wangeweza kuifanya Zanzibar kitovu cha Ukomunisti Afrika Mashariki Kuzuia hilo , Waingereza...
  13. Zanzibar: Wapelelezi wanaokwamisha kesi za madawa ya kulevya waonywa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar Kamishna wa Polisi, Awadhi Juma Haji amewaonya wapelelezi wanaokwamisha kesi za dawa za kulevya Zanzibar kuwa jeshi hilo halitakuwa na muhali kwa maafisa hao na kusisitiza ueledi katika majukumu yao. Kila mpelelezi awajibike kufuatilia jalada lake hatua kwa...
  14. Ramani mpya ya Afrika Mashariki haioneshi Zanzibar, Inabidi kuwe na masahisho

    Upande wa kwanza Zanzibar ni nchi iliyoungana na Tanganyika ikapatikana Tanzania, katika huu muungano Zanzibar inabidi iwe na raisi au makamu wa raisi wa Tanzania, Pia Wazanzibari katika huu muungano wapo Mawaziri, mabalozi, wakuu wa taasisi, wabunge, Idara za ulinzi, waajiriwa, n.k. Lakini kwa...
  15. Rais Samia atangaza Agosti 23, 2022 kuwa tarehe rasmi ya sensa nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anazindua nembo na tarehe ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, leo tarehe 08 Aprili, 2022 Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Rais Samia ameanza kuzungumza muda huu... Rais Samia: "Taarifa nilizonazo ni kuwa oparesheni inaendelea...
  16. L

    Mzee Mohamed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes. Hata siku moja sijaona makala yake namna ambavyo JOHN OKELLO...
  17. Re-Insurance Officer 2 Post at Zanzibar Insurance Corporation

    BACKGROUND Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th of June,1969 under the public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal organization owned by the Revolutionary...
  18. Product Innovation Officer at Zanzibar Insurance Corporation

    BACKGROUND Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th of June,1969 under the public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal organization owned by the Revolutionary...
  19. Claim Officer at Zanzibar Insurance Corporation

    BACKGROUND Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th of June,1969 under the public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal organization owned by the Revolutionary...
  20. Insurance Underwriter 5 Posts at Zanzibar Insurance Corporation

    BACKGROUND Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th of June,1969 under the public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal organization owned by the Revolutionary...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…