zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

    Nasomesha Englisha Medoum ila ukweli ni kwamba sijawaji zikubali hizi shule, Shule zimejaa janja janja nyingi sana kuliko kutoa elimu ni full hadaa na wanajua fika kucheza na akili za wazazi wajinga Sijawaji amini kwamba kuna elimu bora kwenye shule za English medoum, kuna elimu ya kawaida sana...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuna sehemu yenye kuvutia kwa kila kitu nchini zaidi ya Lushoto?

    Nimetembea sehemu nyingi nchini. Sijawahi kuona sehemu yenye kuvutia kama Lushoto. Mbali na mandhari yake ya kuvutia, watu wake ni waaminifu, wachapakazi, wachangamfu, na wakarimu. Kwa upande wa matunda na vyakula ndiyo usiseme. Haya ni maoni yangu binafsi. Hivyo, sitaleta utafiti zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania SALINI HIZI SIKU 2 N ZAIDI YA MWAKA ANGALIEN KIPINDI CHA AJALI CLOUDS TV..MALIZAKO GARI ZILIZOFYEKWA MUNGU TUSAIDIE

    Shalom Wana WA Mungu alie hai Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu tu clouds tv nimesema Asante Mungu kwa uhai wako mm n nani Niko hai mpaka sasa Siohaba kukuomba...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

    Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  6. JamiiForums Tanzania Canada is the next india

    Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau Aliingia madarakani mwaka 2015 - mpaka sasa Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration. Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
  7. JamiiForums Tanzania Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

    Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi, na kupata na kunyang'anya silaha. makombora na vifaa vya kijeshi zaidi ya 85,000. Silaha...
  8. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Zaidi ya Wafungwa elfu 6 watoroka gerezani na silaha.

    Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki. Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala. Source: SABC
  9. JamiiForums Tanzania Zaidi ya TZS Bilioni 70 zatengwa Ujenzi wa mradi wa maji Biharamulo

    Kufatia kuwepo kwa kero ya muda mrefu ya maji katika wilaya ya Biharamulo moani Kagera, serikali imetenga Zaidi ya shilingi Bilioni 70 kwaajili ya kuanza ujenzi wa maji kutok ziwa Victoria. Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa wakati alipokuwa akiongea...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina Presidential Material mwingine zaidi ya Lissu?

    January mwaka kesho Chadema inatarajia kumchagua Mwenyekiti wao mpya Taifa, ikumbukwe kuwa mwaka huo huo Novemba 2025 chama hicho kinakabiliwa na uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Kwa uzoefu wangu hadi sasa sioni mwenye uwezo wa kupeperusha bendera ya Chadema kupambana na Samia zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania ChatGPT ameshindwa swali langu?

    AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi. Au uwezo wake umeishia hapo?
  12. JamiiForums Tanzania Usikope ili ulipe ada za watoto

    Kuna watu wanapitia magumu sana. Sijui kwasababu ya kuishi kwa kuiga au kukosa maono. Huyu maza nafanya naye kazi shirika moja la umma. Kabakisha muda mfupi kustaafu. One day nilimgusia suala la ukosefu wa ajira nchini na duniani ndipo akafunguka kuwa watoto wake kasomesha private both primary...
  13. JamiiForums Tanzania Inasemekana Jeff Bezos kufanya harusi ya zaidi ya Trilioni 1.

    Wakati huo mwanangu unafukuzwa na kausha damu ulipe deni la laki tano, mwenzako anaoa mwanamke kwa bajeti ya nchi😂😂, life is a bitch, man😭
  14. JamiiForums Tanzania Ujerumani: Gari lavamia soko, Watu watano wafariki, wengine zaidi ya 160 wajeruhiwa

    Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town of Magdeburg, in what local officials are describing as a terror attack. At least 68 other people...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda mgombea uongozi anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa uchaguzi wa chadema taifa kuwekewa vikwazo vya kimataifa

    Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo. Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigamboni City College kushindwa kulipa clinical instructors kwa zaidi ya miezi mitatu

    Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya. Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors). Walimu Hawa husimamia mitihani ya wwanafunzi Hawa katika hospitali mbalimbali. Walipoulizwa juu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Je, faida zipi chanya zinapatikana kwa kuoa zaidi ya mke mmoja?

    Wakuu 2025 ndo hiyooo inakuja. Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025. Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk hili. Kwaiyo hapa nawakaribisha wote mlio na wake kuanzia wawili na zaidi kwa maoni. Nina uhakika...
  18. JamiiForums Tanzania Watengeneza kitimoto wajaribu kuwa wabunifu wa viungo vingine zaidi ya tangawizi tu

    Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi akiwa na ubunifu mkubwa katika kuziwekea viunguo(spices) mchanganyiko.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nakiri kwanzia leo hakuna HIT-SONG zaidi ya hii

    Aisee wazee wa zamani waliufaidi muziki...huu wimbo ndio bora kwangu toka nimekuja duniani kwa sababu zifuatazo 1. Mashairi yameiva kuna ujumbe murua 2.Una vibe balaa 3.beat lipo kwenye high frequency 4.sauti ya mwimbaji imefana 5.unachezwa popote club, harusini,hata kwenye sherehe 👇👇👇👇👇👇👇👇...
  20. JamiiForums Tanzania Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

    Wakuu habari za humu ndani. Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu. Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…