youtube

  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiingia YouTube sioni sehemu ya kutolea maoni

    Wakuu habari za muda huu poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika jukumu la kujenga familia na taifa kwa ujumla. Moja kwa moja niende kwenye swali langu naombeni msaada najua hapa kuna manguli walioiva kwenye techs sasa ni siku ya 7. Kila siku nikiingia youtube sioni option ya kutoa maoni au...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kusolve tatizo la youtube adsense

    Naomba msaada wa mtu anayeweza kusolve ilo tatizo kila nikijiunga inakataa wanajibu hivyo kama nilivyotuma. Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania Views za YouTube zinahesabiwaje? Video ina Views Billion 10 na Dunia ina watu 7.9B

    Duniani tupo watu 7.9B lakini Baby Shark Ina views Billion 10 (10B) Hawa watu billion 1.2 wametoka wapi[emoji848] ni wakina nani hao wame view? Hili swala limegawa watu kwenye makundi mawili na kila kundi likiamini wao ndio wako sahihi na wanachokiongea na hadi Sasa Mimi Binafsi sijajua jibu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uza youtube channel yako ambayo hutumii

    Kama una youtube channel yako yenye subscribers wengi na hutumii tuwasiliane,nitainunua
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Siwezi kutazama video za YouTube kwenye kivinjari cha Firefox

    Habari marafiki. Hii ni post yangu ya kwanza hapa. Ninatuma hii kwa suala na kivinjari changu cha Firefox. Kwanza kabisa, ningependa kueleza kuwa mimi ni mwanafunzi wa usimamizi wa biashara ambaye hutumia muda wake mwingi kusoma mtandaoni. Kama matokeo, itabidi nitazame mafunzo ya youtube...
  6. JamiiForums Tanzania Youtube Adsense inahitajika

    Habari wakuu, ninatafuta Youtube adsense,mwenye nayo tuwasiliane PM
  7. JamiiForums Tanzania Account za Wasanii YouTube bongo zinasemekana kudukuliwa, kwanini Sio kweli ?

    Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa. Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver hiyo service, wao wanashare contents zao kama streaming za crypto. Ndio mwisho wa siku account...
  8. JamiiForums Tanzania Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

    Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo. Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
  9. JamiiForums Tanzania Mnao Copy Nyuzi zangu na kupeleka Twitter na YouTube Mjue nami nipo huko basi toeni Credit Mnachanganya watu

    Kuna Nyuzi zangu Kama nne nimeona watu kama sita wana copy na kutumia, 1.Nilileta ule wa MOSCOW na DR SHIKA watu wakaenda kuifanya Simulizi YouTube wakapata Viewes bila hata kuni acknowledge...
  10. JamiiForums Tanzania Ibraah wa Konde Gang aweka rekodi ya kihistoria YouTube

    Msanii Ibraah kutoka Konde Gang ameweka rekodi ya kihistoria baada ya kuweka video ya wimbo wake mpya uitwao "rara". Wimbo huo umeweka rekodi ya kupata views zaidi ya laki tatu chini ya dakika moja. Rekodi hiyo inasemekana ni ya kwanza kutokea kwa msanii wa Afrika Mashariki na kati. Mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

    Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile; Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album! Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Movie gani kali uliicheki youtube na sisi tuicheki?

    Youtube kuna full movies nyingi sana. Nyingi za zamani na chache mpya. Ni wewe na bando lako tu, na uzuri youtube haili bando kivile. Mi napenda kutembelea channel inaitwa Wu Tang collection kuangalia movie za zamani za kichina. Hizo ndiyo huangalia sana.
  13. JamiiForums Tanzania Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu

    Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu. Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA. Kungepatikana namna hata ya nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii waliofanya vizuri YouTube mwezi Februari

    YouTube wametoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa kupata watazamaji wengi mwezi February. WCB ( wasafi ) .......+ NLM (next level music). Wameendelea kukiwasha Orodha ni Kama ifuatavyo: 1. Diamond Platinumz. 38.3 million 2. Rayvany 18.9 million 3. Zuchu 18.6 million 4. Harmonize 16...
  15. JamiiForums Tanzania YouTube kuondoa Maudhui yanayosababisha taharuki kati ya Russia na Ukraine

    Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umetoa tahadhari kwa wamiliki wa vituo vya YouTube watakao chapisha Maudhui yanayo Sababisha Taharuki Kati ya Russia na Ukraine. Mtandao huo utaziondoa video zote zenye kuleta uchochezi kati ya nchi hizo mbili. Video hizo ni pamoja na video zilizo...
  16. JamiiForums Tanzania YouTube Yasitisha Uchumaji mapato (Monetisation) kwa YouTubers nchini Russia

    Kulingana na vuguvugu la Russia na Ukraine Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umesitiza Uvunaji mapato kwenye nchi ya Urusi kipindi hiki mpaka hapo badae itakapojiridhisha. Kulingana na Sera za uchumaji wa mapato kwenye kituo cha YouTube(Google Monetisation policies for YouTubers)...
  17. JamiiForums Tanzania Share experience yako; kati ya YouTube na Blogu ipi ni nzuri kwa Google Adsence?

    Wakuu salama? Mimi ningependa kufahamu kwa wajuzi kuwa kati ya Blogu au tovuti na YouTube ipi ukiunganiswa na Google Adsence inalipa vizuri? Yaani wapi unaweza earn Pesa kubwa kati ya YouTube na Blogu yaani YouTuber na Blogger nani anaweza faidika zaidi na Matangazo ya Google. Pia unaweza...
  18. JamiiForums Tanzania YouTube imeingiza Faida ya Tsh. 19.9Trion kwa muda wa miezi 3

    Kampuni ya Alphabet ambayo inaimiliki Google na YouTube imetoa ripoti ya mauzo yake na faida ambayo imeingiza katika Q4 2021 (October, November na December). Alphabet imepata faida ya Dola Bilioni 75.3 sawa na Trilioni 174 Tshs. Hiyo ni jumla ya faida iliyopata katika biashara zake zote na...
  19. JamiiForums Tanzania YouTube yatoa mipango ya kuongeza Faida kwa content creators

    Platform ya YouTube imetoa mipango yake katika kuongeza njia mpya za kutoa faida kwa Creators. YouTube imetaja list ya njia mpya za kupata faida katika YouTube. ๐—ก๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—–๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐˜€ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ: โ‘  Itaweka uwezo wa kuunganisha NFT na akaunti/channel ya...
  20. JamiiForums Tanzania Chaneli 15 za YouTube zinazoongoza kwa kutazamwa Tanzania. Diamond Platnumz azidi kukimbiza

    Orodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika; 1. Diamond Platnumz โ€“ 1,665,769,709 2. Millard Ayo โ€“ 1,418,005,282 3. Global TV Online โ€“ 1,122,433,417 4. Rayvanny โ€“ 694,793,379 5. Harmonize โ€“ 683,915,867 6. Wasafi Media โ€“...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ