zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwahiyo mwezi wa saba nchi inaenda kuzalisha mamilionea

    Moja kwa moja kwenye mada. Kama inavyojulikana pension ya mbunge mmoja ni zaidi ya milioni 250 na huwa wanapewa kwa mkupuo hawana kikokotoo wala kikakataa. Hivyo kama kila mbunge akipokea kitita chake mapema mwezi Julai mwaka 2025 baada ya kuvunjwa bunge, ina maana hapo kuna mamilionea 400+...
  2. N

    Watanzania zaidi ya 5500 live mtandaoni mda huu kufuatilia chama makini Tanzania (CHADEMA)

    Habarini za mchana wana jamvi.... CDM inaonekana kukonga mioyo ya watanzania wengi ambao wamechoka na ufedhuri na dhuruma ya CCM. Hii ni dalili njema kwamba kumekaribia kupambazuka, tuendelee kumwomba sana Mungu wetu wa haki. Simba wa nyika Tundu Lissu na Heche kila waungurumapo CCM inapagawa...
  3. Je! Dini bora ni ipi zaidi ya ubinadam(humanity)?

    Ni haki ya kila binadamu kuishi, kuheshimiwa na kuishi kwa amani. Cha ajabu watu wanaojifanya wako na dini sana ila hawana ubinadam. Leo Papa amefariki, moja ya msingi mkubwa aliokua akisimamia ni ubinadam, aliamini katika utu, ukarimu na amani. watu wwalimsema sana kutokana na kauli zake...
  4. Vatican ni mfupa mgumu, wamekataa kusalimu amri kwa Wakomunisti wa China kwa miaka zaidi ya 70 sasa

    Mpaka leo hii China bara hakuna uwakilishi wa rasmi wa Kanisa Katoliki la Roma, shughuli zao zinafanywa na "underground church" ambalo ni kanisa la mafichoni na lisilotambuliwa na serikali ya China. Kanisa Katoliki la Taiwan ndili linalotambulika rasmi kama kanisa la China japo serikali ya...
  5. M

    Ndugu zangu CHADEMA juu ya madiliko haya kwa taifa la Marekani juu ya Afrika hata viongozi wa dini hawatasaidia zaidi ya kuweka tu

    Siasa Trump afikiria kupunguza balozi za Marekani barani Afrika Saleh Mwanamilongo Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa mwelekeo wake wa kidiplomasia barani Afrika na pia kufuta ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje zinazoshughulikia mabadiliko ya hali ya...
  6. A

    Gerson Msigwa hana kingine cha kuisemea Serikali zaidi ya matamko ya michezo?

    Huyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama. Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc Sioni...
  7. Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

    Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu. Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
  8. Boti yawaka moto DRC, Watu zaidi ya 50 wahofiwa kufariki Dunia

    Boti ya mbao yenye injini iliyokuwa na abiria wapatao 400 imeshika moto na kupinduka kwenye Mto Congo karibu na mji wa Mbandaka Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Congo, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 50. Kamishna wa Mto Congo Bwana Loyoko, aliambia Shirika la Habari la Associated Press...
  9. B

    Tetesi: Zaidi ya Mawakili Wasomi 800 wanatarajiwa kushiriki Kesi ya Tundu Lissu hapo Tar 24 Aprili 2025.

    Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake. Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi. Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025. Angalizo: Mawakili...
  10. ZAIDI YA VIWANJA 7,550 VIMEPIMWA

    ZAIDI YA VIWANJA 7,550 VIMEPIMWA Katika kipindi cha mwezi Julai, 2024 hadi Februari, 2025, Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi imepima viwanja 7,550 katika Mikoa ya Morogoro, Tanga, Kilimanjaro, Dodoma na Njombe. Kwa upande wa upangaji wa miji, michoro ya mipangomiji yenye...
  11. Kama Mkristo Naona Uislamu Hautatoboa Hii Karne Kuelekea Karne Ifuatayo: Simu na Wi-Fi Vinachangia Kudidimiza Uislamu Zaidi ya Vita Dhidi ya Makafiri

    Kama ningekuambia miaka 15 iliyopita kwamba simu janja na Wi-Fi vitachangia kudhoofisha Uislamu kuliko hata mashambulizi yote ya historia kutoka kwa Wakristo waliowahi kuitwa "makafiri," ungeweza kudhani ni mzaha. Lakini leo, kama Mkristo ninayeangalia mwenendo wa ulimwengu, siwezi kupuuza...
  12. PreGE2025 Mradi wa maji uliogharimu bilioni 3.10 unatajwa kunufaisha kata za Magugu na Mwada na wakazi zaidi ya 60,000

    Mradi wa maji wa Darakuta - Magugu - Mwada umetekelezwa kwa kutumia wataalamu wa ndani wa BAWASA (Force account) na kuwekwa jiwe la msingi Januari 25, 2022 na Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi huo ulianza kutekelezwa Sptemba 15, 2020 na kukamilika...
  13. Zaidi ya miti milioni 226 imepandwa Tanzania nzima

    ZAIDI YA MITI MILIONI 226 IMEPANDWA TANZANIA NZIMA Kupitia kampeni ya kitaifa ya upandaji miti millioni 1.5 kwa kila Halmashauri nchini, jumla ya miti milioni 226.97 ilipandwa kwa mwaka 2023/2024 ambapo miti milioni 211.81 ndiyo ilistawi ikiwa ni sawa na asilimia 76%. Tathmini ya miti...
  14. Je, Inawezekana Kuwa na Zaidi ya 3 Independent & Dependent Variables Kwenye research moja?

    Habari wakuu, Kama wewe ni mwanafunzi wa elimu ya juu, au unajiandaa kuandika research proposal, dissertation au thesis, kuna swali moja ambalo wengi huwa wanajiuliza lakini majibu yake yanaonekana kama yanatatanisha hivi; Mtu anajiuliza swali kama, “Naweza kuwa na Independent Variables zaidi...
  15. Kumiliki laini zaidi ya moja ni ushamba uliokithiri

    Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa...
  16. Simba kuvuna Kitita zaidi ya TSh. bilioni 2 kutoka CAF

    Klabu ya Simba SC itapata kitita cha dola 750,000 sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 2 (2,006,874,750) baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuwatoa Al Masry SC ya Misri kwa mikwaju ya penati 4-1, kufuatia sare ya...
  17. Kutoka kufuga kuku 200, Hadi Kua Kampuni Inayozalisha Zaidi ya Trey 100 Kwa Siku, Hii ndoli Siri

    🎥 Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku. Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
  18. Askofu Bagonza ni zaidi ya Mtumishi, Rais Samia ongeza Mishahara kwa Watumishi Serikali za Mitaa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
  19. K

    Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

    Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio...
  20. "Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia.Lakini sasa... INATOSHA!"

    LUKUVI NA UBUNGE WA MIAKA ZAIDI YA 30 – INATOSHA! v "Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia. Lakini sasa... INATOSHA!" William Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa waliodumu kwa muda mrefu katika siasa za Tanzania. Alichaguliwa kuwa Mbunge kwa mara ya kwanza mwaka 1995 –...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…