zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara na Kenya

    Akijibu swali bungeni, Waziri amesema kuwa serikali ina mkakati madhubuti wa kufanya operesheni za mara kwa mara katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na viashiria vya biashara ya ukahaba. Amesema operesheni hizo hufanyika kupitia Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na idara maalum, ambapo watu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua elimu sio chochote mbele ya Mamlaka angalia Zanzibar, ipo nyuma kielimu ila ndio jamii iliyojaa kwenye vyeo vizito na taasisi kubwa,n.k.

    Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar. Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana, Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

    1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa 2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani 3. Wakiristo wengi hasa J2...
  4. JamiiForums Tanzania Tupige kura ya wazi kuhusu uwepo wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Watanzania tupige kura kuhusu huu muungano au maagano laZima muungano uwepo Kwa mahitaji ya wananchi Andika NDIYO kama unaupenda muungano Andika HAPANA kama huitaji Muungano
  5. JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa afya Zanzibar: Sikusema watu wa bara wasitibiwe

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara. Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia...
  6. JamiiForums Tanzania Je, chokochoko za Zanzibar mwanzo wa mwisho wa Muungano?

    Tamko la kuwafurusha Wabara Zanzibar linaketa, kuchukiza, kuhuzunisha , na uchokozi Je, bado tunauhitaji muungano? Je, bado unafaa? Kama unafaa, unamfaa na kutomfaa nani?
  7. JamiiForums Tanzania Nini mpango wa serikali kuthibiti hoja zenye kuleta mgawanyiko hasa kutoka kwa Zanzibar?

    Salama. Imekua too much sasa maana imefika hatua haiwezi kuvumilika hasa kauli za viongozi kutoka Zanzibar Mwanzo walisema wawafurushe watu wanaofanya kazi mahotelini ambao sio wazanzibar Leo tena kama sio mzanzibar hautatibiwa bure Sasa hizi kauli zisipothibitiwa zinaongeza uhasama na...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA overdoing imepoteza ushawishi ndani ya Zanzibar!

    Kamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani. Dr Wilbrod Slaa na Marehemu Edward lowassa walitambua hili na waliwekeza katika hili. Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza...
  9. JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
  10. JamiiForums Tanzania Syst Nyahoza hausikii kauli za wana CCM kutoka Zanzibar?

    Namkumbisha msajiri wa vyama vya siasa jaji Mtungi na msaidizi wake bwana Nyahoza kuchukua hatua za haraka sana kukiandikia barua chama cha mapinduzi CCM. Hii nikutokana na kauli mbali mbali zinazotolewa na makada wake wazanzibari zinazohamasisha ubaguzi dhidi ya watanganyika waishio Zanzibar...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi

    Naibu Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji, Zanzibar Hassan Khamis Hafidh, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Vijana katika Baraza la Wawakilishi Juni 6, 2026, alisema licha ya kuwepo kwa hoteli 1,184 zilizosajiliwa Zanzibar, idadi kubwa ya wafanyakazi katika baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar raha, Mchango wa Harusi ni Elfu tano tu, Bara sirudi

    Yaani ukiwa Zanzibar, Harusi ni nje nje, utake wewe kuoa.. Hata rafiki yako akioa, anataka mchango wa Elfu tano(elfu moja moja tano).. Kama utatoa ziada ni hiari yako. Lakini huko bara mchango eti laki moja.. Gharama ya mbuzi mzima halafu muda wa msosi unaambulia paja la kuku, ubwabwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mmemsikia Mbunge wa Tunguu, Zanzibar Simai Saidi akitamka "Watanzania na Wazanzibari"? Hawa watu wanatafuta nini lakini?

    Nashangaa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Saidi akimwaga sumu zake kuwa kuna Yuda, ametumia kauli "wanachotaka Watanzania na Wazanzibar" na hakuna mbunge hata mmoja alieomba mwongozo toka kwa spika. Hivi hawa watu wanatafuta nini lakini? Wee haya...
  14. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= tu. Delivery...
  15. JamiiForums Tanzania ACT: JKT si chombo cha Muungano, si sawa kulazimisha Vijana wa Zanzibar wajiunge JKT, hiyo ni kupora mamlaka ya Zanizbar

    "JKT si chombo cha Muungano. Zanzibar ina idara maalumu yenye hadhi na majukumu yanayofanana na JKT; ambayo ni JKU. Kuwalazimisha vijana wa Zanzibar kujiunga JKT ni kupora mamlaka ya Zanzibar." Mwenezi wa ACT Wazalendo, Salim Bimani
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi, Zanzibar imetajirika ghafla ila Tanganyika chaliii

    Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi? Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa. Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa. Ila...
  17. JamiiForums Tanzania Muungano uruhusu wawakilishi toka Tanganyika katika Bunge la Zanzibar

    Ni Muda sasa wabunge toka baraza la wawakilishi huwa pia na fursa ya kuingia Bunge la Muungano. Sio vibaya kama wabunge toka bara baadhi yao nao wakiwa wanahudhuria vikao vya baraza la wawakilishi. Uwekwe utaratibu maalum ambao utawafanya wabunge hao kushiriki vikao bila kuathiri maamuzi ya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kujengwa Uwanja wa ndege Serengeti ni mbinu za kupigwa Pesa kwenda kujenga Zanzibar

    Sipingi kujengwa uwanja wa ndege wa Kimataifa Serengeti, ila kwa hali mbaya ya miundo mbinu ya barabara iliyopo nchini si muda muafaka wala kipaumbele kwa sasa kujenga huo uwanja. Watalii hawaji kwa ajili ya mbuga ya Serengeti tu ila mzunguko(circuit) ya kaskazini. Hata hivyo Samia hajengi huo...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania y Zanzíbar: El Viaje Perfecto entre Safari, Naturaleza y Playas Tropicales

    Tanzania y Zanzíbar representan una de las combinaciones de viaje más completas y espectaculares de África. Cada año, miles de viajeros internacionales visitan Tanzania para descubrir la increíble vida salvaje de sus parques nacionales y después relajarse en las playas paradisíacas de Zanzíbar...
  20. JamiiForums Tanzania Dr. Mwangi: Zanzibar ina nafasi ya kipekee kuwa lango la biashara na uwekezaji kuunganisha Afrika na Asia siku zijazo

    Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…