zanzibar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ndani ya Tanzania ikiwa na watu milion 2

    Huu ni ujinga na upumbavu wa kila mtanzania anayeitetea hii serikali nasema R.i.p Magufuli Haiwezekana wazanzibar wajazane kwenye baraza letu la mawaziri uchwara na bado makazini wazibe ajira zetu mitaani wako huru kufanya kazi waitakayo mwishowe waje kutupiga na risasi kutuulia mimia ya vijana...
  2. JamiiForums Tanzania SOMA: Ujumbe Kutoka Zanzibar Kuelekea Dec. 9. 2025

    Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar, huwa wanakuja kwa ajili ya kwenda mbuga za Wanyama then Zanzibar huwa wanamalizia ku relax beach...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Sekta ya utalii yazidi kupaa Zanzibar

    Zanzibar imeandika ukurasa mpya wa kihistoria katika sekta ya utalii baada ya kufanikiwa kuvunja rekodi ya uingiaji wa watalii kabla ya kufika mwisho wa mwaka 2025. Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Ndugu Arif Abbas amesema, hadi kufikia mwisho wa mwezi Oktoba 2024, visiwa hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Siasa za maridhiano zimeua siasa za upinzani Zanzibar, leo hii Zanzibar ni nchi ya chama kimoja

    Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye malumbano ya hoja ITV kuna kijana anasema siku ya uchaguzi mkuu wa Bara alikuwa Zanzibar

    Ni nani huyu? Zanzibar alienda kufanya nini? Kwani hakupiga kura? Au ndio resource mobilization? Alisema anaona mitandaoni kuhusu habari ya D09, na kama ikitokea waachiwe wao (kijana) wadili na hao waandamanaji...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula

    Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula.
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC). Tutakwenda mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe Zanzibar ina Katiba yao, Msikilize Hussein Mwinyi

  9. JamiiForums Tanzania 27January 2001, CCM iliekeza Majeshi kuua na kubaka watu Zanzibar waliotaka Katiba Mpya

    Swali kwa CCM, Mtaendelea kutumia Polisi watuue hadi lini? Watu wakilalamikia Uchaguzi tu muunatuma Polisi watubambikize kesi, wakidai katiba mpya tu risasi. Mtatuua hadi lini? Ni mauaji ya sisi kwa sisi yatafika kikomo? Mtu akishavvaa sare yya jeshi anajiona si Mtanzania. Anageuka kuua ndugu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ajira za Mawakala Zanzibar

    🎯 TENDA YA MAWAKALA - HORIZON INSTITUTE 🎯 πŸ“Chuo Kipo Zanzibar πŸ“ πŸ’° FURSA YA KUPATA MAPATO KILA SIKU! πŸ’° --- πŸ“‹ JINSI YA KUFANYA KAZI: 1️⃣ JIUNGA KWENYE MFUMO WA WAKALA: πŸ‘‰Ingia hapa kujiunga: Horizon Institutes πŸ“JISAJILI kwenye mfumo wa wakala πŸ”PATA NAMBA YAKO YA WAKALA baada ya kujisajili...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ajra zanzibar

    πŸ“’ TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE πŸ“’ Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza. 🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana: πŸ—£ LUGHA ZA KIGENI βœ… English βœ… French βœ…...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira Zanzibar

    πŸ“’ TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE πŸ“’ Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza. 🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana: πŸ—£ LUGHA ZA KIGENI βœ… English βœ… French βœ…...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ni ufunguo: zaidi ya wanafunzi elfu 6 Zanzibar wachaguliwa kupata mikopo ya elimu ya juu kutoka ZHESLB kusoma vyuo vya Tanzania

    Elimu ni maendeleo, wanafunzi 6.459 waneemeka na mikopo ya kujiendeleza kielimu katika vyuo Pia kuna bodi kubwa ya muungano HESLB, hutoa mikopo kwa wanafunzi pande zote za muungano ingawa asilimia kubwa huwa ni wanafunzi wa Bara.
  14. JamiiForums Tanzania Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya AI kuhusu chanzo kilichopelekea Nyerere aitose Tanganyika kuungwa na Zanzibar na kilichomfanya Karume aridhie

    🧭 Muktadha wa Dunia: Cold War (1950s–1980s) Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia iligawanyika katika kambi mbili kubwa: Kambi ya Magharibi πŸ‡ΊπŸ‡Έ – inayoongozwa na Marekani na Uingereza (mfumo wa ubepari/demokrasia ya kibepari). Kambi ya Mashariki πŸ‡·πŸ‡Ί – inayoongozwa na Muungano wa Kisovieti...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Je analipiza kisasi kwa ndugu zake wa Zanzibar waliouwa katika utawala wa Mkapa.?

    Lakini maoni yao tumeyakataa .!! Haya yalikua maneno ya Mkapa baada ya machafuko ya mwaka 2000 huko Zanzibar Nimejaribu kutafakari labda kuna ndugu zake wengi waliuwa kipindi kile, na akaapa endapo akipata nafasi ya kuongoza Tanzania atalipiza kwa wabara kile kiliwatokea ndugu zake Zanzibar...
  17. JamiiForums Tanzania TANGANYIKA ina Mwanasheria Mkuu Mzanzibari na ZANZIBAR ina mwanasheria Mkuu Mzanzibari

    ni mimi tu ndio sielewi au katiba yetu haijawa wazi kwenye masuala ya muungano? Kuna Mkuu wa mkoa walikouliwa waandamanaji kwa mafungu huko Songwe ni Mzanzibari pia! Je Zanzibar kuna mkuu wa Mkoa Mtanganyika? kuna Mwanasheria mkuu mtanganyika? mbona mie sielewi?
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Zanzibar kuna nini cha zaidi huko?

    Mimi sijawahi kufika hembu wenyeji niambieni kuna nini cha maana sana ambacho siku nikija kutembea huko nitatamani nisiondoke. Maana mimi nishazoea huku bara nikitaka kutembea napanda magari ya mikoa nazunguka mikoa mbali mbali kujionea mema ya nchi.
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Nyerere lengo lake haswa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar lilikuwa nini?

    Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??) Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Dkt. Mwinyi amteua Hemed Abdulla kuwa makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR. Uteuzi huo unaanza tarehe 06 Novemba, 2025. Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais ataapishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…