zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nigeria: Marekani kurudisha zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na Sani Abacha

    Zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na mtawala wa zamani wa kijeshi Sani Abacha, zitakabidhiwa kwa serikali ya Nigeria baada ya nchi hizo mbili kutia saini makubaliano. Balozi wa Marekani nchini humo, Mary Beth Leonard alisema pesa hizo zilikuwa kwenye akaunti za Uingereza lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Zaidi ya kunitia ndani, kunipiga na kunitesa. Je, mwanasiasa aliye madarakani ana kipi kingine cha kunifanya?

    Wanasiasa mliopo madarakani msitutishe, kwani zaidi ya kunitesa, kunipiga na kunitia ndani huna kingine cha kunifanya. Ukishayafanya hayo nikirudi uraini nitakuwa Nitshill zaidi kwako na kwa wanao. Msitafute balaa kwenu ninyi binafsi na kwa vizazi vyenu kisa tu ulevi wa madaraka
  3. JamiiForums Tanzania Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

    Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu. Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48. Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania. Masikini wa Marekani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kupaa kwa gharama za maisha Uingereza 🇬🇧 🇬🇧 kwawasukuma wanawake wa UK 🇬🇧 🇬🇧 kufanya biashara ya ukahaba ili kupata kula yao

    Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa...
  5. JamiiForums Tanzania 😡 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

    Roho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july Jana, nime withdraw kiasi cha pesa, then leo kupitia statement fupi nimegundua kuna 10,010 imekatwa tena kama...
  6. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu laki 8 hawajarudi kupata chanjo kamili ya COVID-19

    Takwimu za Wizara ya Afya zimeonesha kuwa watu 449,416 sawa na 26% ya watu milioni 1.71 waliotakiwa kurudi Julai 31,2022 kwa ajili ya dozi ya Pfizer hawakurudi, huku wengine 416,869 sawa na 24% waliotakiwa kurudia dozi ya pili ya Pfizer Agosti 14, 2022 hawakurudi Taarifa hiyo pia imeonesha...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Zaidi ya watu milioni 9.6 waliohamishwa katika maeneo maskini waanza maisha mapya

    INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Vunja Bei adai kupata hasara ya zaidi ya Tsh Milioni 300 Jezi za Simba

    WAKATI wanachama na mashabiki wa Simba wakianza kusahau machungu ya pilikapilika za kugombea jezi mpya za klabu hiyo, mwenye dili na uzi za Simba, Fred Ngajiro ‘Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua hasara ya kupoteza Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni). Vunjabei alisema hasara hiyo imetokana...
  9. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Tai 100 wafa kwa kudaiwa kula mzoga wenye sumu Afrika Kusini

    Walinzi waliokuwa kwenye doria katika Hifadhi ya Wanyamapori ya Kruger, wameripoti kugundua mzoga wa nyati, ambaye alionekana kuwekewa sumu, baada ya hapo walikuta Tai 100 na Fisi mmoja waliokufa kwa kuhisiwa kula mzoga huo Tai wengine 20 waligunduliwa katika eneo la tukio wakiwa katika hali...
  10. JamiiForums Tanzania Kama huwezi kudeal na wanawake zaidi ya mmoja, pambana na huyo huyo!

    Wakuu!!! Akyanani...ata salamu haiji, naenda straight kwenye format ya leo. Kama unataka anzisha familia ya wife zaidi ya mmoja....wanaume naomba jamani kama wewe ni ule ukipewa kachumbari na mwanamke utie muhogo afu unapoteza fahamu za kiume....yani unasimp....unakuwa tena huna maamuzi na kila...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

    Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Zaidi ya Waangalizi 18,000 kufuatilia Uchaguzi Mkuu Kenya

    Zaidi ya waangalizi 18,000 na mamia ya waandishi wa habari wa kimataifa wamewasili Nchini Kenya kufuatilia Uchaguzi huo, idadi hiyo imetajwa kama kiashiria cha namna Uchaguzi huo unavyotazamwa Duniani kote - Uchaguzi huo una wagombea 16,098, wanne wakiwania kiti cha Urais na idadi inayobaki...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza nimepokea Call zaidi ya 500 na SMS 2076 ndani ya masaa 11; Vijana Nani kawaloga?

    Kwema Wakuu! Simu yangu leo ilikuwa bize ungedhani ni Customer Care wa Voda, nimeiona, kihere here kimeniisha, hapa nimeblock all unknown Call ili simu yangu ipumzike Kwanza. Unaweza ona Masikhara lakini ndio ukweli wenyewe. Kutokana na kile kilichotokea na kudaiwa kuwa video ya Msanii Oprah...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume usiwajali watoto zaidi ya anavyowajali Mama Yao(mke wako)

    MWANAUME USIWAJALI WATOTO KAMA ANAVYOWAJALI MAMA YAO(MKE WAKO). Anaandika, Robert Heriel. Baadhi ya watu wamekuwa wakinitumia ujumbe kuniomba ushauri kuhusu masuala Yao ya kindoa, malalamiko makubwa ya wanaume ni kuwa Wake zao wanawasumbua, kivipi? Ujeuri, kiburi, mdomo, umalaya, mashindano...
  15. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Zaidi ya Shule kumi za msingi za Serikali wilayani Hai ni chakavu, zinatakiwa kubomolewa na kujengwa upya

    Shule nyingi za msingi za serikali zilizopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro majengo yake ni machakavu na hayafai kwa wanafunzi kusomea. Nyingi za shule hizo ni zile zilizojengwa kipindi cha ukoloni na baada ya uhuru lakini hadi sasa majengo yake yako vile vile ni machakavu na hakuna ukarabati...
  16. JamiiForums Tanzania Naweza kufanya group WhatsApp Call kwa watu zaidi ya 30?

    Hello watu kazi. Naombeni msaada nawezaje kufanya group call ya WhatsApp kwa participants zaidi 30? Nina group kubwa la wajasiriamali sometimes tunahitaji kufanya mjadala, tunashindwa kwa sababu ya limit ya paricipants
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji

    Serikali imepanga kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji ili kuongeza ubora wa mifugo na tija kwenye uzalishaji pamoja na kupunguza migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameyasema hayo jijini Mbeya alipokuwa anapokea dume...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Zaidi ya Wanaume 80 Mahakamani kwa Kubaka kundi la Wanawake Wakiwa Local

    Genge la Wanaume 82 wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Afrika Kusini leo wakihusishwa na makosa mbalimbali yakiwemo kuwabaka kundi la Wanawake waliokuwa wanarekodi video ya Muziki katika moja ya migodi nchini humo siku ya Alhamisi Shuhuda wa tukio hilo, lilitotokea huko Krugersdorp...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Soda ya Sprite kutotumia tena chupa za plastiki za kijani ambazo zimetumika kwa miaka zaidi ya 60

    Soda ya Sprite kutotumia tena chupa za plastiki za kijani ambazo zimetumika kwa miaka zaidi ya 60
  20. JamiiForums Tanzania Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Habari wakuu. Inajulikana Wengi kwenye kujenga tunahofia gharama kubwa za ujenzi. Sasa hapa nimewaletea design ya nyumba ya vyumba vitatu, jiko, dining na sebule ya gharama nafuu. Kinachoifanya design hii kuwa ya gharama nafuu ni sababu hizi kuu tatu muhimu 1. Ina floor area (BuiltUp area=...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…