zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania ZECO: Changamoto ya umeme Zanzibar inachangiwa na miundombinu ya kusafirisha umeme, kuna mpango wa kuweka njia kutoka Bara

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara maeneo ya Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini, Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetoa ufafanuzi kuhusu hali hiyo. Hoja ya awali iko hapa ~ Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata...
  2. JamiiForums Tanzania Waswahili wanaousifia uwanja wa Amani Zanzibar kwa jina la Guantanamo bay ni maamuma wa historia na haziwatoshi

    Guantanamo bay ambacho ni kituo cha jeshi la Marekani katika ardhi ya Cuba pwani kilijipatia umaarafu sana baada ya vita vya ugaidi kuanzia mwaka 2001. Hapo Guantanamo bay ndipo walipokuwa wanashikiliwa kama mahabusu watu waliokamatwa na vyombo vya US kutoka nchi nyingine wakituhumiwa kama...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yatupa maombi ya wagombea ACT Wazalendo, wafugua kesi upya

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana zimebaki pc 9

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  5. JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSF) lasitisha shughuli za muziki na burudani kipindi cha Ramadhani

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  6. JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Utalii Zanzibar: Nguo fupi marufuku kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani. Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo. Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi za kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 Zanzibar, zakutana na kikwazo Mahakamani

    https://www.youtube.com/watch?v=VvgEZ6hch6A Kwa mara nyingine tena, kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 29 mwaka jana zimeambatana na kikwazo baada ya upande wa Jamhuri kuhoji uhalali wa viapo vilivyoandaliwa katika kesi hiyo. Hoja hiyo imewasilishwa mbele ya Jaji Salma...
  10. JamiiForums Tanzania Othman Masoud Othman: Mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo (Taifa), Othman Masoud Othman amesema mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema. Akizungumza na viongozi na wanachama wa chama chake kwenye mkutano wa ndani hivi leo Februari 11, 2026 Kusini kwa kisiwa cha Pemba...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mjini Magharibi, Zanzibar: Mkandarasi aliyepewa mradi anatuumiza wananchi

    Kero yangu ni kucheleweshwa kwa mradi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Alinato mpaka Posta inayojengwa na kampuni ya CRJE. Imefika miezi mitatu sasa haijafanyiwa marekebisho tangu walivyoichimbua. Wajasiriamali na wafanyabiashara wa maeneo haya tunateseka kwa muda sasa kwa kupisha mradi wa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani na mnajua kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center

    Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar Hustler ni Kitabu Cha Kutisha

    ZANZIBAR HUSTLER NI KITABU CHA KUTISHA Kiasi cha miaka miwili iliyopita nilikuwa nakisoma kitabu cha Khamis Abdalla Ameir, "Maisha Yangu." Sikufika mbali mwanzo tu wa kitabu nikaamua kuanza kuwaeleza wasomaji wangu wanaonisoma kuwa kitabu cha Khamis Abdalla Ameir ni kitabu cha kutisha sana...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  16. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  17. JamiiForums Tanzania Khanga nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  18. JamiiForums Tanzania Samahani wakuu, hii pisi ya Zanzibar imeolewa?

    Nasikia anaitwa mamaruu Mariam KWA kweli huyu Binti anaukonga MOYO WANGU, nimechunguza nimeambiwa YUPO ch,,,,,,,,,,,, ana duka la ,,,,,,,,,,,. Nataka NIJUE KAMA ASHA olewa au BADO nimpose WAKUU, SAMAHAN KWA usumbufu WOWOTE, KUHUSU kimuweka hapa sioni SHIDA kwani HIZI picha SIO za Siri ZIPO...
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

    Ufaulu Umepanda. Futatilia hapa. https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm --- Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Maadili kama mkakati wa siasa Zanzibar

    Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar: Maadili kama Mkakati wa Kisiasa Katika historia ya siasa za Zanzibar, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imekuwa ikitangazwa kama suluhisho la migogoro ya kisiasa na njia ya kudumisha amani. Hata hivyo, uzoefu halisi wa Wazanzibari unaonyesha kuwa mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…