zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva miaka 30 ni zaidi ya fiesta.

    Nasema tamasha la maadhimisho ya bongo fleva mika 30 ni zaidi ya fiesta. wakongwe wamekamata kila kona. Leo tarehe 19.09. Chuga kitawaka. TMK halisi tunawataka wapige shoo kwa pamoja kama walivyo kuwa.
  2. JamiiForums Tanzania Shule mpya ya Makulo yafuta adha ya watoto kutembea zaidi ya km 10 kufuata elimu

    Ujenzi wa Shule Mpya ya Makulo, iliyopo katika Kijiji cha Makulo, Kata ya Nkinto, Wilaya ya Mkalama, yenye thamani ya TSh milioni 300.2, umeleta matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo na unatarajiwa kuondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu. Awali, wanafunzi wa Kijiji cha...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania ACHANA NA KULIMA KWA JEMBE! RT155 POWER TILLER 15HP INALIMA ZAIDI YA EKARI 8 KWA SIKU – INAUZWA TSH 9,500,000/=

    𝗧𝗨𝗡𝗔𝗨𝗭𝗔 𝗥𝗧𝟭𝟱𝟱 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 🔥 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨, 𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗙𝗔𝗡𝗜𝗦𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢! RT155 Power Tiller ya mikono mirefu inapatikana muda wowote kwa wakulima wanaotaka kuongeza kasi na ufanisi wa kulima mashamba yao. 𝗩𝗜𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢𝗞𝗨𝗝𝗔 𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢: ✓ Diesel Engine ✓ Chassis imara ✓...
  5. JamiiForums Tanzania Morogoro: Zaidi ya Wanachama 113 wa CHAUMMA watimkia CUF. CHAUMMA imekwisha 🤣

    Zaidi ya Wanachama 113 wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Morogoro wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF), wakieleza kutoridhishwa na namna viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa wanavyoendesha shughuli zake. Wanachama hao, ambao wameongozwa na aliyekuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tupazeni Sauti kwa Ajili ya NCHIMBI, Kwa CCM, adui wa Ndani ni Hatari kwao, alichokifanya NCHIMBI ni Sadaka, ni zaidi ya Upinzan na Wanaharakat Wengi!

    Mnakumbuka MH Polepole ?. Kile alichokifanya kwanza , kujiuzulu nafasi zake zote, kisha akaanza kukosoa UOVU wa CCM , kilikua na Thaman sana, na Watanganyika Wakamuamini 100% na Ule Ukweli alikua anauzungumza MH Polepole, ndio Ukweli ulowafanya Watanganyika Wadai NCHI yao Oktoba 29 2025...
  7. JamiiForums Tanzania Saed Kubenea ni afisa wa Tiss? Habari zake huwa ni kweli 100% zaidi ya Britannica

    Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka. Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
  8. JamiiForums Tanzania Nini kingetokea kama binadamu wengi wangekubali hakuna maisha mengine zaidi ya haya?

    Mimi naamini tungepambana sana kwa pamoja kuboresha maisha yetu. Akili za mwanadamu kufikiria kuna maisha mengine baada ya haya hapa duniani kunalemaza kutoshughulika na changamoto na hali halisi ipasavyo na kuishi katika utimilifu wetu wote. Pia kunatupa matumaini hewa kuhusu hali zetu halisi.
  9. JamiiForums Tanzania Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

    Kijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni kukosa ukomavu wa akili . Taarifa za RITA zinaonesha divorce ya vijana imekuwa kubwa hii inatafsiri...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwa takriban mwezi mmoja na nusu sasa, Wanachi wa Manispaa ya Musoma tunapata shida ya maji

    Ni takribani mwezi na nusu sasa kumetokea changamoto ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma. Mwanzoni tuliambiwa tatizo lilisababishwa na upungufu wa umeme kwenye pampu za kusukuma maji. Hata hivyo, TANESCO Mkoa ilikanusha taarifa hiyo, ikisema hakuna upungufu wowote wa umeme katika...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

    Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone Nahisi kupoteza Dira Wakuuu natokaje?
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna mpumbavu duniani zaidi ya boflo inayo pumua udini masaa 24

    Eti mtu anaandika allah ndio amemuadhibu nchimbi kutoka madarakani kwa hio sasa huyo allah chama chake ni vegetable ndio maana haoni wengine wa kuadhibu humo? Umasikini ni mzigo haswa wa ufahamu na utashi.
  14. JamiiForums Tanzania Hongera JJ Ephraim Kwa Maudhui Bora, Ukiendelea Hivyo Utafanya Zaidi Ya Hapo

    Habari, Nimemtazama JJ Ephraim ambaye ni mtoa Maudhui ya video kwa namna ya kuburudisha jamii pamoja na kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha. Nampa Kongole kwenye ubunifu wa kuandaa mawazo, jumbe na mafunzo yanayolenga jamiii moja kwa moja kwenye kuonya,kufundisha na kuburudisha. Umekuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa maisha ya zamani sasa hivi tungemsoma kama Nabii mkubwa

    Hamjambo! Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu. Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii. Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo. Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Moyo Medicare, Arusha hawajawasilisha michango yangu ya NSSF kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa

    Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini. Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Njombe man-eaters: Simba waliokula zaidi ya watu 1500 Kusini mwa Tanganyika 1932-1947

    Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters? Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula binadamu kama chakula chake. Moja ya visa vikubwa duniani vya wanyama kula watu ni kisa cha Man eaters...
  18. JamiiForums Tanzania Leo ilikuwa zaidi ya blue monday

    Nadhani leo ilikuwa ile siku ambayo ulimwengu ulikuwa na mpango maalum wa siri wa kunitesa,.. Kwanza Leo nimeamka kww kuchelewa Sana.. Nakujq kucheki simu iko low charge.. Kumbe jana nilichomeka charge lakini haikufika mwisho Kwa njaa na hangover nilivyokuwa navyo nikakimbilia jikoni kuona...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania zaidi ya milioni 50 wanakosa Lishe bora UN wabainisha.

    Ndugu zangu kama ripoti ya UN ni kweli basi bado Tanzania tuna umasikini mkubwa na naweza kukubaliana nao kwa sababu ni familia chache sana Tanzania zinazoweza kupata mboga za majani na matunda angalu kwenye mlo wa mchana na usiku au tuseme milo angalau miwili kwa siku bila kujali muda...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…