Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
Unyakuo ni tafsiri ya Kiswahili ya neno la Kiingereza "rapture."
Unyakuo ni tukio litakalotokea siku Yesu atakapokuja kuwachukua watakatifu, yaani watu waliookoka, na kuwapeleka mbinguni. Ni tukio litakalofanyika ghafla(kufumba na kufumbua)!
Maana itatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya...
Watu wanaukubali usemi huu wa Waswahili kwamba: "Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja" lakini ni wagumu kukubali kuwa Yesu atakuja.
"Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana Yesu kumekaribia."(Yakobo 5:8)
Kwa wale wasiojua, Yesu atakuja hivi:
Atakuja siku watu...
Kuibuka kwa yesu kristo kulileta matishio makuu mawili moja ikiwa kwa utawala wa Roma na pili ikikuwa kwa dini ya kiyahudi. Kwamba Yesu wakati anazaliwa alikuta utawala wa Roma ndio ulikuwa unatawala dunia na hata wafalme na magavana kutoka Israel waliteuliwa na kaisari kutoka Roma.
Sasa...
Kanisani walikuwa wanasisitiza sana kila muumini lazima atoe fungu la kumi, maana ni la Mungu,
binafsi nikawa tayari kumtolea mungu hela zake hizo za fungu la kumi ila kwa kumpatia Mungu mwenyewe ili kuepusha watu wa kati kumlia Mungu hela zake. hivyo nikaomba account namba ya Mungu ama namba...
Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!
Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua...
Habarini,
Kama Yesu na Muhamadi ni uhalisia basi lazima walishiriki vita ya I&II ya dunia,sasa kwanini Mungu alikubali Waafrika ndiyo wakapigane vita isiyo yao?
Walikuwa wapi??
Mapepo, mashetani na wachawi wananifahamu sana kuwa nimeokoka na sina mchezo na dhambi.
Wiki iliyopita, walijaribu kunishambulia kama walivyomfanyia Ayubu. Mdomo wangu ulivimba ghafla ukawa mwekundu.
Kama kawaida, kimbilio langu la kwanza ni Jina la Yesu. Niliukemea uvimbe huo kwa Jina la...
BOB MARLEY:-
"How can you be sitting there
Telling me that you care
That you care?
When every time I look around,
The people suffer in the suffering
In every way, in everywhere
Say, na-na-na-na-na (na-na, na-na!)
We're the survivors
Yes, the Black survivors"
WAKE UP AFRIKA!
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa.
Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:
Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro...
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?
Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu...
Habarini za usiku,
Je, inawezekana vipi kuwe na shitani mwingine zaidi ya Yesu na Muhamad iwapo hawa ndiyo walitumika na wazungu na warabu kuwafanyia WAAFRIKA mabaya ambayo ndiyo DHAMBI zenyewe?
Yaani mwarabu amtumie muhamad kuja Afrika kuwakamata Waafrika walioumbwa na Mungu na kwenda kuwauza...
Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi.
Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
Habarini,
Hili nalo linafikirisha sana MWAFRIKA,unaenda kusujudia kabuli la yesu na muhamadi na kuacha kusujudia makaburi ya WAZAZI/WAASISI ambao ni BIBI na BABU zako yanayokuzunguka na ulio na vinasaba nao ,unaakili wewe kweli?
Yaani hata kitasafusha kwa kuyapalilia tu umeshindwa ila...
JINA LA YESU LITUKUZWE WATOTO WA MUNGU!
Watu wa Mungu walio okoka na ambao bado hawajaokoka! Leo ngoja tuzungumze juu ya Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai! Leo natangaza habari za wokovu! Leo natangaza jina lipitalo majina yote jina la YESU KRISTO!
JINA LA YESU LINA NGUVU...
Salaam, Shalom!
Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda,
Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda;
1...
Habari,
Ni wazi waumini wengi wa Kikristo wanaamini Yesu atarudi na kuwachukua ke viumbe wengine nyani,kuku,bata,simba,nk pamoja na wasiyo wakristo walikombolewa na nani na watachukuliwa na nani au watabaki duniani?
Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata...
Makuhani na mafarisayo walimtaka Yesu awake ishara akawaambia kama Yona alivyokuwa kwenye tumbo la samaki siku tatu kisha akatoka basi na yeye atakuwa kaburini siku tatu na kutoka akiwa mzima tena. Lakini alipofufuka alikuwa akiishi maisha ya kificho. Aghalabu tunaambiwa takribani aliwatokea...
Heshima zenu wakuu.
Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.