zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shida ya Simba ni Mangungu kutumia busara zake badala ya Katiba ya Simba kuongoza timu.

    Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake. Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu chanzo cha kukosa choo na madhara yake

    CONSTPATION NI NINI ? Hili ni Tatizo la kutopata Kwa Muda Mrefu au" Kupata Mara Chache Lakini Kwa Shida Sana na Nguvu Kubwa huwa inatumika Katika Kuhakikisha Walau hicho Kidogo Kinatoka , Kwa Sababu Ya Choo hicho Kuwa Kwenye Muundo Kama tope Jeusi au Vipande Vipande Kama Cha Mbuzi na Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Chacha: Vyombo vya usalama mfuatilie Heche kwa kauli zake

    Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema CCM haina ajenda za kuua watu, kama ambavyo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amekuwa akidai. Akizungumza jijini Dodoma, Chacha amemnukuu Heche akisema, "Wasira ni mzee anasinzia kwenye vikao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vin Jr, afuta post zake zote instagram

    Winga wa Real Madrid, Vin Jr amefuta picha zote kwenye mtandao wake Instagram leo Jumatano Agosti 5, 2026. Winga huyo ambaye anahusishwa na Arsenal amefuta picha zote kwenye mtandao huo pamoja na kuondoa 'pofile' picha pamoja na utambulisho wa Real Madrid.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baba alifariki 2015, Fedha zake zikahifadhiwa Mahakamani Dodoma, tumekamilisha taratibu lakini tunasotea hadi leo

    Baba yetu alikuwa mfanyabiashara hapa Dodoma mjini. Mwaka 2015, mauti yalimfika na kutuacha tukiwa na huzuni kubwa. Kama ilivyo kwa familia nyingi za Kiafrika, baada ya msiba kupita, kulikuwa na mivutano na mirorongo mingi ya kifamilia kuhusu usimamizi wa mali zake. Hata hivyo, kuna kitu kimoja...
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya Rajani Marijabu a.k.a Jabali la Muziki na kumbukumbu ya nyimbo zake.

    Marijani Rajabu alikuwa mmoja wa wanamuziki wakubwa na wenye ushawishi mkubwa katika historia ya muziki wa dansi nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 3 Machi 1955, Kariakoo, Dar es Salaam, katika familia ya kawaida. Baba yake alikuwa akifanya kazi ya uchapishaji, huku mama yake akiwa mama wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  11. JamiiForums Tanzania Huyu bodaboda mkazi wa chakani unguja zanzibar kafariki ndugu zake hawajulikani

    Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa. Wapambanaji tunaondoka makwetu tunakuja ugenini tunapitia mengi sana, lakini ni muhimu pale tunapo pata viridhiki kidogo tujitahidi kuanzisha familia, vuta demu ghetto WA kuishi nae...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Anadhalilisha “wasomi” wenzie; ndiyo maana ile ya PhD ya Urusi iligoma kukaa kichwani

    Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
  13. JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanawezekana kuhusu Nchimbi na kauli zake.

    Kauli tata za Nchimbi tangu awe makamu wa Rais zinaweza kuwa zinasukumwa na yafuatayo 1. Inawezekana amegundua hayuko kwenye mbio za urais 2030, kwamba tayari wenye chama wameshaamua ni kati ya Mwigulu, Ridhiwani na wengine ila sio yeye hivyo ameamua kujilipua kwa maslahi yake binafsi akiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna

    Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe zama zake kisiasa ndio zimepita?

    Nilipata nafasi ya kumfahamu zitto Kabwe kwa kiasi kidogo wakati akiwa ni mwanachama wa CHADEMA. Yeye na Julius Mtatiro wakati huo akiwa CUF, walikuwa wananivutia hasa walipokuwa wanachambua mada za uchumi na maendeleo ya jamii. Mtatiro yeye alitoka kwa hoja ya kuchoka kusubiri fursa akiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Si kwamba ni wote au siwaamini, lakini wakala wa bidhaa original akiwa Mbongo hunifanya niwe na wasiwasi ataingia tamaa kirahisi kutuuzia feki

    Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Tanzania kuingia mikataba ya 'Visa-Free' na nchi zilizoendelea kama Japan? nini athari zake?

    Wana-JF salamu, Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu. Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa (Bilateral Visa Waiver Agreement) ili wananchi wake watembee kwa uhuru? Kwa mfano, ikitokea Tanzania na...
  19. JamiiForums Tanzania Usilazimishe JF ya 2026 iendelee JF2006 kila kizazi na nyakati zake

    Naona nyuzi nyingi zikikosolewa na kupuuzwa eti "JF imevamiwa,ooh watoto wa FB,mara vitoto vya 2000 hivi" hizo ndio akili za mwafrika,akili zimelala,hazitaki mabadiliko. Kwa hiyo nyie wazee au wakongwe hamtaki JF ikuwe? hamtaki iwe na kizazi kingine? Au mna maanisha nini? Facebook ya 2005 sio...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Kila zama na nyakati zake

    Madogo hizo akili na huo weledi hamna. Life goes on Be it wahusika wenyewe wa JF, bado hawajaelewa somo. Kuna watu wapya, hawa wana access ya internet; bado hawajui mipaka ya social etiquette. Utanielewa baadae.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…