zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hajatokea na hatatokea Manipulator kwenye siasa kama Mobutu Seseko ila ngebe zake zote zilikoma baada ya Nyakati kumkataa

    Alitengeneza mamia ya vyama vya siasa ili kuidanganya dunia kuwa Congo kuna demokrasia na vyama vingi. Vyama vya siasa vya kidalali vilikuwa vinajifanya kushindana nae kwenye uchaguzi alafu vinatangaza kumuunga mkono. Alitegeneza machawa wa kumsifia kila kona na kwenye kila jambo kiasi kwamba...
  2. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mahubiri yamekuwa siasa je,mnajua athari zake??

    Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
  4. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwenyekiti wa CCM iko wazi, akirudi kutumia Jukwaa la kanisa kuendelea na fitina zake hilo kanisa Wizara ya Mambo ya Ndani ilifungie

    Friends and our Enemies, Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake. Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Mfumo hauhitaji akili ya masikini bali unahitaji za masikini

    Wanasema mwanadamu ametokana na udongo — lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania The Defining Moments for CHADEMA: Watanzania wazidi kuikataa CCM na hila zake za kuiua CHADEMA. Maamuzi ya Msajili kuzuia ruzuku yapingwa kila kona

    Sasa ni dhahili, CCM imeazimia kuiua Chadema kwa kutumia vyombo vya Serikali/ dola baada ya hila na mbinu zote za kisiasa kufeli. Walianza kutoa hela kwa wajumbe wa Chadema ili Lissu na Heche wasiwe viongozi wakafeli, Wakatoa mabilioni ya shilingi kuhonga mamluki ili wajiondoe Chadema mradi huo...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati kuu kauli zake zina ukakasi , he disregard taratibu husika

    Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, he disregard party tradition, needs to be fixed Angewasikisha hoja zake mamlaka husika. Has enough experience with party tradition hence should not have gone Public. A...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Visasi vitalipwa mrudi kwenye historia

    Katika karata zilizokosewa CCm 2015 walijua ushindani wa kuweka mtu fulani kama ilivyo wanavyo fanya kufurahisha Demokrasia wanayo jua wao. Ni kitu kumuweka mwenye uchungu na wajomba zake ambao waliishi kwa imla nchi hiyo sasa wanarudisha majibu. Nimekumbuka uganda kipindi cha amin ilifikia...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ya CAFCC ikiwa ugenini

    Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini. Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi. Hili jambo...
  10. ZOYA internet

    JamiiForums Tanzania Zama za kuunga bando za kawaida zinaisha, Wi-fi na fiber zinachukua nafasi kutokana na faida zake lukuki!

    Maisha yanabadilika kila kukicha na biashara ra mitandao zinabadilika pia, hii ni kutokana na watu kutafuta kilichobora zaidi. Kwa siku za hivi karibuni watu wamegundua kua kuunga bando kila siku kwaajili ya kuingia mtandaoni inakua haisaidii kama ambavyo ingemsaidia mtu mwenye wifi au fiber...
  11. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Si wote tunamemuaga Luca Modric!? Yes Mbape anaweka record zake akikaribishwa barnabeu

    Yes Leo mji wa Madrid umemuaga rasmi mtakatifu Luca endapo atacheza tena hapo basi ni kama legend na sio ndani ya galactico Nami nasema glasias Luca
  12. Suip

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Wadau wa ujenzi nilikuwa nahitaji madirisha ya aluminum ila kuna mdau moja anayehusika amenijibu kuwa bei dirisha la aluminum ya rangi ya silver nitofauti na ya rangi nyeusi na kwamba nyeusi ni ghali, je kuna ukweli hapa au ni upigaji, Nawasilisha anayefahamu anisaidie
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naanda petition ya kumuondoa member anayeitwa Dennis Roberts na nyuzi zake zote zifutwe jamiiforums

    Huyu mtu anaitwa anaitwa Dennis Roberts ni mjinga wa kiwango cha juu sana hata deo kisandu ana-afadhali Cha kwanza ana-tatizo la akili kubwa sana, Eti anataka urais yaani Rais wa Tanzania awe maskini wa kutupa, njaa kali kapauka mpaka unamuonea huruma kamwe hawezi kuwa Rais Nyuzi zake zote...
  14. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Mfumo hauhitaji akili za maskini, unahitaji tu nguvu zake. Anapofikiri anakuwa tishio, lakini anaponyamaza anatumika, anakuwa rasilimali

    Wanasema mwanadamu ametokana na udongo lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumuuliza fundi sifa zake za kitaaluma kabla hujampa kazi?

    Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote vinavyotakiwa pale. Siku ingine tukakutana naye hardware kununua vile vifaa alivyoviandika yeye fundi...
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Chakra zilizo wazi: dalili zake

    CHAKRA ZILIZO WAZI: DALILI ZAKE 1. Root Chakra (Muladhara) Ikiwa unahisi kuwa: Una maisha yenye msingi mzuri, salama na usalama wa kimwili na kifedha Unahisi kuwa na uhusiano wa karibu na dunia, mazingira na mwili wako Una nguvu, uthabiti na huogopi kesho Basi Root chakra yako iko wazi...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Martha Karua aruhusiwe kuingia na aendelee na harakati zake, kuzuia ni doa Afrika Mashariki

    Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze tukaja haribu sifa ya taifa letu, as I spoke mimi CCM damu, lakini hili liachwe liendelee, na waendelee...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

    Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. Pia...
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Huenda Azam anaweza kabisa ku dominate ligi yetu ila anahofia kuharibu biashara zake

    Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu Demu aliyesababisha kaka zake wanigonge Makonzi akawa anacheka

    Heeeeeeh....binadamu hukutana milima haikutani. Huyu demu wakati mi nasoma kidato cha 3 nlikuwa nampenda sana.yeye alikuwa kidato cha 4. Basi ikawa alitoka shule mi nasimama getini jioni anarudi home kwao. Alikuwa demu mkali sana mpaka namwogopa. Nlikuwa namtizama mpaka napigwa ganzi. Yaani...
Back
Top Bottom