Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.
Anachosema huyu mtangazaji wa hili Tangazo ni cha kweli kabisa kwa asilimia 95 na zaidi. Hizi issues zipo ila sijui kama zina dawa. Dawa nzuri ilikuwa ni kwa mwanamke kutulia tu. Wala asiwe na mambo mengi na kuhangaika.
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakuna utamaduni wa kuvuana nguo hadharani, bali kuna utamaduni wa kukosoana kwa lengo la kujenga chama.
"Tunakosoana kwenye vikao" haipaswi kutumiwa kuzuia wengine kutoa maoni yao waziwazi...
Katika mambo ambayo Chadema mliferi na kusababisha safari yenu kuelekea Ikulu kuwa ngumu, ni kukaa miaka na miaka na mtu ndumila kuwili
Mtu huyo, badala ya kung'amua mapema nyendo zake kisha kumtimua, bahati mbaya kabisa, yeye aliwasoma nyinyi nyote
Mbowe anawajua wote wenye misimamo mikali...
Ukiachana na pesa na mishe za kutafuta pesa mimi huwa na priotize sana Amani (Peace of mind), marafiki wafaida pamoja na Heshima.
We vitu gani vina umuhimu kwako?
Habari wapendwa,
Kuna raia mtaani nimewasikia wakisema "wakiungana na kuanzisha chama watashinda"
Napenda kusema,watu hao hawajielewi na wapo katika kundi la "intellectual impairment" kwa sababu gani ?
(1). Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
(2) Kutokana na uwezo mdogo (IQ) wa kuchambua...
Wakuu nimeona Mbunge Angelina Mabula anasema ukitoa yeye na Waziri Juma Aweso hakuna waziri mwingine ambaye amekaa wizara moja kwa muda wa miaka minane mfulululizo, Je ni kweli?
Ni Mikoa gani/makabila gani, Kuna uwezekano wa Kuoa/kuishi na wake zaidi ya mmoja bila ya watu kukutolea Macho?
Mpango no huu,
1. Kununua Ardhi ya kutosha
Kujenga Nyumba na kufanya ufugaji/kilimo
2. Kutafuta wake wawili wembamba na wazuri wenye umri kati ya miaka 21-25 . Wadau nipeni Mikoa au...
Jamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake kapigwa kisu cha Moyo kafa Jamaa wakachukua pesa wakasepa.
Polisi kufika na taratibu zao, walipoanza...
Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:-
i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi;
ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na
iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume.
Utangulizi:
Nilihamasika kuanzisha...
dume
hii
kati
kiume
kuendelea
kuongezeka
kwa wanaume
mada
miaka
miaka 50
nguvu
nguvu za kiume
tezi dume
uhusiano
ukosefu
umri
wanaume
wenye
wenye umri
za kiume
zaidiya
Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
Sijui kama wanaigiza au wako Real lakini inagusa sana unaposikiliza ndani yako unaiona nia njema ya hawa watoto.
Watoto hawa si tu waimbaji, bali ni vyombo vya Mungu vinavyoleta uzima kwa sauti zao. Walipoimba, kila neno lilijaa upendo, kila sauti iligusa moyo. Waliimba kama malaika...
Wakuu
Duniani kuna zaidi ya dini 4000, kila moja ikiwa na waumini wanaoamini kuwa njia yao ni sahihi.
Hata hivyo, Wakristo na Waislamu — wakiwa dini mbili kubwa zaidi — mara nyingi hujionyesha kana kwamba wao tu ndio walio kwenye ukweli wa kipekee. Je, huu ni ushahidi wa ufunuo wa kweli...
Meli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto.
Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon.
Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa...
1. Umri wa mteja (moral decay)
2. Lugha ya mteja,(moral decay)
3. Hali ya uchumi wa mteja( Ugumu wa maisha.
4.Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono isiyolipa kodi.
CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu.
Cha Kufanya sasa kwa mfano chadema wangejiwekea malengo ya muda mrefu kama ifuatavyo...
EDWARD LEKAITA: TUMEENDA ZAIDI YA TULICHOAHIDI KWENYE ILANI YA CCM 2020 - 2025
Mbunge wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Edward Ole Lekaita amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kishindo, ambapo utekelezaji huo umetikisa katika majimbo yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.