Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo
Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
Lakini maoni yao tumeyakataa .!!
Haya yalikua maneno ya Mkapa baada ya machafuko ya mwaka 2000 huko Zanzibar
Nimejaribu kutafakari labda kuna ndugu zake wengi waliuwa kipindi kile, na akaapa endapo akipata nafasi ya kuongoza Tanzania atalipiza kwa wabara kile kiliwatokea ndugu zake Zanzibar...
Watanzania bado tunaendelea kubeba maumivu ya yaliyotokea. Lakini kushindana na mwenye silaha hakutaleta suluhisho, bali Maumivu zaidi. Waliotenda mauaji walifanya hivyo si kwa uungwana wala kuzingatia utu na utanzania wetu, Hata hivyo kila jambo lina mwisho.
Maisha lazima yaendelee. Heshima na...
Wananchi tumeshachukua nchi yetu.
Tunawaomba sana makamanda wetu tunaowapenda sana. Taasisi pekee tunayoiamini wananchi. Tuondoleeni huyo mama mpandisheni ndege aende kwa wajomba zake Oman.
Itisheni haraka baraza la Uongozi la Kitaifa chini ya Jeshi tuanze kuijenga upya nchi yetu.
Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue
Atakaa...
Polisi mnajidhalilisha mnaenda kukamata Kibinti kinacheza zake Tik tok uko mnaenda kumkamata kama jambazi? Kosa la huyo binti ni nini?
Kama alikua na kosa mlishindwa kutuma wito ajisalimishe mwenyewe kituo cha police mtu ana offce anajulikana anapatikana wapi ndo mnatumia nguvu kubwa kiasi icho...
Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa):
Tafsiri:
Jamaa alikuwa anatembeza sana kiboko. Na hakuwa na maadili kabisa. Aliwachukulia wanawake kama ni chombo cha starehe tu.
Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu....
Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
Yule fedhuli mwenye roho ya korosho,
Mwenye hoja zisizo mashiko,
Anadhani katiba ni hadithi za esopo,
Kila mara hutoa boko,
Kwasasa amekosa soko,
Kila kona mi miwasho,
Mikali zaidi ya ile ya uamsho,
Ataipata ya joto,
Kiti kitawaka moto.
Wahuni wenye mikoko,
Wanaotegemea pisto...
Ulikuwa mtu mwema kipindi cha uongozi wako, lakini leo watanzania wanakulilia. Umeiuza nchi kwa majambazi.Watanzania wanakufa, wanateswa sababu uliamua hawa wahuni wapewe nchi.